munisijo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 1,127 Reaction score 944 Apr 25, 2012 #1 Wakai tunaendelea na hoja zetu, hebu angalia jinsi 'dada' alichofanya kwa mtoto wako! Jaman, msishtuke..ni vyema kama mtawapa upendo na kuwapunguzia kazi.... Attachments image002.jpg 26.4 KB · Views: 2,048
Wakai tunaendelea na hoja zetu, hebu angalia jinsi 'dada' alichofanya kwa mtoto wako! Jaman, msishtuke..ni vyema kama mtawapa upendo na kuwapunguzia kazi....
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,289 Reaction score 16,715 Apr 25, 2012 #2 mmmh!halafu yeye yuko wapi?
Losambo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 2,611 Reaction score 868 Apr 25, 2012 #3 Aisee inachekesha badala ya kusikitisha.
munisijo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 1,127 Reaction score 944 Apr 25, 2012 Thread starter #5 Zamaulid, yeye yupo kwenye sink anafua shuka na mataulo yaliyotumiwa jana usiku na 'baba/mama/bos'....duh Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Zamaulid, yeye yupo kwenye sink anafua shuka na mataulo yaliyotumiwa jana usiku na 'baba/mama/bos'....duh
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,386 Apr 25, 2012 #6 Duh kweli huyo house gal ni kiboko Mtoto miguu hapo na tumbo lake litakuwa balaa
salito JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 1,406 Reaction score 735 Apr 25, 2012 #7 eehh??kazi ipo...
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,289 Reaction score 16,715 Apr 25, 2012 #8 munisijo said: Zamaulid, yeye yupo kwenye sink anafua shuka na mataulo yaliyotumiwa jana usiku na 'baba/mama/bos'....duh Click to expand... mmmh!!!isijekuwa yuko na baba ndani!!kufua si angemweka chini akawa anachezea maji!!
munisijo said: Zamaulid, yeye yupo kwenye sink anafua shuka na mataulo yaliyotumiwa jana usiku na 'baba/mama/bos'....duh Click to expand... mmmh!!!isijekuwa yuko na baba ndani!!kufua si angemweka chini akawa anachezea maji!!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Apr 25, 2012 #9 atakuwa mkwezi mzuri wa minazi akikua.
NdasheneMbandu JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 940 Reaction score 308 Apr 25, 2012 #10 Sigma said: Click to expand... Aiseee, huu ubunifu siyo wa kawaida.
mjombo's JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 494 Reaction score 85 Apr 25, 2012 #11 dada ametisha
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,264 Apr 26, 2012 #12 Sigma said: Click to expand... duh! Nimecheka hadi nikapaliwa japo inasikitisha
S Song'ito JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 348 Reaction score 150 Apr 26, 2012 #13 Zamaulid said: mmmh!halafu yeye yuko wapi? Click to expand... yupo nadani na hause boy, kwenye kidali pooo!!
Zamaulid said: mmmh!halafu yeye yuko wapi? Click to expand... yupo nadani na hause boy, kwenye kidali pooo!!
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,239 Reaction score 3,939 Apr 26, 2012 #14 Huyo itakuwa ni hausi boi aliyefanya hivyo.
Kombo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,812 Reaction score 511 Apr 26, 2012 #15 Duh! Bonge la ubunifu....inaelekea huyo mtoto anapenda sana kubebwa!
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,259 Reaction score 7,108 Apr 26, 2012 #16 Raia Fulani said: duh! Nimecheka hadi nikapaliwa japo inasikitisha Click to expand... THIS IS NOT RIGHT!! hii ni child abuse nakushangaa wacheka ...??????? mi nilipoiona hii picha nimekunja sura!
Raia Fulani said: duh! Nimecheka hadi nikapaliwa japo inasikitisha Click to expand... THIS IS NOT RIGHT!! hii ni child abuse nakushangaa wacheka ...??????? mi nilipoiona hii picha nimekunja sura!
mmbangifingi JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 2,839 Reaction score 567 Apr 26, 2012 #17 Raia Fulani said: duh! Nimecheka hadi nikapaliwa japo inasikitisha Click to expand... Hujanya?
J John Gelas Senior Member Joined Apr 25, 2012 Posts 168 Reaction score 7 Apr 26, 2012 #18 Atajakua mgema mnaz
Endangered JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 922 Reaction score 231 Apr 26, 2012 #19 Hii picha ina reflect vitu vingi sana! Nimesikitika sana kwa kweli. Naombeni source yake please.
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,381 Apr 26, 2012 #20 haaaa Mungu atunusuru tu na hawa ma HG wetu duh