House girl kaniandikia barua ya mapenzi

House girl kaniandikia barua ya mapenzi

house-maid-300x300.jpg

Why Many Husbands Are Snatched By House-maids | Tumfweko

Katakuwa kameshasoma macho ya baba mwenye nyumba kwamba yako KODOKODO, vibinti vya siku hizi vina saikolojia ya kusoma macho ya wanaume na kupata ujumbe, sema tu kamekosea timing na kuandika barua.....
Katakuwa KAME BUGI MEEEN................LOL
I wish kesho uligusie na hili aisee, wanaboa sana wababa wa hivi
 
Naona hapa kuna lugha gongana toka kwa The BOSS, FP, Kongosho, King'asti na Mtambuzi. Kwa ujumla michango yenu ina nafasi katika hili lakini kitu ambacho nakiona, Kwanza bwana kaka angefuatilia kwa karibu kupata taarifa kamili na sahihi za huko alikotoka. Kwani wenzangu walivyoanza yawezekana kweli huyu ni mzoefu sana katika mambo haya.
1. Hifadhi huo walaka wake kwanza wakati unautafakari.
2. Muite ukae naye na ufanye naye mahojiano ya kina juu ya ujasiri wa tabia hiyo alikoutoa.
3. Mtishie kumfukuza kazi au kuifikisha kwa mkeo, kama utaona haoneshi mshipa wa kushtuka basi ujue huyo ni mzoefu achana naye.
 
Mwanaume mwenzangu huyo shetani tena wazi wazi ukikubali tu ukalala naye mimba hiyo au magonjwa..sijui aibu utaificha wapi...

kibnti chenyewe kinaonekana kimeanza kufanya mambo hayo toka huko kilikjotoka sababu ni foolish age..kuwa makini.tamaa zenu za maumbile zitakutia aibu maisha yako yote.

Hata aingii akilini kulala na house girl wako wa 16 yrs.kama si ubakaji huo ni nini?
 
hafanyi hayo mbele yako, anaambiwa mambo akiwa peke yake.

Ila hata mie kuna mzee mmoja nilikuwa namsalimu 'mambo' sababu tu hajakaa kishkamoo

au nilikuwa namtega??

hata kama akiwa peke yake nikijua lazima nimuulize hubby kunani. unajua Kongosho huyo baba ulikwa unamwambia mambo kwakua alikuwa kakaa kimambo mambo. na hili ni kosa la baba mwenyewe.

nakuhakikishia kwa baba anayejiheshimu na yuko siriaz kama mwanaume hana masihara kamwe huogopwa na watu wa nje na hivyo weng huwa na nidham kwake. jiran yangu ni mmeru yuko very siriaz mtaa wote unamwuheshimu yaani ukikutana nae salam lazima itoke na hata kama watoto walikuwa wanacheza mpira akipita husimama kwanza
 
Last edited by a moderator:
mwali nina story ya dada mmoja wakati nasoma chuo mumewe alikuwa anafanya kazi SUA sasa huyu bi dada alipomaliza chuo akarudi kwake, alikuwa mjamzito uscheke alitafuta mdada wa kazi ukweni kwake. aliletewa binti aliitwa SUZY siku ya kwanza tu alipomuona alijua ndani hapakaliki. binti kanyoa na kibwenzi na kupaka hina nywelle wafikiri atafanya kazi kweli?? bibie alipomchunguza vyema baadae alijua amekuja kufanya nn mle ndani manake alikuja kuharibu iyo ndoa. uzuri huyu dada hanaga papara alimsoma siku alipomaliza kumsoma vyema alimwambia tu dada ahebu funga nguo zako vizr?? bint alijua ameambiwa apange chumba alikunja nguo vzr baadae akasikia sasa tunaondoka alilia kama kafiwaa ila hakupata msamaha alipandishwa gari kurudi kwao mbulu. so inategemea huyu binti ana mwonekano upi na ni kosa la mama kwann hakuenda nae??
hii kesi mimi namwuzia baba moja kwa moja, kwa nini uruhusu hg akutongoze? yaani unatongozwa hadi na hg wako?
 
16 ni minor mkuu kaa naye mbali, mwambie asubiri akiwa 18 utamtafutia mchumba!
 
najua unawaza ufuska, mie sikukafanya wala nini, nilikachunia halafu mie nikiwa home ni uso wa mbuzi tu.....

kuna siku utajichanganya utaileta story nzima nzima na picha juu!itakuwa ina title hii KUMBE KALIKUWA KAMETUMWA KUNITEGESHEA...................................
 
hapo mwanzo inawezekana rafiki, hata tu ukisafiri na umemwacha hg home kwa hiyo anaweza andika mahitaji
ila hapo mwisho ndo maswali yanaanzia hapo, hg anapata wapi ujasiri wa kuandikia baba mwenye nyumba barua? lazima akuone kuwa upo weak
FP itokeapo mm nimesafiri na baba yupo hm huwa nina sema kabisa manunuzi ya ndani atafanya baba, na huyu baba huwa namtaumia email anunue nn kitakaa kwa muda gani. sijawah kuandikiwa na binti matumiz ya ndani. tuache hilo tuje upande wa pili............ mwanaume anayeonyesha mizaha mara nyingi sana hutegwa na watu
 
Last edited by a moderator:
Dah uchelewe kurudi sababu ya 16 year hg?hapana. Maana yake unatengeneza ratiba nyngine ya kuwa wapi? Bar?
 
kuna siku utajichanganya utaileta story nzima nzima na picha juu!itakuwa ina title hii KUMBE KALIKUWA KAMETUMWA KUNITEGESHEA...................................

Yule aliyenivurugia trial marriage yangu kwa binti wa Kinyamwezi ndiye alifanikiwa lakini siku hiyi nimejifunza mengi na sasa hanipati mtu hata aje binti kigoli na mrembo kiasi gani, mie niko ngangari, sema tu mama ngina hapendi presha anakuwa macho kumulika mwizi.............
 
FP itokeapo mm nimesafiri na baba yupo hm huwa nina sema kabisa manunuzi ya ndani atafanya baba, na huyu baba huwa namtaumia email anunue nn kitakaa kwa muda gani. sijawah kuandikiwa na binti matumiz ya ndani. tuache hilo tuje upande wa pili............ mwanaume anayeonyesha mizaha mara nyingi sana hutegwa na watu
kama manunuzi unafanya mwenyewe sana....
ila mimi naonaga kurahisisha, hata kama naenda mwenyewe sokoni huwa namwambia dada aandike ambacho kimeisha then naenda kununua. pale kwangu inakuwaga ngumu kujua kitu fulani kitakaa kwa muda gani
 
hii kesi mimi namwuzia baba moja kwa moja, kwa nini uruhusu hg akutongoze? yaani unatongozwa hadi na hg wako?

kuna muda mwigine mie nawatetea mababa FP hivi unaijua power of a woman?? mm huwa wanawake wanaujasiri na nguvu ya ajabu sana tena hata yule unayemwona ni kifua chuma huweza kudondoshwa na shetani wa kike. binafsi huwa namshangaa mama anayelala na kukuruza usiku wa saa nane. amka sali sana juu ya mumeo. omba pasi kuchoka wewe mama ili kuwalinda wanao na mumeo. naogopa binadamu kuliko kawaida
 
Last edited by a moderator:
siwezi toka kwangu nikajifungulie home, uvivu tu, tena na hg yupo? Akandwe kawa unga wa maandazi?

Umekula bingo, mle hg, ptuuu!

Kongosho bhana ile kitu haina ubishi...!
Utamu utamu tu........!
 
kama manunuzi unafanya mwenyewe sana....
ila mimi naonaga kurahisisha, hata kama naenda mwenyewe sokoni huwa namwambia dada aandike ambacho kimeisha then naenda kununua. pale kwangu inakuwaga ngumu kujua kitu fulani kitakaa kwa muda gani
my dear nilikuwaga hivyo kama wewe ila nilijifunza kufanya bajeti kwa mwez nikaweza. si kazi ngumu kama ukiamua. hata kama una watu wengi kama kwangu.
kuna muda ndani kunakuwa na watu 20 niambie lkn namudu kusimamia bajeti, hela yetu ni ya mawazo sana so huwa niko makin kweli kwenye hili
 
Mkuu umeonesha kumchekea wewe!
Halafu mwite mkeo, acha uvivu na kuwatupia wenzio mizigo!
 
Back
Top Bottom