Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

Ataweza kusimama kukagua gwaride na kupokea salute?

Ile mizinga 21 tu mambo Chato.
 
haijalishi alikaa, alisimama, alilala, alipiga pushup watanzania wameamua kuvunja ndoa na ccm kupita kwake!
 
Pale hapakuwa na hotuba Bali uzinduzi wa kampeni, pia hotuba si lazima iwe ya Massa kadhaa ndipo iitwe hotuba. Hotuba inaweza kuwa hata ya dk 5 yenye kuainisha malengo ni hotuba bora kuliko hotuba ya masaa iliyojaa uongo na mambo yasiyo tekelezeka.


Umenena kweli mkuu.
Sasa ile hotuba ya matusi Lusinde aliyotoa kule Arusha kampeni za Ubunge Meru inafaida gani kwa Binadamu?

JPM anaongea mda mwingi lakn anachotaka kusema ni SITAWAANGUSHA. Sasa kusema sitawaangusha kunahitaji muda wote huo? Why dont you be straigh to the point and save time and energy!

Lawassa ni kila kitu uchaguzi ujao
 
Anayewatuma kuandika upumbavu kama huu alaaniwe.

Mwambieni watanzania wamekwisha amua kwa pamoja kuiondoa ccm.

habari sijui ya kukaa, kusimama, kuchuchumaa, kulala kifudifudi, kubong'oa kamuulizeni jk.
Watanzania ndio sisi.Uamuzi wetu ni kura ZOTE kwa Magufuli.Nani apigie cha cha UKAWA ambacho hakina hata usajili?
 
Hatawasemeje mimi lowasa lazima nitampa kura yangu hata akikaa ikulu mwaka mmoja akifa sio mbaya sana ila najua ataenda kumfikishia ujumbe nyerere kwamba mang'ombe mlio kuwa mnawaongoza miaka hiyo sio watanzania wasasa wanaotaka mabadiliko hata wewe mwenyewe nyerere kama unata kwenda uendage kiakili ukienda kichwa kichwa wanaweza kukutoa no count.
 
Back
Top Bottom