House Girls?!

House Girls?!

munisijo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
1,127
Reaction score
944
Wakai tunaendelea na hoja zetu, hebu angalia jinsi 'dada' alichofanya kwa mtoto wako! Jaman, msishtuke..ni vyema kama mtawapa upendo na kuwapunguzia kazi....
 

Attachments

  • image002.jpg
    image002.jpg
    26.4 KB · Views: 2,048
Zamaulid, yeye yupo kwenye sink anafua shuka na mataulo yaliyotumiwa jana usiku na 'baba/mama/bos'....duh
 
Last edited by a moderator:
Duh kweli huyo house gal ni kiboko
Mtoto miguu hapo na tumbo lake litakuwa balaa
 
Huyo itakuwa ni hausi boi aliyefanya hivyo.
 
Duh! Bonge la ubunifu....inaelekea huyo mtoto anapenda sana kubebwa!
 
Hii picha ina reflect vitu vingi sana!
Nimesikitika sana kwa kweli.

Naombeni source yake please.
 
Back
Top Bottom