Kweli bwana anaudhi:angry::frusty:
:frusty::frusty::A S 114::A S 114::blah: You Maggid, ww kazi yako si Journalist wa Siasa, bakia Global publishers, UDAKU fits you best, acha kuandika
usichojua, koma, kaandike nani KAFUMANIWA,na GUEST GANI, Nani na nani wanatoka kungonoka etc, hii ndio kazi yako, umbea Journalism
& kujua Ubongo wako how low u r, ETI JANA JK KAFANYA JAMBO KUBWA SANA.....!!!!!!!!!!???? :frusty::frusty: :smash::smash: hii njaa hii, mbaya sana,
hasa unapokuwa na njaa ya akili, kwani nani alianzisha hoja ya katiba mpya? hata hujui unaandika nini, na TUNATAKA TUME HURU IUNDWE NA BUNGE na Dowans mbona hujamuuliza
hajasema chochote?, nadhani umeelewa why i said ww UMBEA, UDAKU, Upaparazzi unakufaaaaa, hivi have you even Graduated F4? Kaandike Amani, Ijumaa, Uwazi, Risasi usiingilie kuandika Siasa, get out, hata hufanani na Kinyonga wala Bendera fuata upepo, shame on you, hufaiiiii period
Maggid hii ni fani yake..... kwahiyo we expect more from his analysis..... simjui vizuri kwahiyo siwezi kusema huko nyuma aliyoandika lakini kwa hili... very dissapointing.
Most u r comments show u r KIHIYO as Maggid, arrogance dominates u r mind, you never say the truth, hatutaki Kiongozi of copying & pasting, pure & simple
You defeat someone's analysis by analysing either the same issue, or his analysis to show where he is wrong or disappointing.
Hata kama ni Kihiyo, bado ametoa hoja yake, iwe ya kweli au kakosea. Hoja yako kuidefeat ya kwake iko wapi. Hoja hupingwa kwa hoja kama huna hoja kaa kimya sio kutusi.
Go & read what is Definition of Hoja, POINTLESS is not hoja is Kiroja, na kiroja hakijibiwi, mjinga hutoa kiroja.
u r of the same type, hiding what is right exposes ur stupidity especially when we know
where the truth lies.
somebody wont shoot you... but will hilariously potrays JK's image as hero despite initial motives from his Gov to reject the idea!!Mzee Mwanakijiji said:somebody please shoot me!! yaani he is now a hero? really?
Lakini hili wazo ni la Kikwete au nani huko serikalini? Maana labda I missed something lini CCM walibadilisha ajenda yao au ilani yao au sasa imekuwa Rais ni kama mfalme fulani ambaye anaweza kutoa tamko lolote hususana kwenye jambo kubwa kama hili bila kupitia vikao halali vya chama chake.
Hivi akija baadaye na kuamua kuanzisha mjadala ya kuvunja Muungano kuna mtu anataweza kumuuliza?
Hivi mbona idadi ya Watanzania ambao ni bendera fuata upepo inaongezeka kwa kasi? Tangia lini Kikwete and Co wakawa ma-championi wa kudai Katiba mpya? Sifahamu kama JK anakunywa mvinyo but typically jana usiku his state of mind was not the same!
Lakini hili wazo ni la Kikwete au nani huko serikalini? Maana labda I missed something lini CCM walibadilisha ajenda yao au ilani yao au sasa imekuwa Rais ni kama mfalme fulani ambaye anaweza kutoa tamko lolote hususana kwenye jambo kubwa kama hili bila kupitia vikao halali vya chama chake.
Hivi akija baadaye na kuamua kuanzisha mjadala ya kuvunja Muungano kuna mtu anataweza kumuuliza?
doooh!
Majjid kuna mengi umenena na sijakubaliana nayo.
Kwamba jk ametumia busara, sidhani kama uko sahihi - shinikizo ni kubwa kwa sasa (watu wana mwamko).
Kwamba jk si mwendawazimu, labda uko sahihi - ila mbona alikuwa anaongea kimajungu sana juu ya watu wanaotaka kusababisha vurugu? Kama rais wa nchi amewashindwa wafanya vurugu nani atawaweza? (hapo namaanisha kuwa mleta vurugu namba moja ni yeye)
kwamba jk amefocus miaka 50 ijayo, si kweli - angeanza na kuisafisha system
i have a strong feeling of hatred towards my president.. Yes, i said so!
Maana, JK kama binadamu, kuna mazuri na mabaya aliyoyafanya katika utendaji wake wa kazi maishani mwake. Na katika hili la Uona Mbali juu ya Katiba yetu, basi, kama JK atafanikiwa kuongoza juhudi hizi za Watanzania kupata Katiba iliyofanyiwa marekebisho makubwa, sina shaka yeyote, kuwa ataacha legacy kwa maana ya haiba. Katiba Mpya itakuwa moja ya jambo kubwa atakalokumbukwa nalo.
Mkuu katika hiyo red nataka unikumbushe mazuri aliyofanya labda nimesahau kidogo! maana sie binadamu huwa tunasahaugi mazuri na kukumbuka mabaya tu! ila to be honest there is nothing to ring the bells for me to recall anything good from him apart from bringing and paying football Managers for our Taifa stars, and i really appreciate this but i am lost about anything positive from this president! i am sorry if i am missing something here.
Ndio, tumeumaliza mwaka jana na mjadala wa Katiba mpya. Tunaingia mwaka 2011 na mjadala wa Katiba Mpya. Hili ni jambo jema. Na lililo muhimu kabisa katika mjadala wowote uwao ni kujiuliza; nini shabaha na malengo yetu? Nionavyo, shabaha na leo letu liwe kudumisha Umoja wetu wa Kitaifa, amani na utulivu tulio nao. (CCM)
somebody please shoot me!! yaani he is now a hero? really?
somebody please shoot me!! yaani he is now a hero? really?