Hotuba ya Lissu Iliyobadili Siasa Zetu Kuwa za Risasi

Hakuna siasa duniani isiyo ya risasi. Wanasiasa wote wanagombea mamlaka ya kumiliki risasi, dola maana yake risasi. Sasa upoteze nguvu nyingi ugombee risasi halafu usizitumie huo si uwendawazimu.Ulizipigania za nini? Kajitu kamoja kanakosumbua, kanafanya watu hawalali vizuri, utaratibu wa machiaveli unatumika, tundika risasi wengine wapate kuishi vizuri. Dunia ndivyo inavyokwenda na huo ndio utaratibu.
 

Hii hotuba ukiisikiliza kwa makini sana ndiyo sababu kuu iliyo pelekea waovu kushindwa kumjibu kwa hoja na kuamua kutumia risasi ili wamuue nao waendelee kufanya yao.
Mungu akalikataa hilo na inamaanisha alisema kweli. Msemakweli mpenzi wa Mungu na anamlinda

Sent using Jamii Forums mobile app

Waliopanga kumua lissu walioshiriki uovu wa kufiatua risasi wote ni kwa kuwa Mungu yupo upande wa wapendwa haki hawa waovu watangulia mbele ya haki kabla ya Lissu.
 
..Kimei alichukua uamuzi wa kuinusuru crdb.

..angekataa kuwekeza huko benki ingeweza kuandamwa, kufanyiwa vitimbi, na kuhujumiwa.
Sasa mpangaji hapatikani kwanini wao wasifungue bank wahudumie wana kijiji wa chato kama hilo ndio lilikuwa lengo kujenga hilo jengo.?!

Vipi airport yenyewe ishapata ndege za kupeleka abiria huko?
 
Back
Top Bottom