Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

Anayewatuma kuandika upumbavu kama huu alaaniwe.

Mwambieni watanzania wamekwisha amua kwa pamoja kuiondoa ccm.

habari sijui ya kukaa, kusimama, kuchuchumaa, kulala kifudifudi, kubong'oa kamuulizeni jk.

_MG_6946.jpg
 
Jogi kubali tu kuwa jamaa yenu mgongwa maana pamoja na hotuba yake aliyopanga kuhutubia akahutubia ikiwa recorded bado pia katumai dk 19 sasa Huyo mzima kweli.

Sikiliza wewe Dada!!!! yaani sio kukaa tu hata angeisoma huku kalala kitandani bado tutampa kura nyingi za ndio.si alianza maguufu kampeni mkawa mnajidanganya sijui mafuriko yetu sio mafuriko tena bali ni MAPOROMOKO!!!!!
 
Nauliza tu wadau,
Jana usiku baada ya habari ITV, kulikuwa na hotuba ya uzinduzi kampeni ya CDM.
Pamoja na mengine ni vizuri tujue physical fitness ya rais mtarajiwa, Nilishindwa kujua Lowassa alitoa hotuba akiwa amesimama au alikaa? Nilishindwa kujua, kulikuwa kama na mirror/picture trick ?. Naombeni tujuzane - ile hotuba allitolea studio au home? alikuwa kasimama au kakaa?

Ukijua ili iweje?gamba mkubwa mfuga njiwa
 
kwa hali kama hii, imeshadhihirisha udhaifu wake.......kama amesindwa kusimama na kuongea na kujielezea ....je ataweza simamam mikutano mikubwa kama ya UN??? ......tukiacha ushabiki pembeni na kufikiria ukweli lowassa kiwango chake bado kuongoza maelfu ya watu wote hawa....kanakwamba pamoja na kuwa recorded .....still ametumia 19 min tu, na speech yake haijanishawishi saana...zaidi ya elimu, je kutoka kwa babu sea itanisaidia nn mimi kama mtanzania??

Iyo like ikekuja kamakosa lengo jikukot wewe mbulula usiyejua maana sasa nikuibie sir I huyo mgombea wenu yaani ndo majanga unajua anachoumwa?ngachooka ntarudi kukwambia!usishabikie usiyoyajua....mmepanic na bdo na madume tezi yenu.
 
Jogi kubali tu kuwa jamaa yenu mgongwa maana pamoja na hotuba yake aliyopanga kuhutubia akahutubia ikiwa recorded bado pia katumai dk 19 sasa Huyo mzima kweli.

Alitumia muda mfupi kutokana na kupewa muda kidogo,maana alianza kuhutubia saa 11:36.ikiwa kwa muujibu wa sheria mwisho ni saa 12 ulitaka ahutubie dk ngap??
 
Oya nyie manyumbu mmeulizwa swali msianze mitusi yenu hapa, mbona mnakuwa kama mipanya kujibu hovyo hovyo? Alikuwa amesimama ama amekaa? Wengine tulikatiwa umeme kwahiyo hatukuweza kuona live acheni upumbavu mnazingua.

Akili zako ni afadhali ngiri afukuzwaye na simba utumia akili kuliko wewe
 
We pimbi kuwa na ukimwi haimaanishi huwezi kuwa rais..ukimwi hau affect thinking ya mtu..ila Parkinson desease inaathiri uwezo wa mtu kufanya maamuzi...watu watakuwa wanamsubiri rais akiwa hayuko vizuri wanampelekea faili aanguke wino...hatutaki kuonja sumu bana

Mtakoma mwaka huu ngoja nikuimbie kidogo Lowassa ni chaguo letu*2 awe mgonjwa au mzima ni CHAGUO letu hata mfanye nini ni CHAGUO letu! Tune ya wimbo utaichagua mwenyewe.
 
Pale hapakuwa na hotuba Bali uzinduzi wa kampeni, pia hotuba si lazima iwe ya Massa kadhaa ndipo iitwe hotuba. Hotuba inaweza kuwa hata ya dk 5 yenye kuainisha malengo ni hotuba bora kuliko hotuba ya masaa iliyojaa uongo na mambo yasiyo tekelezeka.

Wamezoea hotuba ndefu zilizojaa usanii za ccm,wakati lowasa kaligundua hilo na kuamua kuja kivingine
 
Hata Mimi nashangaa wanaleta hoja dhaifu sana ivi MTU akiongea kwa muda mrefu halafu asitekeleze kama kawaida yenu ndo inakuwaje jamani tunataka MATENDO mengi maneno kidogo. Tatizo hamumjui vizuri Lowassa ktk historian take sio MTU wa blabla nyingi yeye ni ACTION tu.na huku.mitaani ni raha tupu tumejiunga vikundi mbalimbali kuhamasishana yaani Ni OBAMAOBAMA tu .ALIPO TUPO!!!!!!!
 
Hata Mimi nashangaa wanaleta hoja dhaifu sana ivi MTU akiongea kwa muda mrefu halafu asitekeleze kama kawaida yenu ndo inakuwaje jamani tunataka MATENDO mengi maneno kidogo. Tatizo hamumjui vizuri Lowassa ktk historian take sio MTU wa blabla nyingi yeye ni ACTION tu.na huku.mitaani ni raha tupu tumejiunga vikundi mbalimbali kuhamasishana yaani Ni OBAMAOBAMA tu .ALIPO TUPO!!!!!!!

Hongereni sana makamanda
 
Back
Top Bottom