Hotuba ya Lissu Iliyobadili Siasa Zetu Kuwa za Risasi

Hii hotuba ukiisikiliza kwa makini sana ndiyo sababu kuu iliyo pelekea waovu kushindwa kumjibu kwa hoja na kuamua kutumia risasi ili wamuue nao waendelee kufanya yao.
Mungu akalikataa hilo na inamaanisha alisema kweli. Msemakweli mpenzi wa Mungu na anamlinda

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu jamaa kutoka Singida anataka kutuambia kuwa Lowassa angekuwa rais haya anayoyasema yasingefanyika?.

Anataka kutuambia kuwa shemeji zake Lowassa na watoto wa dada au kaka zake wasingepewa hizo nafasi kubwa kubwa?.

Pengine adui aliyetaka kummaliza ni mmoja wa watu ambao inapofanyika mikutano ya kisiasa pale ufipa wanakuwa wameketi pembeni yake.
 
Mahaba niue. Walipopigwa risasi na kuuwawa wale jamaa wa Kibiti na Rufiji, wakati ule siasa zetu hazikuwa za risasi!?.

Yaani wale waungwana zaidi ya arobaini hawana umuhimu kulinganisha na majeruhi mmoja tu!!.
 
Endeleeni na zoezi la kuuwa iko siku mtaanza kuuana ninyi kwa ninyi...
Wameuawa watu MKIRU watu HAWAKUNYAMAZA MABUBUSA WALINYAMAZA... Wameuawa watu migodini watu hawakunyamaza lakini washangilia mauaji wenye mahaba na ukatili wanajulikana...
 
Wakiona upepo unaonyesha anarudi wanatishia Atakiona, wakisikia upepo unaonyesha harudi wanapiga kelele rudi utumikie wananchi.
Wanapata taabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa ujumla hawataki arudi mpaka uchaguzi upite maana wanajua ana mvuto kwa wapiga kura, na wanafahamu fika Magufuli hana mvuto wala ushawishi wa kisiasa. Hawataki yajirudie ya JK na Dr. Slaa uchaguzi wa 2010.
 
Huyu jamaa kutoka Singida anataka kutuambia kuwa Lowassa angekuwa rais haya anayoyasema yasingefanyika?.

Anataka kutuambia kuwa shemeji zake Lowassa na watoto wa dada au kaka zake wasingepewa hizo nafasi kubwa kubwa?.

Pengine adui aliyetaka kummaliza ni mmoja wa watu ambao inapofanyika mikutano ya kisiasa pale ufipa wanakuwa wameketi pembeni yake.

Ni jiwe fullstop.
 
Endeleeni na zoezi la kuuwa iko siku mtaanza kuuana ninyi kwa ninyi...
Wameuawa watu MKIRU watu HAWAKUNYAMAZA MABUBUSA WALINYAMAZA... Wameuawa watu migodini watu hawakunyamaza lakini washangilia mauaji wenye mahaba na ukatili wanajulikana...
Maneno yako yanaonyesha wewe ni mtu unayeshinda kwenye vibanda vya nyasi ukiwasikiliza wachawi na waaguzi.
 
Maneno yako yanaonyesha wewe ni mtu unayeshinda kwenye vibanda vya nyasi ukiwasikiliza wachawi na waaguzi.
Wachawi na waaguzi wanajulikana waendao kwao "ukikumbuka mwenge wa uhuru na wanaoushabikia utapata picha halisi!" (zingatia matendo yanayofanyika na kwanini hakuna hatua zinazochukuliwa)
Huwezi kusahau kuwataja maana maji hayasahau baridi... mvua imekunyea au unaisifia tu? :D:D:D
 
wazalendo wanaomchukia CAG ni wazalendo matope.
Nikikumbuka pigo la kuenguliwa CAG moyo wangu unazizima kabisa, kwani kama taifa tumepata kifaa lakini "wezi wa rasilimali" wana mfukuza kazi kinyume na katiba na lile batch la wabunge wetu wengi wenye uwezo wa kupinga wamekodoa macho tuu
 
Back
Top Bottom