Nimesoma speech ya mheshimiwa lakini sijaona strategy yakinifu za kuiondoa nchi katika janga la Ufisadi. we have resources, tuna watu(skilled and competent) lakini nothing can be done kama hakuna strategies madhubuti za kuikwamua nchi. Hotuba imekuwa too much narrative za matukio na majifu na Marekani!! be careful usiuze nji. Mbona kilio cha wananchi cha kukosa huduma na kuendelea kuwa maskini sikuona la maana hapo. JE Ahadi lukuki alitoa amatimiza % ngapi? ilitakiwa atupe performance yake as a perident na serikali. sio hotuba ya maneno katika gunia bila data. Hotuba ya maneno matamu tu kama ya abunuasi tumezichoka tunataka hotuba zinazotekelezeka . Je alifeli wapi and what was the reason given nothing. mbona umaarufu wake unapungua amejeuliza ni kwa nini? na je ana mpango gani wa kurejesha imani kwa wanachi? no! cos he sure of himself as jktanzania kingdom and company till 2015. How comes speech inakuwa kama ngonjera na mashairi? Not impressed at all.