Uamsho mnataka madaktari wa Iran waje ili baadae nao watake kulipwa fadhila ili ianzishe mahakama ya 'hedhi' na sharia za kishetani ndani ya Tanzania kwaajili ya kusuluhisha ndoa, talaka na kukatana viungo. Kwa hilo mmefeli jaribuni strategy nyingine.
Indeed zomba JK ndiye Rais wa jamhuri yetu...and that is a huge responsibility. He takes with him the good and bad things of the government he leads.
I admire his abilities. He has achieved higher standards in every aspect of development within a very short time. He is the best ever![/QUOTE
I agree to disagree with you...mambo si kama vile unavyosema hapa unless wewe ni miongoni mwa wateule wachache ambao mambo yao yako pouwa kwenye hii inflation ya kutisha tuliyonayo.
Aache kuwadanganya watanzania, jk hana jipya! Kawaita wakina Michuzi na kuwapa hiyo hotuba waiweke kwenye blogs. Kwa nini hakuwa na uso wa kusimama mbele ya camera tuuone uso wake akiisoma hotuba hiyo? Tumeacha shughuli zetu muhimu na kusubiri mpaka usiku sana hakuhutubia! Siku zenu zinahesabika!
- Mwaka 2004/2005, mshahara wa kuanzia wa daktari ulikuwa shilingi 178,700/=,
- mwaka 2005/ 2006 tuliupandisha na kuwa shilingi 403,120/=. Tuliendelea kuupandisha
- mwaka hadi mwaka mpaka kufikia shilingi 957,700/= wanazolipwa s
I agree to disagree with you...mambo si kama vile unavyosema hapa unless wewe ni miongoni mwa wateule wachache ambao mambo yao yako pouwa kwenye hii inflation ya kutisha tuliyonayo.
Inlation isikutishe, wenye ujanja wa biashara wanaitumia hii chance ku export kwa wingi na wanawekeza kwenye uzalishaji wa kuuza bidhaa nje. Mbaya kukiwa na inflation halafu hatuwezi ku afford, mpaka sasa Bar zinajaa kila siku.
Kumbuka Tanzania kuna mzunguko mkubwa wa fedha zisizolipiwa kodi, hiyo inasababisha sana kukuwa kwa inflation. Measures zipo jikoni, usiwe na shaka.
MDAU JR, Kwa hiyo ni sahihi kuwatoa kafara wagonjwa eti kwa sababu wabunge wanapewa mil10? Hakuna njia nyingine za kufanya hadi wagonjwa wafe? Kwani hizo pesa wanazofaidi wabunge ni za madaktari tu? Ni za wananchi wote. Itafutwe njia sahihi ya kukomesha mpango wa wachache kufaidi keki ya taifa wakati wengine wanaumia na si njia hii ya kuchezea roho za watu wasio na hatia. AMKA MDAU JR.mamayeyo, hv hizi ni nyingi kuliko mil 10 na kidogo wanazolipwa watu dodoma kwa ajili ya kugonga meza na kupigana vijembe? Mbona hamsimami kukemea? Ok basi budget ijayo tunaongeza 5m zaid hapo kwe mishahara ya wagonga meza kwa kuwa bunge letu ndo linalipa mishahara midogo kuliko mabunge yote Afrika!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
ZIDUMU "FIKRA SAHIHI" ZA WATUNGA SERA WA CCM!
Hapo ndipo umakini unaotakiwa kuangalia. Ni sawa na mfanyakazi anayeangalia mmiminiko wa pesa shirikani bila kufahamu mtiririko wa matumizi ya kampuni. Yeye anachoangalia ni mshahara wake tu si vinginevyo.
Kwa akili yako madaktari wakipata pesa hizo na wewe unayehitimu sasa uendelee kusona na laki nne imekaa sawa? Barabara tunalalamika zijengwa, hospitali ziboreshe, kuimarisha mashirika ya umma kama ATC na Reli, na mengineyo, na bado watumishi wengine wa umma wanadai nyongeza za mishahara. Tunapojadili tuangalie mambo kwa upana si kuangaliwa tu kulipwa madaktari, je watumishi wengine? Bora kuongeza kidogo kidogo kwa awamu na wote wataridhika kidogo wanachopata kuliko wachache wawe na maisha peponi na wengine ndi hivyo tena kuedlea na ulalahoi.
Ongezeka lipo lakini linaendana na hali halisi ya maisha, 2004/05, nikumbushe petrol ilikuwa sh ngapi vile, sukari ilikuwa sh ngapi, nyumba za kupanga zilikuwa sh ngapi vile. kada nyingine nadhani mshahara unawatoshandio maana hawadai. Hata hivyo madai ya madaktari sio mshahara tu bali na mazingira mazuri ya kufanyia kazi, ikiwemo upatikanaji wa vifaa tiba na rasilimali watu vile vile. Mr presidentplease try as much as you can to make the doctors comfortable for them to properly serve ur people.
[/LIST]
[/B]
[/LIST]
[/B]
Hakuna jipya,ni hotuba iliyojaa habari za uongo,za kidhaifu,hotuba ya unafiki tupu,hotuba ya ubabe,lakini hajaja na strategy ya kumaliza mgomo na mzizi wa mgomo.
Nilichojifunza kwenye hotuba hii ni kutumia nguvu ya umma tu,maana kauli alizotoa ni za kejeli sana,kauli za dharau,kauli zenye kutujuza kuwa tayari wameshafanya maamuzi na utumishi wameshaanza kuchukua hatua wakati shauri lao halijaanza hata kusikilizwa,leo wamejidhihirisha ya kuwa wanafanya ubabe tu hata huko bungeni.
Natoa wito suala hili ili kupata suluhu ni kutumi nguvu ya umma tu.
Acha kufuata mistari ya DHAIFU eti Serikali haina uwezo wa kuwalipa madaktari.....uwezo upo sana tu, usifuate nyimbo za mafisadi alias viongozi ambao uwezo wao wa kufikiri ni finyu. Kama tunaweza kutengeneza mabilionea nchini mwetu kila mwaka kwa kukwapua mali za Watanzania basi tunaweza kabisa kuwalipa madaktari mishahara waliyoiomba na kwa wafanyakazi wengine Serikalini ili kuboresha maisha ya Watanzania walio wengi. Kwenye miaka ya sitini uchumi wetru ulikuwa sawa sawa na nchi za Singapore na South Korea na hawa hawana utajiri wa mali asili ambao Tanzania tumejaliwa lakini angalia wenzetu walivyopata mafanikio makubwa katika kunyanyua uchumi wao na kuboresha maisha ya Wananchi wao...sie bado tumejikiita kuimba nyimbo za Viongozi DHAIFU eti Serikali haina uwezo!!!!
Sio MGOMO, madaktari WAACHE kazi! Usijifanye chizi huelewi!
liwe liwaloliwalo na liwe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:wacko: