Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Kumbuka pia serikali ya nchi ina haki ya kuwashughulikia wanaovuruga amani. Ndo maana leo hii Marekani inaongoza kwa kuua raia wake
Inategemea unawashughulikiaje maana hata Idd Amini na watu kama kina Hitler pia walishuhulikia raia wao.

Ua raia wa Marekani kwa kuandamana alafu uone ni nini kitakupata.
 
akili sio shule uliza kina baresa.moo.mengi diamond kama wana hizo pHD NA JE WANA NJAA ? KUONGOZA sio elimu kwani ingelikuwa elimu mimi nimesoma chemia , chemia yangu inaweza kuwaongoza?
mbona povu linakutoka?? mm niliuliza tu je ni kweli mwenyekiti wetu mbowe kaishia form six?
 
Mbona tumeambiwa atakuwa dubai? Ndo anamalizia mpango wa kuwaseti manyoka wake alafu yeye asepe atakuwa anawaangalia kwenye flat screen inchi 42 mnavyokula virungu na tear gases
 
Tukutane UKUTANI makamanda, tunamuomba mbowe atangulie kanda ya kaskazin, sumaye kanda ya kusin na lowasa kanda ya ziwa. Wawe mbele hao ma icons wa mabadiliko wastuache peke yetu
 
UKUTA ujengwe imara mpaka UCHWARA ATAKAPO JUA KIINGEREZA CHA KUOMBEA MAJI
 
Haya matamko mengi yamenikumbusha movie moja ya "the bad, the ugly and the good" The bad alisema "if you want to shoot, shoot don't talk". Mh. Mbowe andamana tarehe 1 usiongee sana.
 
Back
Top Bottom