Catherine
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,261
- 764
Nashangaa, kamwachia paka amlindie samaki wake??
hapooo chacha!!!. angembeba hg wake akaenda nae huko kijijini.
Nashangaa, kamwachia paka amlindie samaki wake??
hapooo chacha!!!. angembeba hg wake akaenda nae huko kijijini.
bora hilo kuliko mume. chezeiya uchungu wa mume giLESi!!!!!
unajua kasheshe za kutafuta wadada wa kazi siku hizi?Mh ina maana kakubali matokeo au huyu kafungwa lock ?
huko nako hausigeli angetembea na baba mzazi wa mwajiri wake
yani hiyo bold imenifahya nicheke kwa sauti ujue!KHA!sasa nikajiulizahahaha platozoom ndo maana nikakuBCC
Na u r right roho wako ni wa kweli, maslahi ninayo sana tu...mi ni mtetezi wa haki za binadamu, hasa walio kwenye makundi 'yaliyosahaulika'...hapana chezeya
Kabisaa..
mtu ukiwa unaonesha sura ya kazi sio tu housegirl...hata officemate hakuletei habari hizo...
sasa huyu housegirl keshamsoma na anajua anachokifanya....kazi ipo...
mume mchungu mwenzangu wee, dawa ni kumuondoa tu huyo binti.
asije akawaua nyumba nzima kwa ukimwi.
Kuna nyumba fulani walipata katoto kadogo ka kazi, kumbe kaathirika. Baba akatembea na hako kabinti, na kijana wao wa kiume akatembea na huyo binti.
familia ikaishia hapo
Yaani baba anatembea na Housegirl, mkewe na mtoto wake wa kikemume mchungu mwenzangu wee, dawa ni kumuondoa tu huyo binti.
asije akawaua nyumba nzima kwa ukimwi.
Kuna nyumba fulani walipata katoto kadogo ka kazi, kumbe kaathirika. Baba akatembea na hako kabinti, na kijana wao wa kiume akatembea na huyo binti.
familia ikaishia hapo
unajua kasheshe za kutafuta wadada wa kazi siku hizi?
Mkuu msaidie penzi huyo mtoto usiwe mchoyo.
Acha asikwambie mtu tena wengine wanakuja ni vimeo kweli week hakai eti kakumbuka kwao. tumehsbadilisha mahg nafikiri wanafika ishirini ukihesabu kutoka january na wale wakutapeliwa unambiwa tuma nauli anakaa wiki eti kakumbuka kwao,mara naitwa niende shule kumbe ni recycling wanatoka hapa hapa bongo mwingine kakimbia baada ya siku mbili usiku wamanane kaacha begi kumbe ni wa hapo kimara katuma mtu aje achukue begi nikamwambie arudisha ile hela ya nauli sijawaona tena huu mwezi watano.
kwani huyo hg yeye kila akiwa na access na mwanamme yeye anakula kichwa!!!!huko nako hausigeli angetembea na baba mzazi wa mwajiri wake
siri zipo kiongozi vinginevyo Mbuzi Mzee angesha fumaniwa siku nyingi!!!mfukuze haraka sana ataharibu ndoa yako hakuna siri kwenye mapenzi