Hotuba za Rais kila mwezi

Je unaridhika na hotuba za Rais Kikwete?

  • Ndio

    Votes: 13 15.5%
  • Hapana

    Votes: 71 84.5%
  • SIJUI

    Votes: 0 0.0%
  • Sina jinsi

    Votes: 1 1.2%

  • Total voters
    84
  • Poll closed .
Naona kuna wachache wanajifaidisha na hii OIC na Mahakama ya Kadhi. Hapa suala la msingi ni mahela ya EPA kwanza....mengineyo yatafuata baadaye. Hakuna mtu mwenye uwezo wa kutuondoa kwenye hoja ya msingi ambayo ni ufisadi, mengineyo ni ya ziada tu.
 
Naona kuna wachache wanajifaidisha na hii OIC na Mahakama ya Kadhi. Hapa suala la msingi ni mahela ya EPA kwanza....mengineyo yatafuata baadaye. Hakuna mtu mwenye uwezo wa kutuondoa kwenye hoja ya msingi ambayo ni ufisadi, mengineyo ni ya ziada tu.

Hizi zama za kupumbazana zinaelekea ukiongoni. Watu wanaacha hoja za msingi zenye maslahi ya taifa wanaanza kujadili "petty" issues. Yes, i said petty maana we have a secular government. Sasa issue za kidini katika maslahi ya kitaifa ni petty issues.
 
Hizi zama za kupumbazana zinaelekea ukiongoni. Watu wanaacha hoja za msingi zenye maslahi ya taifa wanaanza kujadili "petty" issues. Yes, i said petty maana we have a secular government. Sasa issue za kidini katika maslahi ya kitaifa ni petty issues.
Na ufisadi nayo ni petty issue. Kwani umeanza katika EPA? Kwani nchi hii (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) imeanza kuliwa katika EPA. Hukuona wewe Nyerere alivyokuwa akipiga kelele na kukaripia rushwa wakati wote wa uhai wake, na alipokuwa kiririni kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Maslahi ya watu-ni maslahi ya watu yawe ya (EPA) au mengineyo (OIC)
 
Muungwana kiboko,...

Hii ndio first term ambapo bado atahitaji ku run for re-election 2010 na anakua na kiburi kwa matarajio ya umma hivi.

Sasa je akishapewa 2nd term ya lala salama, ambapo hatawaza re-election!.... Tz si ndio itakua MAFISADI CENTRAL ya Afrika...Nachelea kutabiri ufisadi wa kutisha(of catastrophic proportions) katika kipindi chake cha lala salama....God Forbid!
 
Neutrality sawa. Lakini neutrality haina maana upuuze mambo yenye maslahi na Wakiristo au Wapagani. Kwa sababu katika nchi hii ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kuna Mamilioni ya Wakiristo na maelfu ya Wapagani wanaoishi ndani yake. Kujali maslahi ya Wakiristo siyo kulibatiza Taifa asilan, na Waislamu na Wapagani hawana haki ya kulalamikia hilo, kama kweli ni waadilifu na wanathamini kuishi katika Taifa letu hili -Secular State
 

Kwani kuna election Tanzania? Mimi nilifikiri CCM wanafanya selection halafu aliyekuwa selected ndiye anakuwa rais, au?
 

This is a very weak president! I always ask myself (sometime) if this president was elected in 1995 at the time our economic fundamentals on macroeconomy were in tartars hivi sasa tungekuwa wapi? This president doen't know what is he doing. He never promoted Agriculture for the general population in villages, he doesn't have a policy to be followed; he travelled abroad almost hundered times instead of visiting famers hundred times! He is a fake president and there needs a replacement come 2010; otherwise we are inviting disaster in our economy again.
 

Exactly! This is what is making sick rather than JK. Tumekuwa mateka wa CCM na JK. Yaani sijui JK awafanye nini watanzania ndio wazinduke kwamba hamna kitu.

Lakini nafikiri problem iliyopo hapa ni psychological. Kwa kuwa watu walimpa matumaini sana huyu ndugu yetu hawataki kukubali kwamba hawezi na kwamba waliingizwa mkenge kumshabikia. Sasa hivi wa kushangawa sio JK, bali ni hao wanaoendelea kuweka matumaini.

Next time control your hope as voters; don't put too much hope on a candidate as you did for JK. It will haunt you for life when your expectations are crushed as it has happened with JK! Poleni sana. Mimi mwenzenu naona anajitahidi sana maana nilikuwa sina matumaini naye kabisa, yaani nilianza kwa kumpa -50, naona amesogeza-sasa ipo karibu -10!
 
Nimesoma speech ya Raisi wenu, honest this guy is a JOCK! Kwanza alichoelezea kuhusu Financial Crisis ni full of balloon. Kuhusu EPA gosh, i couldn't handle kusoma mpaka mwisho. I knew kuanzia mwanzo the speech will be disappointment.

Hebu niulize ni lini huyu Rais aliongea something which make sense to majority of Tanzania? Hata common sense hana?
Sadly enough, anajifanya anaongea kama anajua anachoongea......

Where is January Makamba? He used to come kwenye forums hizi na kudefend His president. ....

People cant afford two meal a day, wewe unaleta argument the OIC, what a non sense? When will he get it?
 
don't see why we need to stand by and watch Tanzania go down due to the irresponsibility of a number of people. The issues are much too important for these few bandits to be left to decide on ther own!Lets take actions and liberate our nation.
What JK is doing with his fellow bandits is running public opinion polls and not being responsible for their actions something which is detrimental to the very existence of these state as well as its people.
JK should willingly stand alone and only alone and very firm otherwise the existing system will be quickest and most radically overthrown by its opponents.
 
Mkuu kwa nini asijishushe amwombe Dr.Slaa amsaidie kwa more data?
Ametumia polisi wetu njaa tupu akirushiwa milioni 5 basi ushahidi wote unapotea kama ulivyo sikia hawajapata inform. za makapuni 9.

Mkuu hata unekuwa wewe usingefanya hivyo.. Yaani akaombe data za kujifunga mwenyewe?
 
Yaani JK yuko tayari chama kife shauri ya mafisadi? Hii ni dalili anajua hizo pesa zilichotgwa kwa amri yake.

Haiingii kichwani kwamba pamoja na ushahidi wote, lawama toka kila upande, bado ameshindwa kuwachukulia hatua hawa majambazi.

Mkuu, yuko tayari chama kife kwa ajili yake na mtandao..
 

Nimekupata mkuu. Ingawa napata shida kidogo na hili. Kama wengine hawakujua at least Mkapa et al walijua... La sivyo Balali "asinge-wapa" hizo bingo. Nafikiri uidhinishaji ulihitaji higher authority zaidi waliyokuwa nayo Kikwete na mtandao...
 
Waungwana,

According to Ernst & Youn's report the total amount that was stolen from EPA is shiling 133 billion: The revelations followed the audit conducted over EPA by a foreign financial consultant firm, Ernst and Young.

The firm revealed that in 2005/06, payments to the tune of 133,015,186,220.74/- were made to 22 domestic companies under the EPA scheme.
.Kikwete is talking about shilling 90 Billion only. What happened to the rest of the amount totalling to shilling 43 billion?
 
Yaani JK yuko tayari chama kife shauri ya mafisadi? Hii ni dalili anajua hizo pesa zilichotgwa kwa amri yake.

Haiingii kichwani kwamba pamoja na ushahidi wote, lawama toka kila upande, bado ameshindwa kuwachukulia hatua hawa majambazi.

You are forgetting that JK is a "FISADI" culprit number ONE! We already told you on those other discussion threads (recall Ballali threads); these guys took money for their purposes! Nobody will go to court and believe me they are buying time to fakeout documents and come clean that all that money is back at the treasury! They know what they are doing and already people like you believe that some money already returned! I can not take this!
 
Rais aliahidi jana kuwa kiasi kamili kilichorudishwa kitatangazwa leo na Mwanasheria Mkuu, mlioko mjini hapo huyu bwana amesemaje? Au na yeye ameunda tume kupiga hesabu ya kiasi chenyewe?

Jana Rais alisema taarifa za mwisho kuhusu makampuni yale tisa alizipata wiki mbili zilizopita, kwanini hakupewa taarifa mpya (updated) jana kabla ya hotuba?
 
Mwanyika mwenyewe hataki kuzungumza lakini taarifa kutoka ofisini mwake ni kuwa hakuna mtu mwingine aliyerejesha fedha, kwa hiyo hesabu ni ileile. Bado anaendelea na vikao na wenzake, vilianza ofisini asubuhi, jioni hii vimehamia nyumbani kwake. Nadhani wanaandaa taarifa za kumpatia DPP maana kutoka ofisini kwa DPP taarifa zinasema hajapokea kitu chochote hadi sasa
 

You are RIGHT. Huyu rais ameshindwa kuwajibika, analeta uhuni. He is disgraceful and pathetic. Hajui alisemalo wala alifanyalo. Lazima ang'olewe ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…