Oh ya!, alikuwa very goood kwenye interviews lakini akashindwa kujenga hata nyumba kwao Masasi, na hata baada ya kustaafu akajenga Lushoto Tanga kwa marafiki zake kina Ngwiliz na Kigoda,
Badala ya kujenga kwenye mizimu ya mababu zake, Masasi, je tulitegemea nini kutoka kwa huyu msomi as far as taifa is concerned?
Oh ya!, alikuwa very goood kwenye interviews lakini akashindwa kujenga hata nyumba kwao Masasi, na hata baada ya kustaafu akajenga Lushoto Tanga kwa marafiki zake kina Ngwiliz na Kigoda,
Badala ya kujenga kwenye mizimu ya mababu zake, Masasi, je tulitegemea nini kutoka kwa huyu msomi as far as taifa is concerned?
Tusichanganye mambo.
Kuwa 'intellectual' na kuwa kiongozi mzuri ni mambo mbalimbali.
'Intellectual' haina maana mtu si mpokea rushwa. Tuseme 'intellectual' anaweza kuwa na uwezo mzuri wa kuyachambua mambo na kuyawasilisha; kwa mfano kwa kutoa hotuba zenye nasaha. Kwa hiyo tupime u-intellectual wa viongozi wetu hawa kwa mantiki ya hotuba zao walizozitoa, na sio kwa kigezo cha uzuri wa uongozi wao.
MWANASIASA
JK -JANUARY MAKAMBA ARUDI SHULE ''FIELD'' IMEISHA ONE YEAR
Ndiyo sababu hotuba zote mwaka mmoja zimekuwa mbaya ''alikuwa field''
Kapoteza marafiki ana wakumsaidia
Boss wake amemchoka
Ni kati ya wanao msifia JK
CCM-mtandao ilikuwa kwenye kampeni ya muh. huyu nchi nzima ilisisikia wanavyo panga mipango yao jinsi walivyo kuwa watu wa muhimu wakati wa kampeni kuanzai tareha 21 dec,2005 simu zote
za waliopewa nafasi za kazi zilibadilika kuwa PRIVATE NUMBER, nyingi zilibadilishwa, nyinge ukipiga hazipokelewi ,basi hawakujua yatatokea hayo lakini wamejifunza kitu, kama kunakijana ambaye ni kiherehere basi JANUARY MAKAMBA kafuzu
kuanzia kipindi chote cha kampeni hadi sasa, atakikuona mtu anaongea au kumsalimia muh.JK anafukuza watu mbele ya MUH. na kuwaambia ondokeni mumesha msalimia.lakini wakati wa kampeni watu walikuwa na uhuru wa kuongea na kucheka ambayo nitabia ya muh. kukaa na watu.
sasa basi baadaya ''k'' huyo kupewa kazi ya kuwa mzaidizi upande wa Hotuba za Rais ana act kama PERSONNEL SECRETARY
ninafikiri huyu ''K'' awezi atakumshauri boss wake jinsi ya kuandika HOTUBA yeye pale anajifunza anaandaliwa 2010 kuwa mwandishiwa Rais HOTUBA Muh.rais usimtegemee sana huyu kijana, kama ni kujifunza inatosha sasa arudi shule alikuwa yuko ''field'' watu wazuri wako kama ilivyo zungumzwa kwenye forum hii.
au waondowe wote wawili wana kuletea aibu, ninaomba wengine wanao mfahamu kijana huyu ''kabla na baada''
Nadhani suala la hotuba ni la utashi wa rais mwenyewe kujua anataka kuongelea jambo gani. Hebu tufikirie JK alikuwa Waziri wa Mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa kwenye kipindi cha mkapa kwa miaka 10, na alikuwa mwakilishi mzuri tu wa Rais kwenye vikao vya nje kiasi cha kwamba mkapa vikao vingine alikuwa anamwachia amwakilishe bila wasiwasi, mfano: wakati mkapa alikuwa amelazwa hospitali akiuguza mguu wake huko nje, kulikuwa na vikao vingi tu vilifuata ambapo mkapa yeye mwenyewe alipotoka hospitali alikiri kuwa JK amefanya kazi yake ipasavyo na kiwango alichokitaka. Kwa hiyo suala la speech ni utashi wa mtu na marais wengi tu wanatoa speech kwa wao waonavyo, tusimlaumu JK ila kufanya hivyo ni kutekeleza ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi iliyomuweka madarakani.
Watanzania Nimewasoma,
Ila Mh., Ben alikuwa anawatoa wananchi knock out na hotuba zake kwa upande mwingine msisahau hili.
Upande mwingine Mh. Jakaya yeye anaongea lugha ambayo mwananchi wa Manzeshe kwa mfuga mbwa wanamuelewa,,, kwa bahati mbaya makundi haya mawili (wasomi na wanakijiji) kuyatosheleza ni kazi kweli kweli, aliweza Mh. Julius tu ambaye well ni kichwa kingine kabisa... Africa inalifahamu hili.