House boy wanavyokula wake za watu kiulaini

House boy wanavyokula wake za watu kiulaini

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,274
Reaction score
25,321
Wakuu za usiku,

Kubali kataa ila ndio ukweli lazima usemwe...

Kumekuwa na tabia siku hizi ya wanaume kujichelewesha kuoa kwa makusudi wakisema bado wapowapo...

Wakija kuoa wao damu zimelala na wake zao zinachemkaaa...

Maana wanaoa wadada wabichi huku wao umri umesongaa...

Wanaume wengine wazee ila wanaoa wadada...kazi mnayo...

Sasa nakwambia kisa hiki...

Leo mimi niliamua kujiendea saluni kutengeneza nywele...

Si unajua tena mwanamke urembo..kufika kwenye geti nje nakuta kijana anachezea kichapo cha hajaa...kuuliza naambiwa...

Huyo aliajiriwa hapo kwenye huo mjumba...ndani kuna mbaba ameoa dogodogo...

Sasa huyo dada akaona amgeuze house boy mtu wa kumtoa hamu zake...

Baba huyo kaja kusikia kachunguza mwishoe ndo kamfumania hivyo...

Sasa ndio kichapo....

Muoage wazee wenzenu...bila hivyo mtapata tabu sana..
 
Hawaelewi bali hushikiria mwanamke awe mvumilivu tu, au utasikia mwanamke
mpumbafu huvunja nyumba yake mwenyewe
Waende zao huko...kuwatesa tu wadada wa watu na kuwatia majaribuni
 
Mzee povu la nini...umeoa dogodogo!
Wala hata povu sina nakucheki tu ulivo kama umeolewa hatariiii

Mwanamke anakuwa mke wangu nikiwa naye nikitoka sihesabu kabisa natimiza majukumu ya mzazi tu

Sinaga shobo na wanawake ila nkimshika mpaka aseme nisamehe nimetosha
 
Waende zao huko...kuwatesa tu wadada wa watu na kuwatia majaribuni
Ndugu acha babu anatoa mpaka harufu ya uzee anaoa binti 22-25 yrs dhambi tu, kuna mchungaji mmoja aliwahi ongea kama mwanaume ukija kufunga ndoa eti upo 55-60.......yrs nikufungishe ndoa na binti 25yrs kushuka chini sitaki hata kusikia nenda huko
 
Back
Top Bottom