Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

HATA ANGESOMA AKIWA AMECHUCHUMAA AU AMELALA,TUTAMPA KURA ZETU kuliko kuwapa CCM WEZI WA MALI ZA UMMA, NA WATOA AHADI ZA UONGO.
 
..jana mliulizwa kwenye kampeni za ukawa...je kwani magufuli mzima?...kama ni mkataba kweli kujua afya za wagombea...itisheni Wao kupima afya hadharani..kwa kuanza na ukimwi..alafu muone Kama mgombea wenu tu salama kiafya...fanyeni hivyo na majibu Yao wote yawekwe hadharani...kwa hii hoja nayo mtashindwa..ulizeni wataalam muambiwe..

Magufuri ana sikoseli na huwa inamsumbua Sana na unaweza angalia kijiriba tumbo chake kilivyokaa kitambi si kitambi kwaskakoo si kwashiakoo sijui bwana hata watu wote tu wagonjwa japo scale za ugonjwa zinatofautiana.
 
Ubongo wako finyu kukaa au kusimama kutakusaidia nini elimu sikushangai elimu yako ya kukalia jiwe darasani ndy ilokupa uwezo wa kuuliza maswali ya kilofa.
 
Nilikerwan na kipaumbele kimojawapo kati ya alivyovitaja mgombea wa ukawa. Kuwatoa masheikh na babu seya gerezani. Hiki si kipaumbele cha watanzania. Seya na wanaye walihukumiwa na mahakama mgombea hawezi kuwatoa kwani hayuko juu ya sheria. Na hili na David Balal nalo ni la kushangaza. Anasema ameona mabango yanamtaka balal yeye kasema amesikia. Hii ina maana gani?????????????????!!!!!!! Hivi havikupaswa kuwa vipaumbele vya maendeleo.
 
Halafu alichanganyikiwa aliposema Zaire na Kongo kama nchi tofauti ambazo zitatumia bandari yetu ya Dar es Salaam. Pia kujitahidi kuzungumza haraka haraka ni hofu ya kuishiwa nguvu asiweze kumaliza kusema anachokusudia.
hulijui Congo brazavile
 
Nauliza tu wadau,
Jana usiku baada ya habari ITV, kulikuwa na hotuba ya uzinduzi kampeni ya CDM.
Pamoja na mengine ni vizuri tujue physical fitness ya rais mtarajiwa, Nilishindwa kujua Lowassa alitoa hotuba akiwa amesimama au alikaa? Nilishindwa kujua, kulikuwa kama na mirror/picture trick ?. Naombeni tujuzane - ile hotuba allitolea studio au home? alikuwa kasimama au kakaa?
TANESCO walichukua umeme sikuona
 
Nilikerwan na kipaumbele kimojawapo kati ya alivyovitaja mgombea wa ukawa. Kuwatoa masheikh na babu seya gerezani. Hiki si kipaumbele cha watanzania. Seya na wanaye walihukumiwa na mahakama mgombea hawezi kuwatoa kwani hayuko juu ya sheria. Na hili na David Balal nalo ni la kushangaza. Anasema ameona mabango yanamtaka balal yeye kasema amesikia. Hii ina maana gani?????????????????!!!!!!! Hivi havikupaswa kuwa vipaumbele vya maendeleo.

lowasa amedai atamleta balali toka katika wafu.........

wabongo ni mbulula sijapata kuona,,,,,anavyowaokota huyo lowasa sipati kushikanisha akifanikiwa kuwa rais itakavyokua yani.....
 
muwe mnaweka wazi,sio mnamkalisha kwenye stuli ndefu halafu anavunga kasimama.

mtaficha mpaka lini wakati wilayani hakuna studio ya kusomea hotuba,ataumbuka tu

Suppose ndo amekuwa rais, ile siku ya kuapishwa sidhani kama ataweza kuhimili vishindo vya ile mizinga 21, ok hiyo si mbaya maana tuajiri mtu wa kumshikilia maana haitakiwi akae na kukaa kwenye stuli marufuku. Sasa na ile hotuba ya kuzindua bunge la 11 mtakaokuwa wabunge mjiandae kwenda kuisoma hotuba ya ufunguzi wa bunge kwenye tovuti ya ikulu, sawasawa? Na hii ya kuhutubia taifa mwisho wa mwezi hii haina shida ni mwendo wa stuli mganga pembeni na drip za kutosha, sawasawa?
 
Alitumia muda mfupi kutokana na kupewa muda kidogo,maana alianza kuhutubia saa 11:36.ikiwa kwa muujibu wa sheria mwisho ni saa 12 ulitaka ahutubie dk ngap??

Huo mda mchache ulitengenezwa nigga. He's sick na sumaye anatafuta justification kupitia magufuli
 
Nauliza tu wadau,
Jana usiku baada ya habari ITV, kulikuwa na hotuba ya uzinduzi kampeni ya CDM.
Pamoja na mengine ni vizuri tujue physical fitness ya rais mtarajiwa, Nilishindwa kujua Lowassa alitoa hotuba akiwa amesimama au alikaa? Nilishindwa kujua, kulikuwa kama na mirror/picture trick ?. Naombeni tujuzane - ile hotuba allitolea studio au home? alikuwa kasimama au kakaa?

alikuwa amelala
 
Iyo like ikekuja kamakosa lengo jikukot wewe mbulula usiyejua maana sasa nikuibie sir I huyo mgombea wenu yaani ndo majanga unajua anachoumwa?ngachooka ntarudi kukwambia!usishabikie usiyoyajua....mmepanic na bdo na madume tezi yenu.

mbulula wewe unaefwata mkumbo ,....mxiew usinitukane ...changia mada
 
Oya nyie manyumbu mmeulizwa swali msianze mitusi yenu hapa, mbona mnakuwa kama mipanya kujibu hovyo hovyo? Alikuwa amesimama ama amekaa? Wengine tulikatiwa umeme kwahiyo hatukuweza kuona live acheni upumbavu mnazingua.

Nini maana ya kujenga hosipitali. Kama hakuna wagonjwa?Rais alikwenda Marekani kutibiwa je alikuwa mgonjwa au mzima?
 
HATA ANGESOMA AKIWA AMECHUCHUMAA AU AMELALA,TUTAMPA KURA ZETU kuliko kuwapa CCM WEZI WA MALI ZA UMMA, NA WATOA AHADI ZA UONGO.

Hahahaaaa hahaha hahaha wapinzani nyie msinifanye nicheke......
 
We pimbi kuwa na ukimwi haimaanishi huwezi kuwa rais..ukimwi hau affect thinking ya mtu..ila Parkinson desease inaathiri uwezo wa mtu kufanya maamuzi...watu watakuwa wanamsubiri rais akiwa hayuko vizuri wanampelekea faili aanguke wino...hatutaki kuonja sumu bana
..pimbi ni wewe usiyejua madhara ya ngoma....uliza uambiwe...hayo unayosema ya kuathirika thinking ya mtu pia hutokea kwenye ngoma....rudi ukasome...ama uliza uambiwe...huu mjadala ulishafungwa na Sumaye jangwani...
 
Iyo like ikekuja kamakosa lengo jikukot wewe mbulula usiyejua maana sasa nikuibie sir I huyo mgombea wenu yaani ndo majanga unajua anachoumwa?ngachooka ntarudi kukwambia!usishabikie usiyoyajua....mmepanic na bdo na madume tezi yenu.

mburura , mwenyewe tena unikome , its a free country kila mtu anaongea anachojiskia , kama hukubaliani bbna mimi nicrush kawaida, siasa isiwe silaha uya kunitukana tena ukome ............mxiew
 
Halafu alichanganyikiwa aliposema Zaire na Kongo kama nchi tofauti ambazo zitatumia bandari yetu ya Dar es Salaam. Pia kujitahidi kuzungumza haraka haraka ni hofu ya kuishiwa nguvu asiweze kumaliza kusema anachokusudia.

We hujui km Congo zipo mbili Congo Kinshasa na Congo Brazaville
 
Nauliza tu wadau,
Jana usiku baada ya habari ITV, kulikuwa na hotuba ya uzinduzi kampeni ya CDM.
Pamoja na mengine ni vizuri tujue physical fitness ya rais mtarajiwa, Nilishindwa kujua Lowassa alitoa hotuba akiwa amesimama au alikaa? Nilishindwa kujua, kulikuwa kama na mirror/picture trick ?. Naombeni tujuzane - ile hotuba allitolea studio au home? alikuwa kasimama au kakaa?

Alikuwa kachuchumaa
 
Halafu alichanganyikiwa aliposema Zaire na Kongo kama nchi tofauti ambazo zitatumia bandari yetu ya Dar es Salaam. Pia kujitahidi kuzungumza haraka haraka ni hofu ya kuishiwa nguvu asiweze kumaliza kusema anachokusudia.

Samahani yule rais wa libya waliyemuua wapinzani anaitwa nani vip kuhusu Sadamu wa kuwait mahaba bwana Haaaa haaa haa nilitaka kumsahau Gasper wa shinyanga
 
Back
Top Bottom