King Suleiman
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 496
- 327
hakika nasikitika, yani mtu anasifiwa kwa hotuba nzuri ambayo kiukweli imetengenezw na wataalamu wa propoganda kuwahadaa watu dhaifu wa kufikiria.
nashangaa hata baadhi ya Great thinkers bado hawajashtukia mchezo unaochezwa. hivi hamuawajui ccm kwa mazungaombwe na maajabu yao ya kucheza na matukio na akili za watu? jamani jamani fungukeni anataka kutupoteza ili tusahau kupiga kelele zetu kisa " mkubwa kasikia" msilogwe na hotuba ile kazeni buti. mbona isu ya rafiki zake Downs hakusema? im so sad kwa kweli Maggid bro umechakachuliwa tayari? msiwe tayari kukurupuka jamani