Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Jose tajiri,

Tutaweka video baada ya hizi Updates .
Kyela HAMNA UKUTA
Tumekataa kutumiwa wakati wa maandamano tu
Mkipata nafasi za uteuzi sisi wanachama wa kawaida mnatupuuza
Ni vyema mkawasiliana na viongozi Kyela mjue mapema kabisa kuwa KYELA tumewakataa
Mbowe na ww na familia zenu ongozeeni maandamno,sio kusafiri kwenda Dubai
 
Mbowe uwa yupo imara kosa alilolifanya ni kumkaribisha Lowassa na Sumaye
 
Ikulu siku hizi ni sehemu ya kupigia PUSHUPS NA KUPIGA NGOMA.Kujenga UKUTA MUHIMU ILI AJIFUNZE
 
Magufuli ameshawaambia watangulie viongozi wa chadema kwenye maandamano wakione cha mtema kuni
Komrade Mwigulu najua atakuwa anasubiria kwa hamu kuubwa siku hii. Tena polisi wakae mkao wa kula.
 
1471707555709.jpg
 
UKUTA UMEANZA KUJENGWA NDANI YA SERIKALI YENYEWE KWA KUMDANGANYA UCHWARA MBUZI
 
Habari Mkuu,Ben saanane!!

Nasubiri updates za kina pamoja na Kauli rasmi ya Maandamano ya Tar 01.Asiishilie kuwataka wananchi katika maandamano tu,bali nitafarijika kama atasema tutakuwa Mstari wa mbele na wake zetu,Nategemea siku hiyo kumuona Mama Lowassa,Mama Mbowe,Mama Lissu na wake za viongozi woote wa UKUTA.

Soma vizuri
 
Back
Top Bottom