Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
ANapokutongoza huwa hamuoni?Mwanaume mnene tu ni tabu hata awe na miaka 30. Wanaume wavivu na wazito mnatupa tabu sana
ANapokutongoza huwa hamuoni?Mwanaume mnene tu ni tabu hata awe na miaka 30. Wanaume wavivu na wazito mnatupa tabu sana
Acha kunijaji mimi angalia mada tajwa...kumbuka wengi wao hata huyo Yesu hawamwamini...hiyo dhambi ya ngono wataishindaje?Yaani nimesoma signature yako, nikalinganisha na ulichokiandika... WALLAH HAVIFANANI...
Unajuwa YESU akishakuwa ni jibu kwako, hata ukiolewa na mzee huhangaiki, kimoja chalii kinakutosha, hutachapisha kwa mahausi boi...
Ha ha haaa...Muulize huyu kama mashine ni hewa.... View attachment 804676
Inategemeana na mwanaume yupi wa dar au mwanaume kazi. Kama wa dar wakizeeka sawa wanakuwa wa kimoja. Mwanaume wa kazi ni kazi tu mpaka pawake moto.Wanazeeka sana...sarakasi hawawezi...kimoja chalii
kimoja hakitoshi?Wanazeeka sana...sarakasi hawawezi...kimoja chalii
Huo ni msemo wa zamani. Wanaume walikuwa wanaume kweli..siku hizi mmekuwa nyororoooooo. Wengi wenu hamuiwezi shughuli ipasavyo...muwe mnapokea ushauri sio kila kitu mnabisha.Mwanaume hazeeki. Mwanaume mashine. Men will be men but women will be aunties.
Kila kitu wanabisha badala ya kujitafakariBora uwaambie...
Nimeacha mama... Nisamehe bureeeAcha kunijaji mimi angalia mada tajwa...kumbuka wengi wao hata huyo Yesu hawamwamini...hiyo dhambi ya ngono wataishindaje?
Mbona tunasugua sana hamna kitu jamanj munakuwa munawaza nini..Mwanaume mnene tu ni tabu hata awe na miaka 30. Wanaume wavivu na wazito mnatupa tabu sana