House boy wanavyokula wake za watu kiulaini

House boy wanavyokula wake za watu kiulaini

Huo ni msemo wa zamani. Wanaume walikuwa wanaume kweli..siku hizi mmekuwa nyororoooooo. Wengi wenu hamuiwezi shughuli ipasavyo...muwe mnapokea ushauri sio kila kitu mnabisha.
Umeshagegedwa na wanaume wangapi?
 
Wakuu za usiku,

Kubali kataa ila ndio ukweli lazima usemwe...

Kumekuwa na tabia siku hizi ya wanaume kujichelewesha kuoa kwa makusudi wakisema bado wapowapo...

Wakija kuoa wao damu zimelala na wake zao zinachemkaaa...

Maana wanaoa wadada wabichi huku wao umri umesongaa...

Wanaume wengine wazee ila wanaoa wadada...kazi mnayo...

Sasa nakwambia kisa hiki...

Leo mimi niliamua kujiendea saluni kutengeneza nywele...

Si unajua tena mwanamke urembo..kufika kwenye geti nje nakuta kijana anachezea kichapo cha hajaa...kuuliza naambiwa...

Huyo aliajiriwa hapo kwenye huo mjumba...ndani kuna mbaba ameoa dogodogo...

Sasa huyo dada akaona amgeuze house boy mtu wa kumtoa hamu zake...

Baba huyo kaja kusikia kachunguza mwishoe ndo kamfumania hivyo...

Sasa ndio kichapo....

Muoage wazee wenzenu...bila hivyo mtapata tabu sana..
Nikija kuoa (miaka 20 ijayo) nitaoa binti wa 18 yrs
 
ni bora usikubali kuolewa na mzee......ukishaolewa/mkishaoana.......mko gereza lenu wawili.......
 
Mimi sioni tatizo hapa sababu hata sisi tunawafaidi madada wa kazi. tena wabichiiii kuliko...
 
Ila hukupaswa kuniambia kwa lugha ya kejeli na kumtaja mzazi wangu,kwani Mimi na wewe tuna ugomvi Dada angu??
Wewe kuniuliza nimegegedwa na wanaume wangapi uliona ni sahihi? Ulidhani nimefurahia? Usichukulie vitu simple simple
Mada haihusu idadi ya wapenzi
 
Haaaa haaa jibu mulua hilo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa kilugha
Teh..ameona nimemkejeli baba yake ila yeye swali lake kaliona murua. Some people bana..
 
Wewe kuniuliza nimetembea na wanaume wangapi uliona ni sahihi? Ulidhani nimefurahia? Usichukulie vitu simple simple
Mada haihusu idadi ya wapenzi
Uliongea point moja general sana,lengo langu nilitaka tu ujue wanaume hatufanani,mbona Mimi umenijibu vibaya lakini Mimi sijareact vibaya,lakini All in all sikukujibu vile kwa nia mbaya,I am sorry though
 
Vijana tunashauriwa tujiajiri sasa house boy kaona ajiajiri bado mnampiga...
 
Uliongea point moja general sana,lengo langu nilitaka tu ujue wanaume hatufanani,mbona Mimi umenijibu vibaya lakini Mimi sijareact vibaya,lakini All in all sikukujibu vile kwa nia mbaya,I am sorry though
Sorry pia. Uliniumiza kwa quote yako. Hata wanawake hawafanani
 
Back
Top Bottom