Jamani, kuna baadhi ambayo ameyaongea anadai yametekelezwa, na anavyosema mengine yapo njiani kutekelezwa (mpeni kura!) hivyo tuwe watu wa subira, itapendeza mtu akasoma juu ya mafanikio ya awamu ya nne kwenye attachment na kisha akachangia, naamini hapo ndipo tutakuja na hotuba mbadala ya hii ya mheshimiwa rais.Huyu jamaa ni muongeaji mzuri. Utekelezaji mh! Pia bunge lingekuwa linajaa hivi mwaka mzima ingekuwa kheri
Kikwete said:Nimeshawanunulia mtambo huo uliogharimu shilingi 50 milioni.
Jamani, kuna baadhi ambayo ameyaongea anadai yametekelezwa, na anavyosema mengine yapo njiani kutekelezwa (mpeni kura!) hivyo tuwe watu wa subira, itapendeza mtu akasoma juu ya mafanikio ya awamu ya nne kwenye attachment na kisha akachangia, naamini hapo ndipo tutakuja na hotuba mbadala ya hii ya mheshimiwa rais.
Nasubiri kwa hamu sana comments za comrade Malaria Sugu (MS)
Mkuu, mimi hapo niliposikia BAHATI MBAYA nikajua huyu alomwandalia amedhani kawa smart sana; na eti wabunge wakafurahi na kupiga makofi kisa kasema "Tulichukua maamuzi mazito sana kusitisha ubia na mwekezaji huyu (RITES)"Mheshimiwa anaposema Bahati mbaya ana maana gani ? ........Huku ni kulea uzembe tuu, watu waliohusika walitakiwa kupelekwa Jela.
Mmh,Invisible na wewe unamkampenia Rais Kikwete,duu,kumbeee sasa nimepata nimekuelewa.
Kauli hii ni matunda ya safari ya jana bungeni?Jamani, kuna baadhi ambayo ameyaongea anadai yametekelezwa, na anavyosema mengine yapo njiani kutekelezwa (mpeni kura!) hivyo tuwe watu wa subira, itapendeza mtu akasoma juu ya mafanikio ya awamu ya nne kwenye attachment na kisha akachangia, naamini hapo ndipo tutakuja na hotuba mbadala ya hii ya mheshimiwa rais.
Nasubiri kwa hamu sana comments za comrade Malaria Sugu (MS)
Dah,Ahsante mhe rais kwa kuendelea kusimamia nchi yetu vizuri mpaka kuendelea kudumisha amani, utulivu na upendo wetu pamoja na kudumisha muungano wetu.
Ahsante kwa kuendeleza yale mazuri yaliyoachwa na viongozi waliotangulia na kuweza kuhimili vishindo vyote kutoka kwa watu na makundi mbalimbali na ahsante tena kwa kusamehe wale wote waliokukosea kwa namna moja au nyingine katika utendaji wako
Mkuu, wapo wanaoona kuwa ni MAKUBWA SANA haya na kuona kuwa RAIS kajitahidi kama unavyomwona mkuu Shy hapo juu!mbona anaongelea mambo madogo madogo, ambayo hastahili kuyataja katika hotuba. kazi kweli kweli