Hapa ni sehemu ya hotuba nzito ya TAL mwana halisi wa nchi hii:
"Umoja wetu - nguvu yetu."
π. ππ¨ππ¨π¦U πππ₯ππππ§π π‘π ππ¨ππ’π¦π’πππͺA CHADEMA
Tunahitaji umoja makundi yote bila kubezana Lazima tujitofautisha na na kauli zinazofanana na CCM, ukikosolewa unasema umetukanwa, unakuwa na chawa wa kushambulia, CHADEMA lazima tukosolewe, Kwa sasa tumakuwa chama kikubwa kuna vitabia vya ovyo vimeanza jengeka kwa baadhi ya watu, hatukuwa na hizi tabia huko nyuma.
Ukiona mtu anashambulia kundi lolote linalofanya harakati kutafuta haki nchini, huyo mtu anafanyakazi ya CCM, anafanyakazi ya Shetani.
Ni bahati mbaya kwamba kuna kauli zinatolewa kudogosha Diaspora ambao wametupigania sana CHADEMA na wamepigana haki nchini, tunawachukulia DIASPORA kwa maslahi bila kungalia umuhimu wa mchango wao lakini faida ya kazi zao wanazofanya.
Lakini Diaspora mnapokua na jambo uratibu ufanyike vizuri na taarifa vifikie pande mnazotaka kushirikiana nazo kwa wakati.
------
Post #2 ni hotuba nzima ya mwamba huyu kama alivyotiririka.
Aluta continua!