House boy wanavyokula wake za watu kiulaini

Wakuu za usiku,

Kubali kataa ila ndio ukweli lazima usemwe...

Kumekuwa na tabia siku hizi ya wanaume kujichelewesha kuoa kwa makusudi wakisema bado wapowapo...

Wakija kuoa wao damu zimelala na wake zao zinachemkaaa...

Maana wanaoa wadada wabichi huku wao umri umesongaa...

Wanaume wengine wazee ila wanaoa wadada...kazi mnayo...

Sasa nakwambia kisa hiki...

Leo mimi niliamua kujiendea saluni kutengeneza nywele...

Si unajua tena mwanamke urembo..kufika kwenye geti nje nakuta kijana anachezea kichapo cha hajaa...kuuliza naambiwa...

Huyo aliajiriwa hapo kwenye huo mjumba...ndani kuna mbaba ameoa dogodogo...

Sasa huyo dada akaona amgeuze house boy mtu wa kumtoa hamu zake...

Baba huyo kaja kusikia kachunguza mwishoe ndo kamfumania hivyo...

Sasa ndio kichapo....

Muoage wazee wenzenu...bila hivyo mtapata tabu sana..
mkisha choka zambi wanawake mnakimbia kuokoa
 
Hiyo haihusiani na umri, bali ni tabia tu ya mtu kwani kuna watu vijana wameona wanawake vijana na bado mademu wanagongwa nje.

Hapo ni shida ya kuoa demu usiyemjua vizuri kwa sababu tu ya shinikizo, lkn haihusiani na umri!
 
Ndugu acha babu anatoa mpaka harufu ya uzee anaoa binti 22-25 yrs dhambi tu, kuna mchungaji mmoja aliwahi ongea kama mwanaume ukija kufunga ndoa eti upo 55-60.......yrs nikufungishe ndoa na binti 25yrs kushuka chini sitaki hata kusikia nenda huko
Umeona...kuwatesa tu wadada...sijui vibibi hawavioni...
 
Hakuna aliyemsafi...ambaye hana dhambi
sasa ukitaka kuwala walio liwa na hao unao wasema.na walio shindikana wanawake utawakuta makanisa ya walokole si utani unapiga mpaka unachoka
 
Swala la ndoa linafikirisha sana. Wakati mwingine ukifikiria unaweza usioe. Mungu atusaidie ambao bado hatujaingia kwenye ndoa. Kwani mwanamke unashindwa nini kuongea na mumeo ukamuelekeza kuwa hakufikishi na ukamsaidia ili muishi maisha ya furaha. Alafu mpaka mnaingia kwenye ndoa hukujua udhaifu. Mambo mengine ni kutafutiana jela tu
 
hakuna aliyefaulu mtihani wa mapenzi,, sisi ni wanyama wacha tunyamanyane tu,, mi nasema mke wa mtu akikaa kwenye 18 we piga tu, kwani hujui wako ataingia ktk 18 za mtu yeyote na akapgwa vizuri,, nyie mnao jifanya waaminifu ndio hua mnajitundika ama kuua mtu,, huo urithi wetu
 
Unaanzaje kumueleza mtu mzee...unaona nguvu hana...
 
Swala la ndoa linafikirisha sana. Wakati mwingine ukifikiria unaweza usioe. Mungu atusaidie ambao bado hatujaingia kwenye ndoa. Kwani mwanamke unashindwa nini kuongea na mumeo ukamuelekeza kuwa hakufikishi na ukamsaidia ili muishi maisha ya furaha. Alafu mpaka mnaingia kwenye ndoa hukujua udhaifu. Mambo mengine ni kutafutiana jela tu
anza mazoezi mapema maana uzee waja, usisubiri ziishe ndo uanze kuchaji
 
hakuna aliyefaulu mtihani wa mapenzi,, sisi ni wanyama wacha tunyamanyane tu,, mi nasema mke wa mtu akikaa kwenye 18 we piga tu, kwani hujui wako ataingia ktk 18 za mtu yeyote na akapgwa vizuri,, nyie mnao jifanya waaminifu ndio hua mnajitundika ama kuua mtu,, huo urithi wetu
Haaaa haaaa kwahiyo watu waendelee kujibugusua?
 
Back
Top Bottom