haha,umenikumbusha mbali,kuna housegirl alikuja kuomba kazi....swali alilouliza lilisababisha tusitishe hiyo nafasi...eti "je mna DSTV?,maana kuna kipindi nafuatilia"........tukachoka kabisaHa haa haa alikuwa anakula vichwa sio?
siku hizi unaletewa housegirl ana Blackberry ....huku mkeo ana Nokia tochi...
housegirl asubuhi anakwambia ' maambo uncle'?
huku kavaa ki pedo lol
ha haaaaa, tena ikiwezekana anapeana likizo ma-housegirl..... wao ndo wanabaki wenyewe, utaona kama watajazana........Jeuri ya watu kujaa nyumbani kwako ni kuwapa kazi, just buni miradi wakusaidie kuzalisha na wavivu watakimbia wenyewe. Lakini usimtese ndugu yako kwani damu nzito kuliko maji.
Kasije kuwa kalikuwa kachangu mitaa ya uwanja wa Fisi na huko kijijini kamesingizia tu, bali ni kenyeji hapa town.
Nakumbuka mwaka juzi nililetewa house girl ambaye alikuwa ni Bar maid maeneo ya Mbagala na sisi hatukujua na alikuwa na heshima kweli zile za kijijini. tuliishi naye kama miezi miwili,hivi tukijua katokea kijijini na kila akienda sokoni ni lazima ajitande ushungi hasa.
Sasa siku moja nikatembelewa rafiki yangu aishie Mbagala na alipomuona tu alishtuka sana, hakutoka sebuleni na kila akiitwa ili kutumwa alikuwa anatoka lakini uso wake ulitawalaiwa na aibu sana. wakati namsindikiza mgeni ndipo akanijuza kuwa yule binti alikuwa ni Bar maid huko Mbagala na alikuwa anakula vichwa mbayaaa....
Nilipomweleza mke wangu alishtuka sana, lakini tukapanga tuishi naye kwa akili na ikifika mwisho wa mwezi tumruhusu aondoke na tulifanya hivyo lakini hatukumwambia sababu zaidi ya kumweleza kuwa hatuhitaji tena msichana wa kazi.
rafiki unakaba mpaka penati? lol!Mkuu unaanzisha threads nyingi mpaka unajichanganya hii hapa wife yuko mkoani kujifungua halafu. Hii hapa chini unazungumzia harusi yako iliyokuwa November 24, 2012 sasa sijui kati ya hizi threads zako mbili sijui ipi ni ya ukweli.
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/358169-je-hii-ni-adabu-naoa-kesho.html
haha,umenikumbusha mbali,kuna housegirl alikuja kuomba kazi....swali alilouliza lilisababisha tusitishe hiyo nafasi...eti "je mna DSTV?,maana kuna kipindi nafuatilia"........tukachoka kabisa
ha haaaaaaaaaaaaaaaa, huyo sasa kibokohaha,umenikumbusha mbali,kuna housegirl alikuja kuomba kazi....swali alilouliza lilisababisha tusitishe hiyo nafasi...eti "je mna DSTV?,maana kuna kipindi nafuatilia"........tukachoka kabisa
umeona eeeh! lolHa ha aha ha ha ha ha ha ha haha ha
Haouse girl of the year!
Wife yuko mkoani kwa ajili ya kujifungua. Tuliamua aende huko kwa kuwa ni uzazi wake wa kwanza na hapa mjini hatuna ndugu wa kuweza kusaidia mambo ya kumkanda, kumpikia na huduma nyingine kwa mama mzazi.
Akiwa anajiandaa kuondoka, tuliletewa kasichana kadogo ka kazi umri miaka 16.
Kwa kweli sina mazoea nako na muda mwingi niwapo home nautumia kufanya kazi zangu za ofisini.
Leo asubuhi nilimwambia mtoto aniandikie orodha ya vitu tunavyohitaji kwa matumizi ya nyumbani.
Muda huu ndio binti kanipa hiyo orodha ili kesho nikafanye shopping.
Nimeipitia list, na nilipoguza ukurasa wa nyuma ndipo nkakutana na hiyo barua ya mapenzi.
Binti kaanza kwa kunisifia, akamaliza kwa kusema yuko tayari kuwa mpenzi wangu, na anasema tufanye iwe siri mke wangu asijue.
Anadai atahakikisha anamheshimu na kumtii mke wangu.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa, maana katoto haka ni kadogo sana sijui ujasiri kameuptata wapi?

Hivi wajemeni,
Huyo House Girl amekosea wapi kuandika barua?
Ukiacha suala la umri, HG ni binadamu na zaidi Mwanamke...ana hisia kama wanawake wengine, ana HAKI na UHURU wa kuelezea hisia zake kama wanawake wengine..
Kwamba ni HG hakumfanyi awe NUSU mtu hivi, the way wengi wetu tunavojaribu kumwakilisha kwenye huu uzi.
Mtanisamehe lakini nadhani anapaswa kpata nasaha juu ya umri na wajibu wake wa kazi.
Kutokuwajibika zaidi kupo kwa hao 'mabosi' wake...zama hizi mkeo anaenda kujifungulia kwao, kisa na maana? kama suala la kukanda mkandaji si aje hapo nyumbani? utapata lini 'uchungu' wa mtoto kama usiposhiriki hizo sleepless nights na mkeo? hilo ndio kosa
Nawaomba hebu tufikirie tena, tumpe some dignity huyu "HG"....hajavunja katiba.... (msinambie hapa oooh kuna ndoa hapo anaingilia ndoa ya watu..ni juu ya mwanaume kukataaa/kukubali......)
CC: The Boss, @FP, gfsonwin, King'asti, snowhite, Mtambuzi, snochet, Nasema,
BCC Asprin, platozoom cacico, lara 1 Karucee, Madame B
Wife yuko mkoani kwa ajili ya kujifungua. Tuliamua aende huko kwa kuwa ni uzazi wake wa kwanza na hapa mjini hatuna ndugu wa kuweza kusaidia mambo ya kumkanda, kumpikia na huduma nyingine kwa mama mzazi.
Akiwa anajiandaa kuondoka, tuliletewa kasichana kadogo ka kazi umri miaka 16.
Kwa kweli sina mazoea nako na muda mwingi niwapo home nautumia kufanya kazi zangu za ofisini.
Leo asubuhi nilimwambia mtoto aniandikie orodha ya vitu tunavyohitaji kwa matumizi ya nyumbani.
Muda huu ndio binti kanipa hiyo orodha ili kesho nikafanye shopping.
Nimeipitia list, na nilipoguza ukurasa wa nyuma ndipo nkakutana na hiyo barua ya mapenzi.
Binti kaanza kwa kunisifia, akamaliza kwa kusema yuko tayari kuwa mpenzi wangu, na anasema tufanye iwe siri mke wangu asijue.
Anadai atahakikisha anamheshimu na kumtii mke wangu.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa, maana katoto haka ni kadogo sana sijui ujasiri kameuptata wapi?
Mimi sikumlaumu GH ndio maana hata wengine wamemnyooshea kidole "baba"
BTW Kaizer kuna karoho kananiambia una maslahi kwenye huu uzi!!