Au unamuonea wivu tu Mzee mengi na naniii wake siyoWaoe wazee wenzao...ujana walie wapi uzee waletee wenzio!
Mi sijafikia uzee nikifikia nakuja kukuoa wewe dogo dogo uone mambo ya wazeee sasaMzee povu la nini...umeoa dogodogo!
Ww ungependelea upigwe vingapi ili uridhike?Wanazeeka sana...sarakasi hawawezi...kimoja chalii
Kutokuridhishwa hawezi jua kama anaye mmoja shida inakuja pale anapokua na waziada pale komparizoni zikianzaKama umulidhishi afanyeje,? Ndo mana mtoa mada kashauri oeni saiz zenu ukioa mbichi wakati umri wako umeenda utapigiwa tu.
Wewe huwajui wazee,ebu siku mojaWanazeeka sana...sarakasi hawawezi...kimoja chalii
Achaa uchokozi.@mahodaw ni kisuEbu acha kumuita Smart911 kila unapoita humu ili tushare huo utamu kama unaona ni jambo la kawaida
wacha kutreat watu km ni "homogeneous entity"Wakuu za usiku,
Kubali kataa ila ndio ukweli lazima usemwe...
Kumekuwa na tabia siku hizi ya wanaume kujichelewesha kuoa kwa makusudi wakisema bado wapowapo...
Wakija kuoa wao damu zimelala na wake zao zinachemkaaa...
Maana wanaoa wadada wabichi huku wao umri umesongaa...
Wanaume wengine wazee ila wanaoa wadada...kazi mnayo...
Sasa nakwambia kisa hiki...
Leo mimi niliamua kujiendea saluni kutengeneza nywele...
Si unajua tena mwanamke urembo..kufika kwenye geti nje nakuta kijana anachezea kichapo cha hajaa...kuuliza naambiwa...
Huyo aliajiriwa hapo kwenye huo mjumba...ndani kuna mbaba ameoa dogodogo...
Sasa huyo dada akaona amgeuze house boy mtu wa kumtoa hamu zake...
Baba huyo kaja kusikia kachunguza mwishoe ndo kamfumania hivyo...
Sasa ndio kichapo....
Muoage wazee wenzenu...bila hivyo mtapata tabu sana..
Wakuu za usiku,

Wala hata povu sina nakucheki tu ulivo kama umeolewa hatariiii
Mwanamke anakuwa mke wangu nikiwa naye nikitoka sihesabu kabisa natimiza majukumu ya mzazi tu
Sinaga shobo na wanawake ila nkimshika mpaka aseme nisamehe nimetosha
Wakuu za usiku,
Kubali kataa ila ndio ukweli lazima usemwe...
Kumekuwa na tabia siku hizi ya wanaume kujichelewesha kuoa kwa makusudi wakisema bado wapowapo...
Wakija kuoa wao damu zimelala na wake zao zinachemkaaa...
Maana wanaoa wadada wabichi huku wao umri umesongaa...
Wanaume wengine wazee ila wanaoa wadada...kazi mnayo...
Sasa nakwambia kisa hiki...
Leo mimi niliamua kujiendea saluni kutengeneza nywele...
Si unajua tena mwanamke urembo..kufika kwenye geti nje nakuta kijana anachezea kichapo cha hajaa...kuuliza naambiwa...
Huyo aliajiriwa hapo kwenye huo mjumba...ndani kuna mbaba ameoa dogodogo...
Sasa huyo dada akaona amgeuze house boy mtu wa kumtoa hamu zake...
Baba huyo kaja kusikia kachunguza mwishoe ndo kamfumania hivyo...
Sasa ndio kichapo....
Muoage wazee wenzenu...bila hivyo mtapata tabu sana..
Yaani nimesoma signature yako, nikalinganisha na ulichokiandika... WALLAH HAVIFANANI...Wanazeeka sana...sarakasi hawawezi...kimoja chalii