Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,928
- 5,616
Akiamua kuwafukuza hao, itabidi afukuze serikali nzima maana wako wengi!si angewafukuza kwanza kina warema na kombani kama ni wanafiki?
Akiamua kuwafukuza hao, itabidi afukuze serikali nzima maana wako wengi!si angewafukuza kwanza kina warema na kombani kama ni wanafiki?
acheni kutisha watu; ajenda ya Katiba mpya si ya Kikwete,siyo ya CCM na haijawahi kuwa ya CCM ever. Ajenda yao ni kuwa Katiba ya sasa inafaa na msimamo huu wamekuwa nao wakati wote wa kampeni na siku chache zilizopita. Sasa leo kugeuka huku lazima kuendane na maelezo.
Kwani ni Dr. Slaa aliyesema kuwa ndani ya siku 100 ataanzisha mchakato wa kuandika Katiba Mpya; well angempa basi credit Dr. Slaa kwanza maana yeye amefanya hivyo ndani ya siku 100 japo siyo suala la kuandika upya katiba. Alichokifanya hakihusiani na mahitaji ya TAnzania zaidi ya mazingaombwe. Na to tell you the truth JK angesema hakuna Katiba Mpya watu wangempa pongezi vile vile kwa vile "rais kasema". Ni kikao gani cha CCM kilichopitisha uamuzi huu wa kubadili mawazo na kukumbatia wazo la Katiba Mpya au ni prerogative ya Rais?
Huu ndiyo uungwana, Mtu sifa yake hupewa. wacheni kudhihaki mtu anaposema kweli na kuwa na nia ya dhati ya kuendeleza taifa letu. Hongera muheshimiwa, watu makini huwa wanasoma alama za nyakati kam ulivyosema.Ndugu Zangu,
NIMEMSIKILIZA Rais wetu akilihutubia taifa jana jioni. Hii ni tafsiri yangu ya alichokiongea.
Kikwete hana lolote. Ila amepata nafasi ya kuchomeka mambo yake ya OIC na Kadhi. Hana mapenzi na katiba nzuri
Mzee mwanakijiji,somebody please shoot me!! yaani he is now a hero? really?
Safi sana. Well balanced article. Kazi nzuri.
Nami namsifu JK kwa kusoma alama za nyakati. Ametumia busara katika jambo hili. Saa nyingine tusiwe wanyimi wa fadhila. Kikubwa sasa ni uendeshaji wa huo mchakato wa kupata katiba mpya.
Unbeliavable.......Unbeliavable.......
Watanzania tunapenda sana kupongezana na kupeana sifa badala ya kutenda kazi.
Katiba its the right thing at the right time; Ni sisi wananchi ndio tumeidai; na baada ya Kenya kupata Katiba mpya it was only a matter of time na Tanzania to follow.
Sasa hili la ni legacy ya nani au nani ameanzisha it does not matter; History might portray it different lakini ukweli ni kwamba "Katiba mpya italetwa na shinikizo la wananchi, na ukweli wa kwamba iliyopo its not good for the purpose; na wananchi lazima wawe macho kuona kwamba mpya itakayokuja sio viraka ambavyo havisaidii"
Now please lets stop this kuepana masifa na kujipongeza ambako hakuna faida....... "lets stop being mediocre..... na kama hatuwezi kuishi bila kupeana pongezi atleast tuwapongeze wale waliocha kazi zao na kujitahidi kuandamana wakapigwa mabomu"
hypocrite, when will you stop kissing ass???
:bump:WEWE NDO UJITOE HUMU NDANI YA JF COZ NADHANI NI KIBARAKA WA KIJANI NUNDA WE............JK ANGEKUA HAPENDI MAKUU ANGEPIGA PICHA KWENYE BEMBEA JAMAICA NA KUTUTUMIA WATANZANIA TUNAOKULA MLO 1 KWA SIKU?FUTA TONGOTONGO KIJANA KUMEPAMBAZUKAJK ni mtu makini sana na ni mtu asiye penda makuu, angekataa katiba mpya wewe ungemfanya nini ? Acha kuwa na fikra mbovu kila wakati, na wewe nae utajiita Great Thinker? jitoe tu humu jamvini huna lolote la maana unalo tupa