Hottie of the day ..african beuty | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hottie of the day ..african beuty

Discussion in 'Jamii Photos' started by FirstLady1, Oct 15, 2010.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  weekend njema:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Anatumia parachichi?
   
 3. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Inaonyesha ni rastafariii
   
 4. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ni mzuri sana lkn hizo tatoooooooo,sijazipenda kiivyo zo kapendeza nazo,smtimes we do things that cost us alot,I had zem wayback lkn kuzitoa ni ishu my dia.she is vey sweeeeeeeeeet.
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Lulu, za kwako zipo kwa wapi katika ramani ya mwili wako?
   
 6. RR

  RR JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Asingeweka hizo rangi kwenye kope/nyusi......
  FL1 ndo mwaita shedo au?
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ulifanikiwaje kuzitoa dearest...msaada hapo., kuna frnd wangu anataka kutoa yake ya kiunoni.
   
 8. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ah ah ah Gita mja mguuni,moja kwenye paja na moja kiunoni.
   
 9. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kama ya kiunoni aiache tu haina ubaya
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  mtoto mzuri kumbe na wewe ulikuwa umeziweka
  Pole sana ...Kuna mmoja hapa analia kuzitoa hazitoki..aliziweka enzi za ujana kwenye manyonyo sasa ana watoto anatamani kuzitoa lakini ndo hizo hazitoki
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  tetetete Fidel80 naona wewe mtaalam hilo parachichi linatumikaje?
   
 12. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  duh acha tu mpz smtimes u have to sacrifies kama kweli unahitaji kufanya ukitakacho,nilijaribu kutumia maziwa fresh na sindano kupitisha ze same places kwenye michoro ikagoma,nilipompokea bwana na mokozi wangu zilinitesa sana,wat I did was terrible kama anamoyo kama wangu na kumaanisha akitakacho afanye,nilijichoma kwa basi ya moto sehem zote zile na kuumia sana,nilipewa dawa nyingi mno,bahari nzuri nilipata dawa toka nje ya kufuta makovu,u cnt imagini nikikuonyesha semeh huwezi kuona hata kovu wala dalili yake.
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  mchumba haitaki.
   
 14. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Acha tu mamy bila Yesu sijui ningekuwa wapi!sikutaka kuwa na alama tena mwilini mwangu.
   
 15. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  typo error...pac?....mhh kweli inahitajika roho ngumu, msaada zaidi...unaweza kuniambia dawa gani hiyo ili nikimpa maelezo nimpe mazima mazima?
   
 16. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Say it again: Amen
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mweh binti yangu una roho ngumu kujichoma na pasi tena
  thanx to god umerudisha ngozi yako ya asili
   
 18. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  sorry dia pasi ya umeme,ntatafuta zile tube za dawa ntakupa feedback
   
 19. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bila Yesu bana we acha tu ujana unamambo na mafasheni ya kukopy na kupaste
   
 20. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ujana kweli maji ya moto...kwenye manyonyo? hapana kabisa!....wengi wa marafiki zangu wanayo sana hiyo kitu, wengine wanaijutia wengine bado wapo poa, huyu wa kiunoni anahaha sana sasa hivi, kuna mwingine kachora mkononi scorpion, yaani ni kubwa imeanzia karibia na kiganjani mpaka katikati ya mkono, kwasasa amekuwa mmama anaijutia sana lazima avae nguo za mikono mirefu, anajuta kupita maelezo, sasa huyu akijichoma nadhan atachoma nusu mkono.
   
Loading...