House girl ananitesa

House girl ananitesa

Unafanya ujinga kama huu halafu unataka uitwe baba..au mume... Busara zero
 
Ndoa za sahizi ni bora uangushe hela utasikitika na kuumia moyoni, lakini si kupoteza mume/mke kama jitu linakuwa kama hili
 
Wana Jf nipo njia panda nahitaji ushauri wenu.Mke wangu ni mtumishi wa umma,kurudi kwake nyumbani ni usiku kutokana na matatizo ya foleni hapa mjini.Binafsi mimi ni mjasiriamali.Binti wa kazi ameanza tabia za ajabu kila ninaporudi kula mchana.Mara nyingi anaenda kuoga na kanga moja kila nirudipo kula.Nimemwambia mke wangu anadai ni matatizo ya mabinti wa sasa.Juzi juzi nimerudi nikakuta bado hajaandaa chakula,nilijilaza ktk kiti,nishituka pale nilipomuona akinivua zipu.Niliamka nikamwambia akanunue kondomu ambazo alileta.Baada ya kumaliza goli la kwanza alinifuta akanivalisha kondomu kisha akaweka ktk 0713 yake.Nimempatia mke wangu nauli amrudishe kwao anadai hawezi kufanya kazi hiyo mabinti ni wa shida.Nipo njia panda.

Sa anakutesa nn mkuu au kukuonjesha tigo imekua tatizo?
siielew post yako mkuu
 
Join Date : 14th May 2014
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0​

Hehehehe kaja na moto ajabu
But hata kama kajiunga Jana haruhusiwi kupost au?
 
Umekosa nini kwa mkeo hadi uchepuke na hausgel?

Yan hata kesi ikifika kwa wahusika watakuona fa.la sana. Atleast ungechepuka na mwanamke mwingine mzuri kama mkeo.

BTW, Msalimie mkeo zoba.
 
Join Date : 14th May 2014
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0​
 
Hayo ndio madhara ya kutokufikiria kabla ya kutenda.
 
Hivi matokeo ya f 6 lini jaman, maana dah hawa watu wanatutesa sana humu MMU.
 
Sasa ulishamwambia mkeo kwamba ushamla house girl?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom