House boy wanavyokula wake za watu kiulaini

Tatizo siyo kuoa ukiwa mzee; tatizo ni Mwanamke wa namna gani unayemuoa. Hata kama ukioa ukiwa kijana kama uliyemuoa ana tabia za UASHERATI bado atachezewa tu. UZINZI na UASHERATI ni tabia ambazo wanadamu wanazichagua wenyewe, kusema eti kuolewa na mzee ndiyo kunasababisha tabia hizo ni uongo na visingizio tu.

Wapo wadada wameolewa na vijana marijali kabisa lakini wameshindwa kutulia nao. Mwanamke kama anatabia za UZINZI hata umfanye nini bado atatafuta mtu wa KUZINI naye. Ndiyo maana sisi tunaoamini katika KWELI ya MUNGU, tunaamini kwamba Mke mwenye busara na kujiheshimu utampata kutoka kwa BWANA MUNGU na siyo vinginevyo.
Kwa ufupi ni kwamba ukioa malaya utapata tabu sana.
 
Wakuu za usiku,

Kubali kataa ila ndio ukweli lazima usemwe...

Kumekuwa na tabia siku hizi ya wanaume kujichelewesha kuoa kwa makusudi wakisema bado wapowapo...

Wakija kuoa wao damu zimelala na wake zao zinachemkaaa...

Maana wanaoa wadada wabichi huku wao umri umesongaa...

Wanaume wengine wazee ila wanaoa wadada...kazi mnayo...

Sasa nakwambia kisa hiki...

Leo mimi niliamua kujiendea saluni kutengeneza nywele...

Si unajua tena mwanamke urembo..kufika kwenye geti nje nakuta kijana anachezea kichapo cha hajaa...kuuliza naambiwa...

Huyo aliajiriwa hapo kwenye huo mjumba...ndani kuna mbaba ameoa dogodogo...

Sasa huyo dada akaona amgeuze house boy mtu wa kumtoa hamu zake...

Baba huyo kaja kusikia kachunguza mwishoe ndo kamfumania hivyo...

Sasa ndio kichapo....

Muoage wazee wenzenu...bila hivyo mtapata tabu sana..
mkuu nikuambie tuu hata wanawake wenye umri mkubwa wanapenda kusuguliwa vizuri tena sana,,nazungumzia wale amba o hawana stress za maisha na kiuchumi wako fresh,,,,hua wanakua na hisia sana na wanapenda migegedo mama,,,kunammoja ni mzuri ana biashara zake ananiombaga nimpooze kiu,,,,,alimuacha mmewe kutokana na kipigo na pombe..niseme tuu bidada akiwa anakojoa anaongea kwa furaha sana na anapenda mno navompa
 
We dada nakuheshimu sana. Sikujua una mawazo ya aina hii aisee. Duh, kumbe umdhaniaye ndiye, siye!!!
 
mkuu nikuambie tuu hata wanawake wenye umri mkubwa wanapenda kusuguliwa vizuri tena sana,,nazungumzia wale amba o hawana stress za maisha na kiuchumi wako fresh,,,,hua wanakua na hisia sana na wanapenda migegedo mama,,,kunammoja ni mzuri ana biashara zake ananiombaga nimpooze kiu,,,,,alimuacha mmewe kutokana na kipigo na pombe..niseme tuu bidada akiwa anakojoa anaongea kwa furaha sana na anapenda mno navompa
Duuuh!...?
 
Back
Top Bottom