House girl kaniandikia barua ya mapenzi

House girl kaniandikia barua ya mapenzi

Hommie mie sina la kuongeza. Umemaliza kila kitu.

Ila tu nina kaswali ka kizushi: Huu utirio ulioumwaga hapa kakufundisha Yohana Mbatizaji au umekopi notes za Yesu wa Nazareti?

Unajua Yohana Mbatizaji alikuja, anabatiza kwa maji, na kufunga, watu wakamwona 'hamnazo'...kaja Yesu Mnazareti, anaponya kwa miujuzia wakamwambia ana Beelzebuli, sasa hommie hapo mi naona iwe vesheni yangu tu....
 
Acha asikwambie mtu tena wengine wanakuja ni vimeo kweli week hakai eti kakumbuka kwao. tumehsbadilisha mahg nafikiri wanafika ishirini ukihesabu kutoka january na wale wakutapeliwa unambiwa tuma nauli anakaa wiki eti kakumbuka kwao,mara naitwa niende shule kumbe ni recycling wanatoka hapa hapa bongo mwingine kakimbia baada ya siku mbili usiku wamanane kaacha begi kumbe ni wa hapo kimara katuma mtu aje achukue begi nikamwambie arudisha ile hela ya nauli sijawaona tena huu mwezi watano.
hiyo ndo sababu inayomfanya amwache huyo aendeleee tu, maana hata akimtoa huyo akaleta mwingine ataliwa, kwa hiyo kazi inakuwa kubadilisha wadada kila siku
 
Hommie hebu niambie hivi mabaamedi nao wako kwenye kundi lililosahaulika?

Nataka nijiunge kwenye kambi yako asee.


Shukran Asprin kwa Kunielewa....hukupata cheo cha ukaguzi hivi hivi.......
 
Last edited by a moderator:
Hivi wajemeni,

Huyo House Girl amekosea wapi kuandika barua?

Ukiacha suala la umri, HG ni binadamu na zaidi Mwanamke...ana hisia kama wanawake wengine, ana HAKI na UHURU wa kuelezea hisia zake kama wanawake wengine..

Kwamba ni HG hakumfanyi awe NUSU mtu hivi, the way wengi wetu tunavojaribu kumwakilisha kwenye huu uzi.

Mtanisamehe lakini nadhani anapaswa kpata nasaha juu ya umri na wajibu wake wa kazi.

Kutokuwajibika zaidi kupo kwa hao 'mabosi' wake...zama hizi mkeo anaenda kujifungulia kwao, kisa na maana? kama suala la kukanda mkandaji si aje hapo nyumbani? utapata lini 'uchungu' wa mtoto kama usiposhiriki hizo sleepless nights na mkeo? hilo ndio kosa

Nawaomba hebu tufikirie tena, tumpe some dignity huyu "HG"....hajavunja katiba.... (msinambie hapa oooh kuna ndoa hapo anaingilia ndoa ya watu..ni juu ya mwanaume kukataaa/kukubali......)

CC: The Boss, @FP, gfsonwin, King'asti, snowhite, Mtambuzi, snochet, Nasema,
BCC Asprin, platozoom cacico, lara 1 Karucee, Madame B
rafiki yangu Kaizer, kama umetusoma, hatupingi HG kuwa na hisia, tunachopinga ni kuonyesha hisia zake kwa baba mwenye nyumba.....yaani hamwogopi baba kiasi kwamba anaweza kumtongoza..... angeandikia hiyo barua hb wa jirani au mtoto wa baba mwenye nyumba wala isingekuwa kesi
CC: The Boss, @FP, gfsonwin, King'asti, snowhite, Mtambuzi, snochet, Nasema,
BCC Asprin, platozoom cacico, lara 1 Karucee, Madame B
 
Last edited by a moderator:
hiyo ndo sababu inayomfanya amwache huyo aendeleee tu, maana hata akimtoa huyo akaleta mwingine ataliwa, kwa hiyo kazi inakuwa kubadilisha wadada kila siku

Duu ila jamaa bandidu yaani anatafuna mpaka wife anajua na hatetereki game linaendelea kama kawa, sasa akifumaniwa anasemaje ?
 
Hii imekaa kama bongo movie hivi lol

but hongera kwa kuzimikiwa na housegirl...

Ushauri wangu kama umeshtushwa kweli basi mpeleke shule huyo mtoto..
miaka 16 anastahili kuwa shule....
mtoto anajua mpaka kuandika barua,haitaji shule,...anahitaji alichokiandika. Kama jamaa anauwezo nacho amtizimie tu.
 
nilimaanisha, always napenda kuwa kwangu hasa wakati wa vitu muhimu kama kujifungua, sikukuu nyingi niko home.

Afu, kuna prof mmoja gyno alinihakikishia kufunga ni utamaduni tu lakini hausaidii, mie sijawahi kandwa na maisha yananedelea.

Kuhusu hg, nimeshangaa baba mwenye nyumba anachanganywa na barua ya hg? Hivi binti yako anaweza kukuchanganya? Unless tumeanza kula mayai yetu ndo naweza kuelewa faza hausi na hg.

Wee Kongosho; ulimaanisha uliyoyaandika hapa???
 
Katoto ka miaka 16! Huyo mkubwa huyo! Kuna mapepo yanajibadilisha na kuwa watu! Jaribu kuonja uone ka mkeo atarudi mjini tena! Kemea hilo pepo kakaaaaaaaaaaa!
 
nilimaanisha, always napenda kuwa kwangu hasa wakati wa vitu muhimu kama kujifungua, sikukuu nyingi niko home.

Afu, kuna prof mmoja gyno alinihakikishia kufunga ni utamaduni tu lakini hausaidii, mie sijawahi kandwa na maisha yananedelea.

Kuhusu hg, nimeshangaa baba mwenye nyumba anachanganywa na barua ya hg? Hivi binti yako anaweza kukuchanganya? Unless tumeanza kula mayai yetu ndo naweza kuelewa faza hausi na hg.

Umesahau kuwa kama ni mtoto wa kwanza mama inabidi afundishwe namna ya kumlisha mtoto!
 
rafiki yangu Kaizer, kama umetusoma, hatupingi HG kuwa na hisia, tunachopinga ni kuonyesha hisia zake kwa baba mwenye nyumba.....yaani hamwogopi baba kiasi kwamba anaweza kumtongoza..... angeandikia hiyo barua hb wa jirani au mtoto wa baba mwenye nyumba wala isingekuwa kesi
CC: The Boss, @FP, gfsonwin, King'asti, snowhite, Mtambuzi, snochet, Nasema,
BCC Asprin, platozoom cacico, lara 1 Karucee, Madame B

@fp, na
Mimi ndo apo apo najiuliza kwa nini mnadhani HG hawezi au hana haki ya kuelezea hisia zake kwa mwanaume akiwemo baba mwenye nyumba?

Kwani baba hachakachui nje? Is there any lesser evil?
 
Last edited by a moderator:
Ha haa haa alikuwa anakula vichwa sio?

siku hizi unaletewa housegirl ana Blackberry ....huku mkeo ana Nokia tochi...
housegirl asubuhi anakwambia ' maambo uncle'?
huku kavaa ki pedo lol

mkuu umenivunja mbavu sana yani maisha aya!!!!
 
@fp, na
Mimi ndo apo apo najiuliza kwa nini mnadhani HG hawezi au hana haki ya kuelezea hisia zake kwa mwanaume akiwemo baba mwenye nyumba?

Kwani baba hachakachui nje? Is there any lesser evil?
mmmmh! hapa naomba wababa akina Dark City na The Boss waje wasaidie kujibu....... mimi sitaki kabisa kuwasemea
 
Last edited by a moderator:
Mpaka sa hv bado unamchekea? Hiv unadhan atamueshm mkeo zaid ya kumdharau na kufight ili mkeo aachike yeye akae jumla. Ningekua mim ningemcndkiza na makof had kwao ictoshe ushahd ninao. 2lizana na mkeo.
 
kametoka mkoa gani? ni kabila gani? usiwe na papara kachunguze uyajue mengi
 
hawa wanawake wa siku hizi tu baadhi yao ndio wavivu kama mlenda, nini cha kufundishwa hapo sasa?


Umesahau kuwa kama ni mtoto wa kwanza mama inabidi afundishwe namna ya kumlisha mtoto!
 
Wife yuko mkoani kwa ajili ya kujifungua. Tuliamua aende huko kwa kuwa ni uzazi wake wa kwanza na hapa mjini hatuna ndugu wa kuweza kusaidia mambo ya kumkanda, kumpikia na huduma nyingine kwa mama mzazi.
Akiwa anajiandaa kuondoka, tuliletewa kasichana kadogo ka kazi umri miaka 16.
Kwa kweli sina mazoea nako na muda mwingi niwapo home nautumia kufanya kazi zangu za ofisini.
Leo asubuhi nilimwambia mtoto aniandikie orodha ya vitu tunavyohitaji kwa matumizi ya nyumbani.
Muda huu ndio binti kanipa hiyo orodha ili kesho nikafanye shopping.
Nimeipitia list, na nilipoguza ukurasa wa nyuma ndipo nkakutana na hiyo barua ya mapenzi.
Binti kaanza kwa kunisifia, akamaliza kwa kusema yuko tayari kuwa mpenzi wangu, na anasema tufanye iwe siri mke wangu asijue.
Anadai atahakikisha anamheshimu na kumtii mke wangu.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa, maana katoto haka ni kadogo sana sijui ujasiri kameuptata wapi?

Angalia usije ukanasa mzee....... Waifu ametega kitu.....
 
Back
Top Bottom