TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,894
- 11,290
hivi kweli ulitegemea atasema nini kwenye elimu (hasa matokeo ya form four) au suala zima la inflation?Mh President, hajagusia suala la elimu kabisa!! mwelekeo wa maisha ya watanzania yaani namna ya kupunguza mfumko wa bei, anyway labda ndo style.
mwache aseme yanayojibika kisiasa zaidi