denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,953
Which Article of the CURT has been violatet by aforementioned....?This example is relevant to people like Mr Mbowe,the party leader!! hahaha...
Which Article of the CURT has been violatet by aforementioned....?This example is relevant to people like Mr Mbowe,the party leader!! hahaha...
In "shithole" countries all the wonders of the world do happen!!!Kama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P
Pascal Mayalla sikiliza debate ya impechment, utaonja utamu wa democracy! achana na habar za hapa ambapo na wewe unachokiandika ni kile ambacho Jiwe anahitaji kukisikia. Unamuogopa Ndugai, unamuogopa Siro, Mabeho (ingawa huyu si sana)....Kama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P
deleteWewe ni muabudu wazungu! Wala sishangai mpaka utazeeka tu hakuna utakachopata. CCM itatawala hadi ufe kwa umri huo utakufa na stress tu!
Kaka yangu mpendwa hapa umepuyangaKama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P
Nimecheka hapo kwa Mabeyo, eti ingawa sii sana!. Kwa taarifa yako, simuigopi mtu yoyote hata Magufuli ila nawaheshimu watu wote kutokana na utu wao fiw who they are and not what they are.Pascal Mayalla sikiliza debate ya impechment, utaonja utamu wa democracy! achana na habar za hapa ambapo na wewe unachokiandika ni kile ambacho Jiwe anahitaji kukisikia. Unamuogopa Ndugai, unamuogopa Siro, Mabeho (ingawa huyu si sana)....
Mayalla si ulisoma sheria wewe?Hii comment ni professional disgraceKama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P
Nimecheka hapo kwa Mabeyo, eti ingawa sii sana!. Kwa taarifa yako, simuigopi mtu yoyote hata Magufuli ila nawaheshimu watu wote kutokana na utu wao fiw who they are and not what they are.
PMagufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe
Wanabodi, Kufuatia kazi nzuri inayofanywa na rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kuna baadhi ya watu wanamkubali sana hadi kufikia kiwango cha kama kumuabudu fulani!, na humu JF, nimenote modes wa JF nao wanaanza kufuata mkumbo, sio tuu wa kumuogopa rais Magufuli, bali sasa na wao ni...www.jamiiforums.com
Kusoma sheria ni jambo moja, kupeactice sheria ni jambo jingine, na kuwa mwanasheria its quite another.Mayalla si ulisoma sheria wewe?Hii comment ni professional disgrace
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Retired; heshima ni kitu cha bure, sisi as jf members, lets be free kutukanana sisi kwa sisi as we wish na tutukane tunavyoweza lakini tutukanane wenyewe, tusiingize wasio husika, mama yake unamwingiza wa nini?Kama mama yako alivyokufa
Pascal Mayalla ukinitukana nitakutafutia tusi ambalo utakosa usingizi. Huyu kijana hafai kabisa. Nitamtukna lolote anyway! Labda kwa vile umesema na wewe una heshima hapa, let me delete it1Mkuu Retired; heshima ni kitu cha bure, sisi aa jf members, lets be free kutukana tunavyoweza lakini usiingize wasio husika, mama yake unanwingiza wa nini?
P
Mkuu Nietzsche umepiga mlemle kabisa. Asante kwa ujumbe huu murua!! Tatizo letu kubwa ni uoga!! Hapo ndipo ulipo mushkeli wetu.Pascal, jiulize maswali haya yafuatayo.
(i) Mema, makubwa, na mazuri ni nini? (ii) Maendeleo ni nini? (iii) 'Standard definitions' za "mema" "makubwa" na "mazuri" ndani ya muktadha huu zikoje? (iv) Na bila 'standardised constitutional system' (rule of law) unaweza ukazisadifu vipi definitions hizo?
Vivumishi "mema", "makubwa", na "mazuri" viko subjective; huwezi kuvitumia kwa uhakika na kwa kujiamini namna hiyo kama ithibati ndani ya muktadha wa kisiasa. Kwa maneno mengine, katika mazingira halisi ya kisiasa, kile kilicho "chema" kwako wewe Pascal, labda kwa ushabiki wako binafsi au kwa sababu nyingine kadha wa kadha, kinaweza kikawa "kibaya" kwa wengine; na yaliyo "makubwa" kwako yanaweza yakawa "madogo" kwa mwingine.
Sisi Waafrika, na hasa sisi Watanzania wa kizazi hiki, ni mizigo. Narudia tena, sisi waBongo ni MIZIGO. Na ninasikitika kusema, itatuchukua muda mrefu sana kujitambua.
Capri-point, usisahau unafiki na nidhamu-bandia (nidhamu ya uoga), vitu ambavyo Mwalimu (Nyerere) alivichukia sana.Mkuu Nietzsche umepiga mlemle kabisa. Asante kwa ujumbe huu murua!! Tatizo letu kubwa ni uoga!! Hapo ndipo ulipo mushkeli wetu.
Kwahiyo we unawaheshimu ? Unawaheshimu watu wanaoruhusu ushoga na usagaji? Unawaheshimu watu wanaomwaga dam za watu wasio na hatia ? Kama wanatudharau na wewe wadharau . Af swala la kiongozi kukaa muda mrefu ni unafiki wao kusingizia Afrika mbona rafiki wao saudia hakuna demokrasia na hawajawanyoshea vidole ? .I Quote: The Rule of Law is the one that differentiates us from Third world countries where dictators rule for decades by violating their constitution for their own gains!
Wanatudharau sana, halafu majitu eti mtu aongezewe muda!
Atalewa madaraka italeta shida aandae mrithi wa kuyatenda hayo maendeleo mbona wengi Wa kutuvusha wapoKama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P
Hajatudharau amesema kweli ingawa waafrika hatupendi kuambiwa kweli.I Quote: The Rule of Law is the one that differentiates us from Third world countries where dictators rule for decades by violating their constitution for their own gains!
Wanatudharau sana, halafu majitu eti mtu aongezewe muda!
Kauli thabiti kwa ccm na CHADEMA.
Hawatudharau, ndiyo tulivyo waafrica.I Quote: The Rule of Law is the one that differentiates us from Third world countries where dictators rule for decades by violating their constitution for their own gains!
Wanatudharau sana, halafu majitu eti mtu aongezewe muda!
Pesa zipi na kiasi gani?