Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

Hata Mimi nashangaa wanaleta hoja dhaifu sana ivi MTU akiongea kwa muda mrefu halafu asitekeleze kama kawaida yenu ndo inakuwaje jamani tunataka MATENDO mengi maneno kidogo. Tatizo hamumjui vizuri Lowassa ktk historian take sio MTU wa blabla nyingi yeye ni ACTION tu.na huku.mitaani ni raha tupu tumejiunga vikundi mbalimbali kuhamasishana yaani Ni OBAMAOBAMA tu .ALIPO TUPO!!!!!!!

You are missing a point..ukweli ni kwamba, Lowassa ameongea muda mfupi sababu hajiwezi...hujasikia pia amekuomba upigie simu nduguzako mikoani kumuombea kura kisa yeye ni immobile!!
 
Sumaye pia alizungumzia madai kuwa Lowassa ni mgonjwa. Alisema mtu akishapita miaka 50 anapata matatizo ya maradhi. Lakini hata kama mgonjwa, urais unahitaji kiongozi kuwa makini tu, kazi zinafanywa na timu nzuri anayoiteua. “Kazi hii anaiweza Mhe Lowassa.,” amesema. Sumaye akasema kwamba kama Lowassa anasemwa na viongozi wa CCM kuwa ni mgonjwa, kwani hawajui kuwa Magufuli ni mgonjwa? Anakwenda Ulaya kila mwezi kufanya nini,” alihoji.

Taarifa za ndani ya serikali zinasema kwamba Magufuli amekuwa akienda kubadilisha damu Ulaya kutokana na kuugua ugonjwa mkubwa ulio maarufu. Hatua hiyo ya kubadilisha damu kila mwezi inagharimu fedha nyingi ambazo analipiwa na serikali anayoongoza Rais Kikwete.

Chanzo: MwanaHalisi Online

Chanzo_kubenea online
 
Mi niliona mtu ameshikilia meza kwa mikono yote miwili,kwa maana nyingine alisimama mezani na akiongea as if anaumwa, sasa yuko pale kuomba msaada kwa wenye kuguswa na ugonjwa wake wamchangie. halafu pembeni kama vile kulikuwa na drip za maji kama mbili tatu
 
huyu sumayi anawaona mbulula wote.....

eti anaenda ulaya kubadilisha damu,hata kama ni kweli ana ukimwi,hivi ukimwi inatibiwa kwa kubadilisha damu kweli?...
 
hivi twiga waliopanda ndege wamerudi?

twiga kupanda ndege sio ishu,tushaona hadi vifaru wanapandishwa ndege,ushamba tu ,unawasumbua watu,,,

yaani twiga mmoja wa shs laki tano,vijitu vinapoteza miaka 20 kumuongelea?????
ha ha ha,kiwanga cha ujinga nchi hii hakina mfano asee
 
Nauliza tu wadau,
Jana usiku baada ya habari ITV, kulikuwa na hotuba ya uzinduzi kampeni ya CDM.
Pamoja na mengine ni vizuri tujue physical fitness ya rais mtarajiwa, Nilishindwa kujua Lowassa alitoa hotuba akiwa amesimama au alikaa? Nilishindwa kujua, kulikuwa kama na mirror/picture trick ?. Naombeni tujuzane - ile hotuba allitolea studio au home? alikuwa kasimama au kakaa?

Anayekuwa anapitisha mikataba feki pamoja na kusumbuliwa tezi me anakuwa kasimama au kakaa?
Ukijibu hilo narud kukujibu
Nyambafffffffffffffff
 
Mi niliona mtu ameshikilia meza kwa mikono yote miwili,kwa maana nyingine alisimama mezani na akiongea as if anaumwa, sasa yuko pale kuomba msaada kwa wenye kuguswa na ugonjwa wake wamchangie. halafu pembeni kama vile kulikuwa na drip za maji kama mbili tatu

ndoo maana slaa na lipumba waliamua kujikata asee,baada ya kuona aibu itawapata.

huyu mtu hata akiwa rais itakuwa vioja sana,sijui,labda duni haji ataweza kumcontrol,
maana ugonjwa wake kama umebase kwenye centre nervous system.



anaweza amka asubuhu yuko na maluweluwe ya ugonjwa na kuitisha baraza la mawaziri ikulu na kuamuru wakatwe vichwa wote.......
si mnakumbuka alipokua mwenyekiti wa kamati ya ulinzi akatangaza eti Tanzania iko tayari kuipiga malawi mda wowote.....
yaani jamaa yuko dakika kumi mbele
 
Jogi kubali tu kuwa jamaa yenu mgongwa maana pamoja na hotuba yake aliyopanga kuhutubia akahutubia ikiwa recorded bado pia katumai dk 19 sasa Huyo mzima kweli.
yule siyo muongeaji sana,hana uswahili mwiiingi yeye kazi tu.Hapo ndipo tunapomkubali Lowassa! anaamua na kufanya mambo na yanatekelezeka si mtofautishi katika maamuzi na kujiamini kama Kagame!
 
..jana mliulizwa kwenye kampeni za ukawa...je kwani magufuli mzima?...kama ni mkataba kweli kujua afya za wagombea...itisheni Wao kupima afya hadharani..kwa kuanza na ukimwi..alafu muone Kama mgombea wenu tu salama kiafya...fanyeni hivyo na majibu Yao wote yawekwe hadharani...kwa hii hoja nayo mtashindwa..ulizeni wataalam muambiwe..

hili kamanda sumaye alishalitolea ufafanuzi. hawataki waandamane
 
Lowasa si amewaagiza mfanye mambo yenu kwaheshima na bila matusi. Sasa haya ya mpelekeye dada yako yamekujaje?

Kutaka kujua unfitness wa kiongozi in election ni kitu muhimu sana na lazima paeleweke.

kwaiyo ntawapima?? Kuweni makini mgembea wenu atatoka akiwa wa kwanza
 
Huku kama ccm mpo lazima mtaumiatu mana Jana magufuli kachanganyikiwa anasema msipo ichagua ccm Tanzania itakua kama libyaa ccm imechoka waongo wakubwa
 
Pale hapakuwa na hotuba Bali uzinduzi wa kampeni, pia hotuba si lazima iwe ya Massa kadhaa ndipo iitwe hotuba. Hotuba inaweza kuwa hata ya dk 5 yenye kuainisha malengo ni hotuba bora kuliko hotuba ya masaa iliyojaa uongo na mambo yasiyo tekelezeka.

mfano mzuri ni hotuba za obama yeye dkk 5 kashamaliza
 
halafu nilicheka sana ile hotuba imeandikwa kwa sentensi fupi fupi sana,tena kwa orodha ili lowasa asome na kumaliza kwa haraka bila kuchoka.........
 
Back
Top Bottom