Hottie of the day ..african beuty

kuliko kuwa mnafiki niliona nimpokee Yesu wangu mazimaaaaaaaaaaaaaaaa,sasa ntaendaje na zile mark church dia,ilibidi Isack achinjwe au sio?
mweh binti yangu una roho ngumu kujichoma na pasi tena
thanx to god umerudisha ngozi yako ya asili
 
kuliko kuwa mnafiki niliona nimpokee Yesu wangu mazimaaaaaaaaaaaaaaaa,sasa ntaendaje na zile mark church dia,ilibidi Isack achinjwe au sio?

Pole sana Pearl huo wote ulikuwa ujana na kutokujitambua sasa umejitambua umefanya vema sana
 
ulifanikiwaje kuzitoa dearest...msaada hapo., kuna frnd wangu anataka kutoa yake ya kiunoni.

weka pasi mpaka ipate moto wa kutosha halafu weka sehemu yenye tatooo...hutumiwa sana na vijana wanaotaka kuji enroll na jeshi..si unajua kule tatoo haziruhusiwi
 
weka pasi mpaka ipate moto wa kutosha halafu weka sehemu yenye tatooo...hutumiwa sana na vijana wanaotaka kuji enroll na jeshi..si unajua kule tatoo haziruhusiwi

Huhitaji kujitia kovu juu ya kovu. Tattoo ni ujinga fulani wa ujana (foolish age) ambao wengi huwa wanajutia ukubwani. Nina classmate wangu wa secondary school siku hizi ni surgeon huwa anaziondoa hizi na hutaona hata kovu. Amesaidia wengi. Kuna mtoto wa rafiki yetu mwingine alikataliwa kuingia chuo fulani kisa tattoo, nikamwomba huyo surgeon ushauri, kumbe mwenyewe ndiye mtaalamu. Alikata ile ngozi yenye tattoo akaitupa, halafu akavuta sehemu zilizobaki na kuzishonea upya vizuri hata paliposhonwa hapaonekani. Kwa maelekezo ya kumpata huyu doctor kwa walio Tz niulize katika PM.
 
typo error...pac?....mhh kweli inahitajika roho ngumu, msaada zaidi...unaweza kuniambia dawa gani hiyo ili nikimpa maelezo nimpe mazima mazima?

kuna kitu wanaita laser kama sijakosea,wanatunia kufyonza huo wino na inaisha kabisa tattoo.ila unatakiwa mtaalam akufanyie.
 
FirstLady, huyo anaonekana sura yake mbaya sana kuliko maiti ndiyo maana kapaka hayo lakini bado anatisha
 
Back
Top Bottom