Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

Nimemuona leo akilihutubia taifa, ni mnyonge, amepauka, amezeeka, that handsome look is gone, is he sick au matatizo yamemzidi Rais wetu. I feel sorry for him, am not sure kama atamaliza miaka mitano, hypertension and all other ailments related to stress will finish him.

What do u think mazee about future ya presidaa wetu kama miezi mitatu tu imempausha hivi.
 
hata mimi nimemuona.....nimemuhurumia sana....prezidaa alikuwa ng'ari ng'ari kinoma.....duh....kweli watanzania kiboko....basi watanzania wenzangu tumuache hata apumue, arudishe afya yake....tumemkaba sana jamani
 
hakuna siku kanichefua huyu rais kama leo..Eti CHADEMA wanataka kuleta fujo??nimezima na tv ..yaani ni pumbavu tupu.....haelewi anachoongea huyu mzee
 
WanaJF wale mliopo majumbani, JK yupo live ITV akilihutubia taifa. Amezungumzia suala la mabomu na kuwaomba wananchi kuacha uvumishi wa sababu ya mabomu tungoje tume mbili ya ndani na ile ya nje "amerika" wamalize uchunguzi watueleze chanzo cha milipuko ya mabomu. Hivi sasa anaelezea hali ya chakula na bei ya sukari.....
 
...majibu na porojo za JK znanikumbusha maswali ya dasa la sita ya historia-kutaja sababu nne za wakoloni kuivamia Afrika!

Kwani rais wa nchi hii hana watendaji wa kutoa taarifa za matukio, mpaka aanze kutusimulia nan kazikwa wapi, kupangia retailers bei za bidhaa nk?

Tunategemea urais, km taasisi utueleze mikakati na mipango ya kitaifa kuyatatua matatizo, na hasa mikakat endelevu na jumuishi. Sio kuspend 75% ya muda kuelezea processes, events, kulalama, kupashana, kutishana na kutia porojo za kijiwe cha gahawa.

Mara nyingi mwenye maneno mengi, ya kuandika au kuongea anakua hana RESULTS.. Anaficha weakness zake kwny maneno mingi. Thats JK more than u know him...
 
Sickening!

Do you guys have time to waste arguing with mental cases like this?

No more time to waste, chadema has given a fool enough ropes and left him hanging himself!

I'm glad that the man knows what it means by people's power, and I can see he feels the power of his own people. Yes, that's people's power and not kasi zaidi, nguvu zaidi...and upuuzi zaidi, hopeless president!
 
Huyu jamaa anatafuti sympathy kutoka kwa watanzania, amechemsha kabisa, KIKWETE na serikali yako mjiandae kutoka, hamna jipya, unapiga bla bla bla, huna jipya, CHADEMA ndiyo suruhisho kwa maisha wa watanzania, lazima uondoke huna jipya, tumechoka kuibiwa, kudhulumiwa, kudanganywa.
Utake usitake utaondoka bila hata kumwaga damu, usitutishe wewe umekuwa nani, huna jeuri ya kumwaga damu, kwani hata hao wanajeshi unaowategemea wamekugeuka, ndiyo maana mabomu wanalipua na kuua watu bila familia hata yao moja kufa, siyo polisi, magereza wala JWTZ wapo pamoja na wewe, wote wamekugeuka, wote maisha yao hayana tofauti na watanzania wengine, hatuihitaji sifa ya kuwa na amani wakati hakuna anayejua kesho atakula nini.

Utaondoka tu, huna jipya.
 
hamna lolote mkwere mpenda majungu na watu wameisha msoma hana wa kumdanganya na hana muda mrefu tutamtoa tu hapo ikulu.
 
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimedaiwa kuchochea machafuko yanayolenga kuiondoa serikali iliyoko madarakani. Hayo yamesemwa na rais jakaya kikwete wakati akilihutubia taifa kupitia vyombo vya habari katika hotuba yake ya kila mwisho wa mwezi. Rais kikwete amesema chadema wanatumia maandamano wanayoyafanya nchi nzima kueneza uchochezi huo kutokana na uchu wao wa madaraka ili waingie madarakani kwa nguvu. Rais kikwete pia amewataka wananchi kutowafuata chadema kwa kua kwao demokrasia haina maana..

source: ITV
 
miaka sijui hamsimi ya uhuru bado tuendelee tu kusubiri mpaka lini hivi huyu jamaa vipi?
 
Jamani huyu Rais wetu hajajitambua. He is a tremendously gifted politician but a very weak leader, one without a vision, one without courage, one without confidence.

Acha sound nyingi mzee, may your remaining years in the office pass like a wind. For your administration is the most inefficient of all administrations since Tanganyika was born.
 
Wadau hapa nilipo nataka hata kufa...........nani aliyemuandalia hii hotuba?
 
Hawezi kujilinganisha yeye na Jk Nyerere, umeme ilikuwa 24hrs, Clean water 24Hrs ingawa uchumi haukuwa imara lakini huduma za jamii zilikuwapo hata elimu ilikuwa bure. Sasa yeye amefanya kitu gani cha maana zaidi ya Ufisadi? Mkwere wewe ni zezeta huna jipya bora ujiuzulu na uwapishe watu wenye Akili timamu

Miaka hiyo umeme ulikuwepo kwa sababu mvua ilikuwa inanyesha karibu mwaka mzima na watumiaji walikuwa chini ya nusu ya sasa.
Maji yalikuwepo sbb kulikuwa na chemchem na mito mingi ambayo karibu yote imekauka mfano mzuri mikoa ya ARS na KLM.
Maengineyo yaliwezekana kwa sbb ya idadi ndogo ya popln na misaada mingi kutoka nchi za soviety ambazo nazo zimefilisika
Hivyo ktk kuihukumu govt tuwape haki zao pia, idadi ya watu milion 20 ni tofauti sana tu na watu milion 40
 
Wakuu naomba mwongozo, ikitokea mkuu wa nchi ameudanganya umma, atachukuliwa adhabu gani? Ninavyokumbuka mimi ni kuwa mabomu yalilipuka siku ya Jumatano tarehe 16/02/2011, yeye kasema (au atasema) usiku wa tarehe 17/02/2011! Hii imekaaje?

zaratusutra nakuomba ulete ushahidi wa kimaandishi unaoonesha kwamba mkuu wa nchi kaudanganya umma.
 
Umenena! Hakika umenena! Wameshindwa mechi uwanjani na sasa wanategemea kupata ushindi nje ya uwanja. Ni wachochezi na tutawakataa. Na mchezo wao ni maafa kwetu.

Umetutoa tongotongo, na sasa tunaona vema. Mwenye macho, haambiwi tazama
 
Wanajamii ina mana mie ndo sikuelewa alichoongea kikwete ama amedata ,for sure ameongea mara maji kidatu ,mara mtera ...na nikasikia kwa mbaali akisema chadema ,sijui tusiwakubali ,sijui wanataka vuruga amani ya nchi ,sijui tusiwakubali .....wapendwa kwa aliyeelewa atueleweshe wana-member.
source:tbc 1(2100-2130hrs).
 
Back
Top Bottom