magessa78
JF-Expert Member
- Sep 28, 2009
- 270
- 31
anatapatapa maskini rais wetu.hivi kama hakuna mvua hakuna strategy zozote au alternative kwa ajili ya kukwamua tatizo?!eti naye anajiondoa!!kwa nini aligombea urais kama hawezi kukabiliana na changamoto?!!ajiuzulu!mh president, hajagusia suala la elimu kabisa!! Mwelekeo wa maisha ya watanzania yaani namna ya kupunguza mfumko wa bei, anyway labda ndo style.