House boy wanavyokula wake za watu kiulaini

Wakuu za usiku,

Kubali kataa ila ndio ukweli lazima usemwe...

Kumekuwa na tabia siku hizi ya wanaume kujichelewesha kuoa kwa makusudi wakisema bado wapowapo...

Wakija kuoa wao damu zimelala na wake zao zinachemkaaa...

Maana wanaoa wadada wabichi huku wao umri umesongaa...

Wanaume wengine wazee ila wanaoa wadada...kazi mnayo...

Sasa nakwambia kisa hiki...

Leo mimi niliamua kujiendea saluni kutengeneza nywele...

Si unajua tena mwanamke urembo..kufika kwenye geti nje nakuta kijana anachezea kichapo cha hajaa...kuuliza naambiwa...

Huyo aliajiriwa hapo kwenye huo mjumba...ndani kuna mbaba ameoa dogodogo...

Sasa huyo dada akaona amgeuze house boy mtu wa kumtoa hamu zake...

Baba huyo kaja kusikia kachunguza mwishoe ndo kamfumania hivyo...

Sasa ndio kichapo....

Muoage wazee wenzenu...bila hivyo mtapata tabu sana..
Nipe namba za huyo dada tafadhali ili niendeleze libeneke
 
mi nakuoa bila shida na nakuachia house boy wewe fanya ila hakikisha sijui.. sababu nikijua naamini huyo house boy atakuoa... siangaliagi nyuma hata siku moja..!!!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tutulieje kwa mfano wakati hamtufikishi mlima KLM...

Yakifikia huko ya kutokuridhishwa... fanyia mbali na nyumbani... nyumbani na paheshimiwe... kwa sababu mapenzi hayana kificho tena yakuiba ni mabaya sana kwa sababu ipo siku mtajisahau...

Cc: mahondaw
 
Ndio maana nimeoa mwanamke namzidi miaka minne tuu, maana nilivyowatafuna vigoli vya wazee! Mungu ananiona.
 
Wakuu za usiku,

Kubali kataa ila ndio ukweli lazima usemwe...

Kumekuwa na tabia siku hizi ya wanaume kujichelewesha kuoa kwa makusudi wakisema bado wapowapo...

Wakija kuoa wao damu zimelala na wake zao zinachemkaaa...

Maana wanaoa wadada wabichi huku wao umri umesongaa...

Wanaume wengine wazee ila wanaoa wadada...kazi mnayo...

Sasa nakwambia kisa hiki...

Leo mimi niliamua kujiendea saluni kutengeneza nywele...

Si unajua tena mwanamke urembo..kufika kwenye geti nje nakuta kijana anachezea kichapo cha hajaa...kuuliza naambiwa...

Huyo aliajiriwa hapo kwenye huo mjumba...ndani kuna mbaba ameoa dogodogo...

Sasa huyo dada akaona amgeuze house boy mtu wa kumtoa hamu zake...

Baba huyo kaja kusikia kachunguza mwishoe ndo kamfumania hivyo...

Sasa ndio kichapo....

Muoage wazee wenzenu...bila hivyo mtapata tabu sana..
Vipo vya kushare ila sio utamu.

Pole yake
 
When t comes 2 men... the game gets better with age[emoji41] .. tatizo lipo kwenye tabia za baadhi ya wanawake full stop..
 
Mashine inakuwepo ila mashine hewaa...ngoja walioolewa na wazee waje

Kama ww hujaolewa na mzee na humpi papa msaidizi wa kazi nyumbani haya mambo umeyajuaje kiundani hivi?
 
Wakuu za usiku,

Kubali kataa ila ndio ukweli lazima usemwe...

Kumekuwa na tabia siku hizi ya wanaume kujichelewesha kuoa kwa makusudi wakisema bado wapowapo...

Wakija kuoa wao damu zimelala na wake zao zinachemkaaa...

Maana wanaoa wadada wabichi huku wao umri umesongaa...

Wanaume wengine wazee ila wanaoa wadada...kazi mnayo...

Sasa nakwambia kisa hiki...

Leo mimi niliamua kujiendea saluni kutengeneza nywele...

Si unajua tena mwanamke urembo..kufika kwenye geti nje nakuta kijana anachezea kichapo cha hajaa...kuuliza naambiwa...

Huyo aliajiriwa hapo kwenye huo mjumba...ndani kuna mbaba ameoa dogodogo...

Sasa huyo dada akaona amgeuze house boy mtu wa kumtoa hamu zake...

Baba huyo kaja kusikia kachunguza mwishoe ndo kamfumania hivyo...

Sasa ndio kichapo....

Muoage wazee wenzenu...bila hivyo mtapata tabu sana..
Aaah huyo dingi vipi? Angeongea na wazee wenzake kama mzee machache apate ABC .....au angeagiza vumbi la Kongo atiii
 
Mashine inakuwepo ila mashine hewaa...ngoja walioolewa na wazee waje
Muulize huyu kama mashine ni hewa....
IMG-20180704-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom