House girl kaniandikia barua ya mapenzi

House girl kaniandikia barua ya mapenzi

Wife yuko mkoani kwa ajili ya kujifungua. Tuliamua aende huko kwa kuwa ni uzazi wake wa kwanza na hapa mjini hatuna ndugu wa kuweza kusaidia mambo ya kumkanda, kumpikia na huduma nyingine kwa mama mzazi.
Akiwa anajiandaa kuondoka, tuliletewa kasichana kadogo ka kazi umri miaka 16.
Kwa kweli sina mazoea nako na muda mwingi niwapo home nautumia kufanya kazi zangu za ofisini.
Leo asubuhi nilimwambia mtoto aniandikie orodha ya vitu tunavyohitaji kwa matumizi ya nyumbani.
Muda huu ndio binti kanipa hiyo orodha ili kesho nikafanye shopping.
Nimeipitia list, na nilipoguza ukurasa wa nyuma ndipo nkakutana na hiyo barua ya mapenzi.
Binti kaanza kwa kunisifia, akamaliza kwa kusema yuko tayari kuwa mpenzi wangu, na anasema tufanye iwe siri mke wangu asijue.
Anadai atahakikisha anamheshimu na kumtii mke wangu.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa, maana katoto haka ni kadogo sana sijui ujasiri kameuptata wapi?
usijaribu kuhatarisha ndoa yako kiasi hicho......... miaka 16 afu ajiamini kuomba mechi na baba mwenye nyumba huyo atakuwa chan* mzoefu angalia asijekupa libwata ukamsahau/mizizi ukamsahau mkeo ukamweka ndani yeye. Mi nishashuhudia housegirl anapindua ndoa ya watu
 
umemjibu vyema sana Kaizer hakuna mtu aliyemlaumu binti bali wengi wetu tumemlaumu baba na istoshe pale HG iliposemwa imesemwa ktk hali ya kutolea experience tu lkn haikubase kwa huyu binti

Umeana eeh! Mimi naona karoho kangu kananiambia ukweli. Hapa Mzee mzima Kaizer ana maslahi yasiyokuwa ya kawaida.
 
Last edited by a moderator:
Hivi wajemeni,

Huyo House Girl amekosea wapi kuandika barua?

Ukiacha suala la umri, HG ni binadamu na zaidi Mwanamke...ana hisia kama wanawake wengine, ana HAKI na UHURU wa kuelezea hisia zake kama wanawake wengine..

Kwamba ni HG hakumfanyi awe NUSU mtu hivi, the way wengi wetu tunavojaribu kumwakilisha kwenye huu uzi.

Mtanisamehe lakini nadhani anapaswa kpata nasaha juu ya umri na wajibu wake wa kazi.

Kutokuwajibika zaidi kupo kwa hao 'mabosi' wake...zama hizi mkeo anaenda kujifungulia kwao, kisa na maana? kama suala la kukanda mkandaji si aje hapo nyumbani? utapata lini 'uchungu' wa mtoto kama usiposhiriki hizo sleepless nights na mkeo? hilo ndio kosa

Nawaomba hebu tufikirie tena, tumpe some dignity huyu "HG"....hajavunja katiba.... (msinambie hapa oooh kuna ndoa hapo anaingilia ndoa ya watu..ni juu ya mwanaume kukataaa/kukubali......)

CC: The Boss, @FP, gfsonwin, King'asti, snowhite, Mtambuzi, snochet, Nasema,
BCC Asprin, platozoom cacico, lara 1 Karucee, Madame B

Hommie mie sina la kuongeza. Umemaliza kila kitu.

Ila tu nina kaswali ka kizushi: Huu utirio ulioumwaga hapa kakufundisha Yohana Mbatizaji au umekopi notes za Yesu wa Nazareti?
 
Sababu ya kumpeleka mkeo mkoani kwa ajili ya kujifungua haina nguvu. eti hakuna mtu wa kumhudumia akishajifungua!!! wewe unaishi vipi na jirani zako hapa mjini? kwani anayeweza kumhudumia mkeo lazima awe ndugu yako wa damu? majirani zako na jamaa unaofahamiana nao hapa mjini ni ndugu zako pia.
Ungekuwa umefiwa ama umeugua ama kuuguliwa nyumbani mwako usiku ungekimbilia huko mkoani kuwaita ndugu zako?
Halafu huyo house girl hukujui kwao? kwanini usimrudishe mpaka uamue kumpeleka shule za QT?
 
hahaha platozoom ndo maana nikakuBCC

Na u r right roho wako ni wa kweli, maslahi ninayo sana tu...mi ni mtetezi wa haki za binadamu, hasa walio kwenye makundi 'yaliyosahaulika'...hapana chezeya
Hommie hebu niambie hivi mabaamedi nao wako kwenye kundi lililosahaulika?

Nataka nijiunge kwenye kambi yako asee.
 
Jiheshimu sana Mzee usije ukakosa heshima kwa sababu ya kitu kidogo sana tena starehe ya sekunde tu lakini ikukoseshe heshima kwa maisha yako yote kwa watu wote wanaokuzunguka. Kumbuka mapenzi hayana siri. mkeo atakuja jua tu
 
Mtambuzi, naomba uniambie kama kweli wewe hukuwahi kumrukia huyo binti maana hapa masikitiko yako ya kihisia yako bayana.
huko Mbagala na alikuwa anakula vichwa mbayaaa....
Kasije kuwa kalikuwa kachangu mitaa ya uwanja wa Fisi na huko kijijini kamesingizia tu, bali ni kenyeji hapa town.

Nakumbuka mwaka juzi nililetewa house girl ambaye alikuwa ni Bar maid maeneo ya Mbagala na sisi hatukujua na alikuwa na heshima kweli zile za kijijini. tuliishi naye kama miezi miwili,hivi tukijua katokea kijijini na kila akienda sokoni ni lazima ajitande ushungi hasa.

Sasa siku moja nikatembelewa rafiki yangu aishie Mbagala na alipomuona tu alishtuka sana, hakutoka sebuleni na kila akiitwa ili kutumwa alikuwa anatoka lakini uso wake ulitawalaiwa na aibu sana. wakati namsindikiza mgeni ndipo akanijuza kuwa yule binti alikuwa ni Bar maid huko Mbagala na alikuwa anakula vichwa mbayaaa....

Nilipomweleza mke wangu alishtuka sana, lakini tukapanga tuishi naye kwa akili na ikifika mwisho wa mwezi tumruhusu aondoke na tulifanya hivyo lakini hatukumwambia sababu zaidi ya kumweleza kuwa hatuhitaji tena msichana wa kazi.
 
Last edited by a moderator:
Babu yangu Mtambuzi, kwani kuna ubaya gani mtu aliyewahi kuwa barmaid kufanya kazi za ndani?
Ubarmaid unatatizo gani? hata hivyo kula vichwa ni kwa sababu ya mazingira ya kazi, na kama ana
jiheshimu sijaona sababu ya msingi iliyokufanya umwondoe/au wengine wawaondoe! Inaonekana
kabisa kuna kazi ambazo mtu akizifanya basi zinamwondolea utu kabisa?

Swali; Mbona kule kijijini watu wengi sana mama zao wamefanya kazi ya Ubarmaid (wameuza sana
pombe za kienyeji kwenye vilabu [Kazi ni hilehile mazingira ndo tofauti]), na watu wengi wakiwemo viongozi wamewahi kutoa ushuhuda kuwa wamesomeshwa na hela za pombe, inakuaje hapa tuwatelekeze na mama zetu????????


Kasije kuwa kalikuwa kachangu mitaa ya uwanja wa Fisi na huko kijijini kamesingizia tu, bali ni kenyeji hapa town.

Nakumbuka mwaka juzi nililetewa house girl ambaye alikuwa ni Bar maid maeneo ya Mbagala na sisi hatukujua na alikuwa na heshima kweli zile za kijijini. tuliishi naye kama miezi miwili,hivi tukijua katokea kijijini na kila akienda sokoni ni lazima ajitande ushungi hasa.

Sasa siku moja nikatembelewa rafiki yangu aishie Mbagala na alipomuona tu alishtuka sana, hakutoka sebuleni na kila akiitwa ili kutumwa alikuwa anatoka lakini uso wake ulitawalaiwa na aibu sana. wakati namsindikiza mgeni ndipo akanijuza kuwa yule binti alikuwa ni Bar maid huko Mbagala na alikuwa anakula vichwa mbayaaa....

Nilipomweleza mke wangu alishtuka sana, lakini tukapanga tuishi naye kwa akili na ikifika mwisho wa mwezi tumruhusu aondoke na tulifanya hivyo lakini hatukumwambia sababu zaidi ya kumweleza kuwa hatuhitaji tena msichana wa kazi.
 
haaaaaa haaaa mama mbavu zangu, ila wewe baada ya kupokea barua ungekaita ukakaripie sasa umetulia kameanza kupata hope ya kukubalika kaite ukatemee chehche. ukilegeza kamba kanaweza kuku ingiza pabaya sio rahisi utembee na house girl mkeo asijum lazma itajulikana tu
 
Huyo ci mtoto tena,ni mkubwa mwenzio, mwambie kwa ukali kuwa citaki mchezo wa kipumbavu,na ukiendelea nitamuonyesha mama yako! Huu ujumbe!!
 
hapo sasa....... amepata wapi nguvu za kuandikia baba mwenye nyumba barua?
kuna baba mmoja alikuwa hajawahi pitiwa na hg......kila hg lazima ampitie. mama alifukuza weeeeeee baadae akaamua imetosha, kamleta mmoja hapo ndo yupo kwa muda mreeeefffuuuuuu

Mh ina maana kakubali matokeo au huyu kafungwa lock ?
 
kula kama kinaahidi kumuheshimu wife biringisha

mmmuu Shwahini nyie ndio wahalibifu wa watoto wa watu wewe inaonyesha ndio ulianza kukitania hicho kitoto sasa unataka ushahuli kua HALALI AU HALAM..jibu ni uchafu ni kuidhalilisha nyumba yako hacha Tamaa hua hayaishii hapo ukizoea kula MANYAFU utamla mpaka SHEMIJIO na ma Housegir hawata Dumu kwani mkeo atajua 2 pole sana
 
Ila inaelekea ni tabia ya hako kabinti,We kaeleze live kuwa kamefata kazi kafanye kazi, wewe una mke na huwezi kuwa na mahusiano naye. TENA KAWEKEE SURA YA KAZI

wasichana wengi wa kazi, nadhani either hufundishwa au huwa na mawazo ya kupindua nyumba wanazo kwenda kufanya kazi. Mkuu inabidi uwe strong, kanaweza kukuzukia usiku ukiwa umelala na kati kati ya usingizi ukashangaa....
 
siwezi toka kwangu nikajifungulie home, uvivu tu, tena na hg yupo? Akandwe kawa unga wa maandazi?

Umekula bingo, mle hg, ptuuu!

hgs wenyewe wa sku hizi wanafundishwa namna ya kumtega baba mwenye nyumba kabla hawajatoka kwao. hatari tupu.
 
Back
Top Bottom