The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,549
Sio kweli.Sasa unashindwa kutumia japo maji kwenye hicho kichwa chako kufikir...ya Rais ilikuwa live TBC ,star TV na kwingine sasa hiyo ya Mbowe ilikuwa live wapi
Sasa hao waliotizama wote una uhakika ni chadema!
Watu wameangalia TBC&Star TV ...kuna haja gani ya kucheki YouTube tena?Sio kweli...
Vigezo vya takwimu hizi vinafanana.....
Hotuba zote zinekuwa posted almost 6 past hours baada ya kuwa zimerushwa live hewani....
Kwa hiyo kilichotumika sio hotuba kuwa live...!!
Subiri niende YouTube nitarudi.
Unadhani na mbowe angepata nafasi ya kuangaliwa kwenye TV pangekuwa tofauti na mh RaisWatu wameangalia TBC&Star TV ...kuna haja gani ya kucheki YouTube tena?
Watu wameangalia TBC&Star TV ...kuna haja gani ya kucheki YouTube tena?
Rudia kuusoma uzi wako ndio utajua nimemaanisha nini!Hili la "kwani wote ni CHADEMA", sijasema wala kuandika mimi. Hilo ni la kwako....
Mimi nimeandikwa " number of views" bila kujali aliyetazama ni CHADEMA au wewe CCM ama asiyekuwa na chama.....just views!!
Sasa Rais ndo anaongelea crisis inayoendelea nchini halafu watu wakamsikilize kiongozi wa chama!!! Kwan nyuzi zote mbili si zilikuwa hapa jf? Wa Rais na wa huyo kiongozi upi ulitembea zaidi... Watu sio wajinga wajinga hivyo kama unavyofikir...Si wote wamefungiwa kwenye mavyama kama wewe.Unadhani na mbowe angepata nafasi ya kuangaliwa kwenye TV pangekuwa tofauti na mh Rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hutaki kuhesabu hao ni shida zako hizo...Mimi na wote tuliopo nao hapa tumetazama Star TV live,..Shida yetu hotuba ya Mheshimiwa na tumeicheki...huko utube haina haja.. Ndo uhalisia huo,uukubali uukatae kivyako...halafu sijui unanipa pole ya nn;umevurugwa😅Utafiti wangu hauwahesabu hao...
So, don't even mention that....
BTW, hata kama ungeweka TV mbili hapo...
Moja ikimuonesha Mzee wa anga Mh Mbowe na nyingine Mzee Magufuli, nakuhakikishia polisi watakuja na maji washa na mabomu ya machozi kusambaratisha wanaomsikiliza na kumtazama Freeman Mbowe...!!
Pole sana...
Hotuba ya Mbowe kuangaliwa na watu Milioni na kitu tena sio live ila wametumia vifurushi vyao kuangalia maana yake ni kuwa watu wana mapenzi nae ingekuwa watu hawampendi au hawaipendi Chadema hata views laki 1 asingefika.Watu wameangalia TBC&Star TV ...kuna haja gani ya kucheki YouTube tena?
Hotuba ya Mbowe kuangaliwa na watu Milioni na kitu tena sio live ila wametumia vifurushi vyao kuangalia maana yake ni kuwa watu wana mapenzi nae ingekuwa watu hawampendi au hawaipendi Chadema hata views laki 1 asingefika binti .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijasema hapendwi..Hotuba ya Mbowe kuangaliwa na watu Milioni na kitu tena sio live ila wametumia vifurushi vyao kuangalia maana yake ni kuwa watu wana mapenzi nae ingekuwa watu hawampendi au hawaipendi Chadema hata views laki 1 asingefika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya magufuli ilikwenda live kwenye vituo vyote vya televisheni na redio,pia ilirudiwa tena saa moja usiku,pia utafiti wako haukugusa channel.ya ikulu mawasiliano.Yet, bado kuna watu wanasema CHADEMA chini ya Mbowe imekufa. Je, mtu akisema wasioitakia mema Chadema wanajilisha upepo nitakuwa ninakosea kweli?