1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,201
- 14,377
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,, hamna namna mkuu, we ukibana mwenzio anaselebuka kweupe, hapa ni kuzungusha kifimbo chezaHaaaa haaaa kwahiyo watu waendelee kujibugusua?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,, hamna namna mkuu, we ukibana mwenzio anaselebuka kweupe, hapa ni kuzungusha kifimbo chezaHaaaa haaaa kwahiyo watu waendelee kujibugusua?
Mie huwa nacheka nikiwa mdogo tulikuwa na jirani kaolewa na mzee mkubwa hata kwa baba yangu, kaenda kujifungua,Vinajifanya vinawajali...vinawaonea wivuu
...vinawawekea ulinzi...
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Nasikia wanaganda kama nta
Kila mtu apambane na aina ya mahusiano aliyochagua tu kwa kweliNasikia wanaganda kama nta
heeee[emoji23]Mie huwa nacheka nikiwa mdogo tulikuwa na jirani kaolewa na mzee mkubwa hata kwa baba yangu, kaenda kujifungua,
nurse anamwambia babu yako yupo nje hapo anamwambia nurse ni mme wangu sio babu yangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha haaa...Mie huwa nacheka nikiwa mdogo tulikuwa na jirani kaolewa na mzee mkubwa hata kwa baba yangu, kaenda kujifungua,
nurse anamwambia babu yako yupo nje hapo anamwambia nurse ni mme wangu sio babu yangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha mida kama hii nenda survey ni viepe kwakwenda mbelena hayo mavyakula mnayokula
hahaha na pilipili sio[emoji23]Acha mida kama hii nenda survey ni viepe kwakwenda mbele
Acha [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]heeee[emoji23]
[emoji23]Acha [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ndiyo utasikia ndizi 1 na mishiki 2 usiku huo anaenda kulalahahaha na pilipili sio[emoji23]
umentamanisha aiseehNdiyo utasikia ndizi 1 na mishiki 2 usiku huo anaenda kulala
Sogea tu mbona sehemu nyingi tu ila wale kuku wa wiki 1 mmm waepuke japo mara moja mojaumentamanisha aiseeh
Hawapati tabu my dear. Ndio maisha waliyochagua kuishi. Unajua kinachotokea ni kuwa mabinti wengi wamekuwa na tamaa sana na hawataki kuolewa kabla hawajala ujana na kumaliza mambo yao. Sasa wakija kushtuka umri umeenda na vijana hatutaki kuoa wazee. Kwa sababu wameshtuka muda umeenda ndio unakuta binti wa 30-35 anaolewa na mtu wa 50+. Unategemea nini hapo. Leo nimejaribu kupitia humu wanaotafuta wachumba nikagundua kuwa kazi ipo. Uchumba umekuwa kama matangazo ya kazi sasa hivi.Wadada wanaolewa na vizee wanapata tabu sana...
[emoji23]Sogea tu mbona sehemu nyingi tu ila wale kuku wa wiki 1 mmm waepuke japo mara moja moja
unaweza kuteguka kiuno bureMwanamke akiamua kuliwa analiwa tu hata umridhishe vipi.
nakujaSogea tu mbona sehemu nyingi tu ila wale kuku wa wiki 1 mmm waepuke japo mara moja moja