House panel approves articles of impeachment against Trump

House panel approves articles of impeachment against Trump

Rule of law and democracy ni vitu viwili tofauti...
unaweza ukatawala/ukaongoza nchi kwa kufata sheria kandamizi zilizopo/hiyo ni rule of law pia
 
Tungekuwa kama wao, wangepata wapi wa ku compare nao?!
We are different but equal.
 
Hao ni wezi wa kutupwa kama wangekuwa wanafuata rule of law wasingekubali kuhifadhi pesa za wizi kutoka third world countries. Hakuna watu makatili kama wazungu wanajishaua tu.
Pesa zipi na kiasi gani?
 
I Quote: The Rule of Law is the one that differentiates us from Third world countries where dictators rule for decades by violating their constitution for their own gains!

Wanatudharau sana, halafu majitu eti mtu aongezewe muda!
Kaongea ukweli
 
Marekani raha sana nchi ina uhuru mpaka Rais anakashifiwa, anatukanwa, anataka kuvuliwa madaraka lakini yupo busy kujenga uchumi wa nchi na kutengeneza ajira wala hana habari na wakosoaji.
Hii democrasia haiwezekan kabisa kwa nchi za kiafrika hususan tz may b baada ya miakA 100 ijayo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P
Pascal, jiulize maswali haya yafuatayo.

(i) Mema, makubwa, na mazuri ni nini? (ii) Maendeleo ni nini? (iii) 'Standard definitions' za "mema" "makubwa" na "mazuri" ndani ya muktadha huu zikoje? (iv) Na bila 'standardised constitutional system' (rule of law) unaweza ukazisadifu vipi definitions hizo?

Vivumishi "mema", "makubwa", na "mazuri" viko subjective; huwezi kuvitumia kwa uhakika na kwa kujiamini namna hiyo kama ithibati ndani ya muktadha wa kisiasa. Kwa maneno mengine, katika mazingira halisi ya kisiasa, kile kilicho "chema" kwako wewe Pascal, labda kwa ushabiki wako binafsi au kwa sababu nyingine kadha wa kadha, kinaweza kikawa "kibaya" kwa wengine; na yaliyo "makubwa" kwako yanaweza yakawa "madogo" kwa mwingine.

Sisi Waafrika, na hasa sisi Watanzania wa kizazi hiki, ni mizigo. Narudia tena, sisi waBongo ni MIZIGO. Na ninasikitika kusema, itatuchukua muda mrefu sana kujitambua.
 
I Quote: The Rule of Law is the one that differentiates us from Third world countries where dictators rule for decades by violating their constitution for their own gains!

Wanatudharau sana, halafu majitu eti mtu aongezewe muda!
Dharau au ukweli?
 
Rule of law and democracy ni vitu viwili tofauti...
unaweza ukatawala/ukaongoza nchi kwa kufata sheria kandamizi zilizopo/hiyo ni rule of law pia
Na DEMOKRASIA ni Watu. Ukiwa na sampuli za watu kama Msukuma, Mlinga, Lusinde & Co. advocates kwenye taifa lako pia ni DEMOKRASIA.

"KUPANGA NI KUCHAGUA"
 
I Quote: The Rule of Law is the one that differentiates us from Third world countries where dictators rule for decades by violating their constitution for their own gains!

Wanatudharau sana, halafu majitu eti mtu aongezewe muda!
Mungu wabariki Wazungu
 
This example is relevant to people like Mr Mbowe,the party leader!! hahaha...
 
Back
Top Bottom