Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Dharau ya mkeo haiwezi kukufanya ukatembea na house girl wako huo bado ni uma....ya tu. Wala housegal hawezi kulipa kisasi hapo nakataa, bado unshine wa mume unaplay part! Kama ni mstaraabu na anajiheshimu hawezi kupelekwa na house gal kwanza wababa wanaojiheshimu huwa wanakemea tabia chafu za wafanyakazi wao na pengine humwambia mama mwenye mji. Kama mkeo kakushinda kwa dharau na unamuona msichana wako wa kazi ndo mbora zaidi ndo maana nikasema bora kuachana ili umuoe huyo housegirl ijulikane kabisa!!Mkuu kuna wanwake wanawadharau sana hawa watu Lakini hawa pia ni binadam na ni wanawake kama wao na pia wengine wameweza hata kuwalipizia kwa kuwachukulia waume zao.
So wat!!!! hata dada yako mwanamke pia...kwaiyo uendeleze libeneke kwa kila mwanamke tu!
s.... taipu!!!
kama mwanao wa kike anafanya hizo kazi kwa nini usimuoe? Tena kama wale wanaolelewa na mama zao wasiowapenda(sanasana wale ambao si wakuwazaa) ndo mnawapelekesha kweli huku mnawadekeza hao vimada wenu! Utakuta kimwanamke kimekaa eti kinasubiria binti atoke shule ndo aje afanye kazi zote halafu na libaba nalo linatoka kazini linaangalia tu eti 'my wife' kapumzika! Kama kazi zote hizo anabambikiwa mtoto kwanini usitembee na huyo mwanao kama kigezo ni kazi?!!! Hujaniconvice bado....Kazi hizi zote afanye halafu asipewe zawadi ya ushindi kwa nini,...kufua,kupika,kuosha vyombo,kutenga chakula,kupasi nguo,kuogesha watoto,kudeki,kubrsh viatu, ...and so forth and so on..........cha kufanya kama hampendi achukue nafasi ni mjitahidi kufanya majukumu yenu ya msingi kama wake
Mkuu kuna wanwake wanawadharau sana hawa watu
Lakini hawa pia ni binadam na ni wanawake kama wao na pia wengine wameweza hata kuwalipizia kwa kuwachukulia waume zao.
Kweli!mimi nawadharau sana wanaume wanaotembea na mahousigeli wao! hawana tofauti na wanawake wanaotembea na baba wakwe zao! yaani wanawake woote na vimeo huko barabarani uje ukatembee na housigeli, ambaye mm namchukulia kama mwanangu ama mdogo wangu? yaani nitamuozesha housigeli kwa lazima na kumuachia nyumba kama adhabu afu ahangaike nae!hivi mimi naweza kutembea na fundi ambaye mume wangu anapeleka gari alifanyie service kwa sababu mume wangu haingii uvunguni mwa gari mwenyewe? akili matope,kama kuna mtembea na mahousigeli anasoma hii, asee aache manake ni aibu na hiyo ndo level yake ya upumbavu!
Kutembea na house girl wako ni kutokumuheshimu mkeo na hata kujiheshimu wewe mwenyewe,ukishalala na house girl hata mwanao unaweza kulala nae,ukisikia uzinzi usokua na mipaka ndio huo, yani mke yuko ndani umuache ukamfate house girl chumba cha pili? hata kama anafua anapika ana peleka watoto shule hayo yote ndio kazi aloajiriwa kufanya haiusiani kama mama anafanya majukumu yake au la, na sidhani kama pia kuna ulazima ww baba wa ndani ya nyumba uwe na ukaribu na house girl ,unachotaka mulize mkeo imetosha ww na house girl baada ya salam au ukimuliza jambo imetosha,utaona baba mzima anasifia kwa wenzie house girl wangu tangu nilipo muajiri sikuizi namuona anapendeza guu guu wo wo wo ndio oooooooooo roho inanienda mbio akitembea ndio ananimaliza kabisaaaaaaaaaaa! loo! fisadi usojijua.
Sasa kama atakuwa anaoa mahausi girl atawaoa wangap? Koz mke akisepa h/g alieolewa anakuwa mke, then wanamtafuta h/g mwingine, mzee atakula huyu mpya, then wife(h/g wa mwanzo) atakula njia, mgeni anaolewa kisha anatafutiwa h/g mwingine mzee kama kawa anamega, wife barabara,,,,,,, itakuwa ndo nini?Thats not a defence. Mwanaume mwenyewe kama ni kicheche, kicheche tu hata ufanyeje! Mwanaume mwenye busara na anaejiheshimu hawezi fanya upuuzi huu ni bora akuache tu ili waoane kabisa.
Ma hausi girl wanajua kuwa'handle wanaume (waume za watu)Ukicheza ataruka na mumeoSo......!
fimbo ya mbali haiui nyoka bana,.....by the way_nafikiri mama mwenye nyumba ndio anachangia kwa kiasi kikubwa mzee afanye hivyo,hasa pale anapomwachia kila kitu afanye msichana wa kazi,.....unasema alah aache nini
Nashangaa! Yaani hayo sio maisha kabisa ni upuuzi tu na uchafu mtupu!!! Baba mzina eti anajianika kwa house girl lol! Shame on him...!!!Sasa kama atakuwa anaoa mahausi girl atawaoa wangap? Koz mke akisepa h/g alieolewa anakuwa mke, then wanamtafuta h/g mwingine, mzee atakula huyu mpya, then wife(h/g wa mwanzo) atakula njia, mgeni anaolewa kisha anatafutiwa h/g mwingine mzee kama kawa anamega, wife barabara,,,,,,, itakuwa ndo nini?
Si wanawaona ni maboya ndo maana wanawakomba akili coz wameshajua udhaifu wao na tamaa zao!! Hakuna cha kuhandle wala nini hizo ni tamaa tu za wanaume wenyewe. (wanaotenda).Ma hausi girl wanajua kuwa'handle wanaume (waume za watu)
Wakati anakuja kufanya kazi ilo geti halikuonekana ee? Vipi mkeo akifanya hivyo na house boy kwa kisingizio cha geti utashangilia eti? Na ataonekanaje mbele ya familia na jamii kwa ujumla? Yaani hata hicho bado ni kisingizio tu cha tamaa za mwili.jamani sometimes mahose girl wengine hawavutii hata kidogo hivyo inakuwa vigumu yeye kutongozwa na vijana wengine wa kitaa, sasa house girl amekaa kwangu miaka miwili au zaidi na yeye ni mtu mzima basi anahitaji kupata burudani wanayopata watu wazima, mimi nitamla kwa kumsaidia tu na si vinginevyo maana nisipomla atamla nani na kwangu geti kali?