Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,503
- 113,616
Tangu lini dhahabu, almasi n.k. vimekuwa vya watu wa bara peke yao? Mapato yake yote si yanakwenda kwenye wizara ya fedha ambayo ni ya muungano? Jeshi,mabalozi, vyuo vikuu si vyote vinahudumiwa kutokana na mapato hayo? Vyote hivi si vinatoa huduma kwa Zanzibar pia? Mahospitali nayo si yanahudumiwa kutokana na mapato hayo? Wazanzibari si wanapata huduma katika hizi hospitali kama mtanzania mwengine yeyote? Mimi ningeelewa kuwa hayo madhahabu, matanzanite, gesi, pamba, kahawa ni vya watu wa bara peke yao kama wangekuwa na wizara yao ya fedha na bajeti yao peke yao. Katika hali iliyopo sasa, si sahihi kusema kuwa hivyo ni vya bara. Wakitaka iwe hivyo basi tuwe na wizara ya fedha yetu kama ilivyo Zanzibar. Hapo nasi tutafaidika na hayo madini kama vile wenzetu wanavyofaidika na karafuu yao!Kwa ujasiri mkubwa na lugha ya kistaarabu sana, ameyaomba gesi na mafuta yao, yawe yao, kama ilivyo bara na dhahabu yetu.
zanzibar wameelewana tanganyika mlie tu!
zanzibar wameelewana tanganyika mlie tu!
Naona hata wanachama na wapenzi wa CUF wameunga mkono muafaka huo, kama inavyoonekana kwenye picha hii, ambapo wanacuf wakipita mbele ya Rais Karume...Rais Karume ndio kwanza amemaza kuhutubu sherehe za Mapinduzi Zanzibar kutokea kisiwani Pemba.
Kwa maoni yangu, its the best ever tangu nimekuwa nikimsikiliza Mheshimiwa huyu huko nyuma.
Dondoo Muhimu:
- Amesema hatogombea tena kwa mujibu wa katiba.
- Ameupongeza muafaka wake na Maalim Seif na kusifu motokea mema yake ya awali.
- Amesema hatogombea tena kwa mujibu wa katiba.
- Ametoa hakikisho la Uchaguri huru na wa haki.
- Wenye sifa wote, wataandikishwa. ZEK itapitisha tena uandikishaji upya.
- Wote wenye sifa za kupata ZID, watapatiwa na wote wenye ZID walionywima kwenda kuzichukua, wakazichukue.
- Kwa ujasiri mkubwa na lugha ya kistaarabu sana, ameyaomba gesi na mafuta yao, yawe yao, kama ilivyo bara na dhahabu yetu.
.Sijapata Muda wa kuisikiliza hotuba hii inayoonekana tamu sana, je amezungumza lolote kuhusu Serikali ya Mseto?Au serikali ya umoja wa kitaifa!
How genuine? percentage wise -40,50,90? Nan tuyaone mwaka huu!!!!!!!.
No hakuzungumza lolote kuhusu hilo, hayo ni mambo yake na Seif, sio ya kumwaga kwenye kuku wengi ila alivyomshukuru Seif na kurecognize presence yake, this time Karume seems he is genuine.
Tangu lini SMT ikawasaidia wananchi wa Zanzibar katika mambo yao ya ustawi wa jamii- Elimu kwa watoto wao, afya kwao na watoto wao kilimo chao japo ni cha mpunga na viazi tona, Umeme ( si ndio mna ona hilo sakata sasa nani anahangaika SMT au Mansour). Fundi kuwa Fundi bwana . Mimi nategemea kuwa wewe unayaangalia haya mambo kwa utuo. Futa kama lipo ni lao la Zenj,. Na dhahabu hawafaidiki. Ikienda hazina wanapata majeshi na Mapolisi upo hapo?Tangu lini dhahabu, almasi n.k. vimekuwa vya watu wa bara peke yao? Mapato yake yote si yanakwenda kwenye wizara ya fedha ambayo ni ya muungano? Jeshi,mabalozi, vyuo vikuu si vyote vinahudumiwa kutokana na mapato hayo? Vyote hivi si vinatoa huduma kwa Zanzibar pia? Mahospitali nayo si yanahudumiwa kutokana na mapato hayo? Wazanzibari si wanapata huduma katika hizi hospitali kama mtanzania mwengine yeyote? Mimi ningeelewa kuwa hayo madhahabu, matanzanite, gesi, pamba, kahawa ni vya watu wa bara peke yao kama wangekuwa na wizara yao ya fedha na bajeti yao peke yao. Katika hali iliyopo sasa, si sahihi kusema kuwa hivyo ni vya bara. Wakitaka iwe hivyo basi tuwe na wizara ya fedha yetu kama ilivyo Zanzibar. Hapo nasi tutafaidika na hayo madini kama vile wenzetu wanavyofaidika na karafuu yao!
Amandla......
Inshalla. Hakuna anayetaka kugawana. Hivyo lini umewasikia wale kule (Zenj) kupigia kelele -hata huo mchele wenu wa Kyela. Si wanakuja na kuununua (kwa mujibu wa taratibu za biashara) Sasa Futa ni lao na nyinyi pateni madini na kila mtachojaaliwa ni chenu- watakuja kununua. Mkiwapa -kama sadaka- basi huo ndio Muungano na undugu.Hilo ndiyo tatiza la wanzanzibari hata sijui hizo pesa za muungano wanafikiri zinatoka wapi sijui.
Waache wanunue mbeleko kabla ya uzazi kwa maana ninaamini TZ-Bara yatapatikana mafuta mengi na vilevile madini kedede hasa nyanda ya juu kusini. Sijui ikiwa hivyo watataka kugawana.
UKIWA MROHO USIWE MCHOYO
zanzibar wameelewana tanganyika mlie tu!
Ikienda hazina wanapata majeshi na Mapolisi upo hapo?[/COLOR][/B]
Tangu lini dhahabu, almasi n.k. vimekuwa vya watu wa bara peke yao? Mapato yake yote si yanakwenda kwenye wizara ya fedha ambayo ni ya muungano? Jeshi,mabalozi, vyuo vikuu si vyote vinahudumiwa kutokana na mapato hayo? Vyote hivi si vinatoa huduma kwa Zanzibar pia? Mahospitali nayo si yanahudumiwa kutokana na mapato hayo? Wazanzibari si wanapata huduma katika hizi hospitali kama mtanzania mwengine yeyote? Mimi ningeelewa kuwa hayo madhahabu, matanzanite, gesi, pamba, kahawa ni vya watu wa bara peke yao kama wangekuwa na wizara yao ya fedha na bajeti yao peke yao. Katika hali iliyopo sasa, si sahihi kusema kuwa hivyo ni vya bara. Wakitaka iwe hivyo basi tuwe na wizara ya fedha yetu kama ilivyo Zanzibar. Hapo nasi tutafaidika na hayo madini kama vile wenzetu wanavyofaidika na karafuu yao!
Amandla......
[/LIST]
Mimi kwa kawaida yangu ni kama tomaso huwa siwaamini sana wanasiasa
tatizo si kusema tatizo ni kutenda inapofika kwenye utekelezaji wako tayari hata kupinga walichosema jana yake,
Kwanza kauli yake 'hatogombea kwa mjibu wa katiba ' ni sawa, lakini ina maana ingekuwa si katiba alikuwa bado anataka kuendelea, je katiba ingasema vipindi kumi ina maana asingepisha wengine angekuwa raisi maisha? nina wasi wasi na kauli hiyo nasubiri vitendo.
Vile vile si mara ya kwanza kutoa hakikisho la uchaguzi huru na wa haki Zanzibar kila mara viongozi wamekuwa wakiimba hilo hata Komandoo Salimin ndio ulikuwa wimbo wake wa kila siku hatujasahau eti kila uchaguzi unapokuja wenyewe ni mashaidi wa vurugu za Zanzibar zikiongozwa na jenjewedi na polisi, sipingi kama kweli ana nia nzuri lakini nasubiri utekelezaji wake.
Rais Karume amesema mara ngapi kwamba kila Mzanzibar mwenye sifa ya kupiga kura ataandikishwa kila mwenye ZaID ataandikishwa matokeo yake nini masheha ndio wamekuwa waamuzi wa nani aandikishwe wakiongozwa na ma-DC yote yamekuwa yakifanyika kupingana na kauli za rais sijui ni kitu gani special alichofanya leo kinifanye niamini, ndo maana nimesema mimi ni kama tomaso.
Kuhusu suala la mafuta na gesi kuwa ni ya Zanzibar tu au la, hili sina uhakika nalo zaidi kwa sababu hata hayo mafuta ndo bado yanatafutwa hadi yatakapopatikana. Siwezi kwa sababu sijui yatapatikana wapi Unguja, Pemba, Mafia au Lindi sasa yakipatikana Mafia sijui wazanzibar watasema yao au yakipatikana baharini sijui mipaka ya Rep. of Tanzania inaishia wapi. Whatever the case kama dhahabu huwa inaenda hazina basi chochote kitakachopatikana kwenye mafuta na gesi kiende hazina, nafikiri hazina wana fomula ya mgawanyo wa kila kitu.