House girl kaniandikia barua ya mapenzi

House girl kaniandikia barua ya mapenzi

Mimi sikumlaumu GH ndio maana hata wengine wamemnyooshea kidole "baba"
BTW Kaizer kuna karoho kananiambia una maslahi kwenye huu uzi!!

hahaha platozoom ndo maana nikakuBCC

Na u r right roho wako ni wa kweli, maslahi ninayo sana tu...mi ni mtetezi wa haki za binadamu, hasa walio kwenye makundi 'yaliyosahaulika'...hapana chezeya
 
Last edited by a moderator:
Mh huyo siyo, kama ana ujasiri wa kufanya hivyo ina maana kapinda atawafanyia vituko hapo hata kama si vya kimapenzi jiandaeni kwa makusudi na mapungufu haswa, msemee kwa mkeo, au umuondoe la sivyo...... Nawe acha kumpa signs zinazompa ujasiri wa kukuandikia na umgombeze
 
hahaha platozoom ndo maana nikakuBCC

Na u r right roho wako ni wa kweli, maslahi ninayo sana tu...mi ni mtetezi wa haki za binadamu, hasa walio kwenye makundi 'yaliyosahaulika'...hapana chezeya

Na utetezi wako ni makini kweli, ila hakikisha unacheza salama.Si unajua utetezi una makandokando yake!!
 
Wife yuko mkoani kwa ajili ya kujifungua. Tuliamua aende huko kwa kuwa ni uzazi wake wa kwanza na hapa mjini hatuna ndugu wa kuweza kusaidia mambo ya kumkanda, kumpikia na huduma nyingine kwa mama mzazi.
Akiwa anajiandaa kuondoka, tuliletewa kasichana kadogo ka kazi umri miaka 16.
Kwa kweli sina mazoea nako na muda mwingi niwapo home nautumia kufanya kazi zangu za ofisini.
Leo asubuhi nilimwambia mtoto aniandikie orodha ya vitu tunavyohitaji kwa matumizi ya nyumbani.
Muda huu ndio binti kanipa hiyo orodha ili kesho nikafanye shopping.
Nimeipitia list, na nilipoguza ukurasa wa nyuma ndipo nkakutana na hiyo barua ya mapenzi.
Binti kaanza kwa kunisifia, akamaliza kwa kusema yuko tayari kuwa mpenzi wangu, na anasema tufanye iwe siri mke wangu asijue.
Anadai atahakikisha anamheshimu na kumtii mke wangu.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa, maana katoto haka ni kadogo sana sijui ujasiri kameuptata wapi?

Huyo ni mtoto sana msaidie kwa kumshauri halafu mpeleke shule. Angekuwa mkubwa hapo kama miaka 25 haaa si bahati hiyo kaka! Mzigo umejileta wenyewe!
 
hata ya binti yako tamu?
Hg ni kama binti yangu tu

Kwani nani kakwambia ya binti siyo tamu.....?
Mie Hg siyo kama binti yangu ila ni binti kwangu......!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Tena mabinti mitaani siku hizi ndiyo wehu wa haya mambo....!
Kwenye all night clubs wengi ni mabinti na Madume makubwa kubwa.....pata picha sasa.....!
 
hahah anakutafutia scandle hako ka binti.....Hongera kwa kuzimiwa brother
 
haha,umenikumbusha mbali,kuna housegirl alikuja kuomba kazi....swali alilouliza lilisababisha tusitishe hiyo nafasi...eti "je mna DSTV?,maana kuna kipindi nafuatilia"........tukachoka kabisa

Hahahaaa ndo ma-HG wa kisasa hao na ukizubaa tu kitu kimeani.................!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
We unakuta HG anasuka nywele za elfu 50,000 wakati mama totooo ana wig miezi nenda rudi.........!
Wababa tukaze mikanda......!
Hapo ujue HG ana kidume cha nguvu kuliko wewe Mkuu wa kaya........!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Imekaa Kishigongo Shigongo hii!!:ranger:

:biggrin1: mkuu HG anakuomba ruhusa ya kwenda kusalimia kwao ukikubali tu unakuta mchuma umepaki nje unamsubiria na siku ya kurudi mchuma unamleta wakati mwenyewe huna hata baiskeli.......!!!!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
huko tuendako nafanya maandalizi ya kuajiri HG anayekuja asubuhi na kuondoka jioni,maana siku hizi hawa mahouse girl hawa wanatoka kwao wamepewa kazi moja ya kuja kupoka majukum ya wake zetu.Ukijisahau dk unapigwa tatu bila na lazima ukae....!!!
 
Wife yuko mkoani kwa ajili ya kujifungua. Tuliamua aende huko kwa kuwa ni uzazi wake wa kwanza na hapa mjini hatuna ndugu wa kuweza kusaidia mambo ya kumkanda, kumpikia na huduma nyingine kwa mama mzazi.
Akiwa anajiandaa kuondoka, tuliletewa kasichana kadogo ka kazi umri miaka 16.
Kwa kweli sina mazoea nako na muda mwingi niwapo home nautumia kufanya kazi zangu za ofisini.
Leo asubuhi nilimwambia mtoto aniandikie orodha ya vitu tunavyohitaji kwa matumizi ya nyumbani.
Muda huu ndio binti kanipa hiyo orodha ili kesho nikafanye shopping.
Nimeipitia list, na nilipoguza ukurasa wa nyuma ndipo nkakutana na hiyo barua ya mapenzi.
Binti kaanza kwa kunisifia, akamaliza kwa kusema yuko tayari kuwa mpenzi wangu, na anasema tufanye iwe siri mke wangu asijue.
Anadai atahakikisha anamheshimu na kumtii mke wangu.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa, maana katoto haka ni kadogo sana sijui ujasiri kameuptata wapi?
Huyo hg anaonekana ni mzoefu wa hayo mambo na hakutokea kijijini huyo katokea hapo buguruni au uwanja wa fisi isitoshe we baba hujatulia inaonekana tangu umsafirishe huyo mkeo umeshaleta vibinti tofauti tofauti hapo nyumbani na ndio maana hg kaona kwa nini ukachukue mbali ilihali yeye yupo hapo karibu tu?
 
ACHANA NAYE USIJE AMKA NEXT DAY UKAKUTA JAMAA WANAKUIMBIA MWALI, MWALI, MWALI, MWALI, MWALI ,MWALI UTAJUTA KUZALIWA

Kuna muhindi mmoja alisema " BORA KEKO KULIKO KONGA(UKONGA) KONGA WATU WANAGOMBANIA ***** KAMA YAO"
 
huyu mtoto ameshaona hakuna rejection hapo...... yeye ndo ana-dictate terms and conditions........
umeona sasa hapo?
binti kaona kuna mlango! lazima kaka ulimeonyesha udhaifu ambao umempa guts huyo mtoto kuweza kukuandikia! kikubwa baba anatakiwa awe na sura ya kazi, asiwe na mazoea kwa h/girls kwani wengi huwa wanaangalia hata kama baba haumweshimu mkeo na h/g naye ataanza kumwonyesha dharau. Hivyo hapo kuna tatizo kwa baba! na mpaka umekuja kuomba msaada hapa jf wa kimawazo ina maana uko tayari kukubari au tayari ushafanya ila unajibaraguza tu!
badilika chukua hatua!!!:attention:
 
aka katoto kakoje? kanene au kembamba?? da..... sijui katasalimika wajameni nakaonea huruma
 
Mimi sikumlaumu GH ndio maana hata wengine wamemnyooshea kidole "baba"
BTW Kaizer kuna karoho kananiambia una maslahi kwenye huu uzi!!
umemjibu vyema sana Kaizer hakuna mtu aliyemlaumu binti bali wengi wetu tumemlaumu baba na istoshe pale HG iliposemwa imesemwa ktk hali ya kutolea experience tu lkn haikubase kwa huyu binti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom