ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,346
- 8,565
Acha hizo PaschalKama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo PaschalKama anafanya mema, makubwa, mazuri na kuleta maendeleo, hata Magufuli aongezewe tuu awe kama Mugabe, Museveni na Kagame.
P
African tales and theories. Wenzetu wanawaza kuhamia Mars Sisi twasema wanatuibia Pesa.Mkuu pengine hufuatilii mambo ambayo yanatokea hapa duniani kwa kina. USA fuatilia Panama papers. UK wamekuwa na mgogoro wa miaka mingi na Nigerian Government kuhusu utoroshaji wa pesa haramu kutoka Nigeria. Switzerland walipewa onyo hivi karibuni kushirikiana na viongozi wengi wa Afrika kufungua account ambazo wengi wao hawaonyeshi jinsi walivyopata hizo pesa kama ni halali au la? USA wanapitia sheria zao kuona wanazuia pesa zinazotokana na crime. UK wamezuia Gold Bullion inayohifadhiwa na Venezuela kwenye gold volts pale London. etc. Come outside and smell the coffee.
African tales and theories. Wenzetu wanawaza kuhamia Mars Sisi twasema wanatuibia Pesa.