House girl kaniandikia barua ya mapenzi

Wife yuko mkoani kwa ajili ya kujifungua. Tuliamua aende huko kwa kuwa ni uzazi wake wa kwanza na hapa mjini hatuna ndugu wa kuweza kusaidia mambo ya kumkanda, kumpikia na huduma nyingine kwa mama mzazi.
Akiwa anajiandaa kuondoka, tuliletewa kasichana kadogo ka kazi umri miaka 16.
Kwa kweli sina mazoea nako na muda mwingi niwapo home nautumia kufanya kazi zangu za ofisini.
Leo asubuhi nilimwambia mtoto aniandikie orodha ya vitu tunavyohitaji kwa matumizi ya nyumbani.
Muda huu ndio binti kanipa hiyo orodha ili kesho nikafanye shopping.
Nimeipitia list, na nilipoguza ukurasa wa nyuma ndipo nkakutana na hiyo barua ya mapenzi.
Binti kaanza kwa kunisifia, akamaliza kwa kusema yuko tayari kuwa mpenzi wangu, na anasema tufanye iwe siri mke wangu asijue.
Anadai atahakikisha anamheshimu na kumtii mke wangu.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa, maana katoto haka ni kadogo sana sijui ujasiri kameuptata wapi?
Kilichofanya uchanganyikiwe ni kipi?
 
Kuwa makini isije kuwa ni mtego wa maadui zako maana siku hizi wanatumia mbinu nyingi sana, ushauri WANGU ni kwamba kaa kimya kama hujaona ujumbe huo then angalia kitakachoendelea
 
Hii imekaa kama bongo movie hivi lol

but hongera kwa kuzimikiwa na housegirl...

Ushauri wangu kama umeshtushwa kweli basi mpeleke shule huyo mtoto..
miaka 16 anastahili kuwa shule....
Hiyo shule hata afundishwe na Malaika hatoelewa kitu... Kuna uhusiano hasi (negative correlation) kati ya mapenzi na masomo...
 
Wife yuko mkoani kwa ajili ya kujifungua. Tuliamua aende huko kwa kuwa ni uzazi wake wa kwanza na hapa mjini hatuna ndugu wa kuweza kusaidia mambo ya kumkanda, kumpikia na huduma nyingine kwa mama mzazi.
Akiwa anajiandaa kuondoka, tuliletewa kasichana kadogo ka kazi umri miaka 16.
Kwa kweli sina mazoea nako na muda mwingi niwapo home nautumia kufanya kazi zangu za ofisini.
Leo asubuhi nilimwambia mtoto aniandikie orodha ya vitu tunavyohitaji kwa matumizi ya nyumbani.
Muda huu ndio binti kanipa hiyo orodha ili kesho nikafanye shopping.
Nimeipitia list, na nilipoguza ukurasa wa nyuma ndipo nkakutana na hiyo barua ya mapenzi.
Binti kaanza kwa kunisifia, akamaliza kwa kusema yuko tayari kuwa mpenzi wangu, na anasema tufanye iwe siri mke wangu asijue.
Anadai atahakikisha anamheshimu na kumtii mke wangu.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa, maana katoto haka ni kadogo sana sijui ujasiri kameuptata wapi?
Tutakuamini vipi? Weka copy ya barua ukiambatanisha na picha ya huyo hg.
 
Hizi stori au hadithi? Mimba ya kwanza wife anaondoka sasa huyo dada wa nini hapo? Alijua yeye ni replacement wa wife
 
Wife yuko mkoani kwa ajili ya kujifungua. Tuliamua aende huko kwa kuwa ni uzazi wake wa kwanza na hapa mjini hatuna ndugu wa kuweza kusaidia mambo ya kumkanda, kumpikia na huduma nyingine kwa mama mzazi.
Akiwa anajiandaa kuondoka, tuliletewa kasichana kadogo ka kazi umri miaka 16.
Kwa kweli sina mazoea nako na muda mwingi niwapo home nautumia kufanya kazi zangu za ofisini.
Leo asubuhi nilimwambia mtoto aniandikie orodha ya vitu tunavyohitaji kwa matumizi ya nyumbani.
Muda huu ndio binti kanipa hiyo orodha ili kesho nikafanye shopping.
Nimeipitia list, na nilipoguza ukurasa wa nyuma ndipo nkakutana na hiyo barua ya mapenzi.
Binti kaanza kwa kunisifia, akamaliza kwa kusema yuko tayari kuwa mpenzi wangu, na anasema tufanye iwe siri mke wangu asijue.
Anadai atahakikisha anamheshimu na kumtii mke wangu.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa, maana katoto haka ni kadogo sana sijui ujasiri kameuptata wapi?
Unashangaa ujasiri kaupata wapi, jibu Ni rahisi..., wewe ndio umempa ujasiri wa kuandika hou upuuzi wake, na ukiendelea hii zambi itakutafuna Tu..
 
Haaaaa,tafuna kaka, sisi kikwetu tunakulagaaa,km umtaki mpeleke shule. spendagi ujinga nakulaga tu! ful stop.
 
We tafuna tu uangalie kasivimbiwe tu.kwani katatafunwa na nani? fimbo ya mbali haiuwi nyoka.
 
Hivi mtu mzima unatongozwa na housegirl na unasema umechanganyikiwa hujui ufanyeje? How comes? Sema tu nawe unamtaka huyo mtoto!
 
1480284617872.jpg
 
Back
Top Bottom