Hoteli ya kitalii Arusha hali tete

Aibu sanaaaaa
Hawajui mtu ataogopa hata kubook asije kumbana nayo hata kama kuna vyumba vichache vipo na uafadhali kidogo..

Mimi ni mmoja wa wanaopenda kusoma reviews kwanza.. nikisoma kama hayo siwezi hata pafikiria ni inakuwa imetoka hiyooo.
Peleka matafede huko,ww sijui ni mtanzania wa wap kila kitu cha kaskazini lzm ukikosoe au sababu basha wako DAB anatokea kanda maalum
 
Mimi nilifanya kaz hotel.hio 11 yra ago, ni kweli ina vyumba 300, tena huyo manager katoa idadi ya vyumba vya kawaida. Nikimaanisha standars rooms and delux rooms,,,kuna presidential rooms pale ambazo ziko 7, ni za marais tuu na huwa hawa shei
RIP Mrema,yule jamaa alikuacha kweli nasikia alikuwa na tabia ya kutafuna wafanyakazi wake
 
Ngurdoto ina kata roho mkuu, baada ya Mrema kufarik hakuna kitu pale
Mkuu acha bas kunivunja mbavu...et inakata roho....ila vyumba 300 ni vingi sana unless ndo hotel kubwa Arusha
 
Alaf sa hv ushindan n mkubwa Hotel nying zinajengwa, zingine ndogo tu lakni huduma zake zimekaa mkao....Tatzo hawaendi na nayakati, kuwa hotel kubwa af mnaiacha ovyoovyo et jina litaibeba mtasubir sana.....Mfanya biashara huwa habweteki hata kama biashara ipo vizur mana anajua lolote laweza tokea mbeleni...hawaoni MO jicho kodo kuangalia wapi kuna fursa awekeze mana anajua alipo sa hv kuna washindan waweza tokea wakamzid kete.....Ifanye hotel ionekane mpya daily
 
halafu kuna vimbwa vya kizungu juu hapo vinadai hapakuwa hata na ac.Sometimes zeruzeru wenye nywele za uzi huwa wanafiq sana.
hayo malalamiko mengi ukifuatilia ni ya hizi siku za karibuni baada ya biashara kubuma.

Kama hakuna mapato hata renovation inakuwa ngumu.

Hivi kuwe na bookings za Wageni mfululizo kwa miezi mitano, sita hata mwaka mzima mbele, kweli Management itashindwa kusimamia hoteli iwe kwenye ubora?

Ninavyoijua Arusha kukifurika Wageni hakuna Choice ya Hoteli, Operators watawapeleka popote Wageni wanapoweza kupata huduma...na hakuna Mwenye Hoteli atakubali kupokea Ma group ya Operators bila kuhakikisha huduma zipo kwenye ubora.
 
Mkuu acha bas kunivunja mbavu...et inakata roho....ila vyumba 300 ni vingi sana unless ndo hotel kubwa Arusha
Yes ni kubwa..na rooms ni mchanganyiko wa room zilizopo kwenye jengo moja na zile zinazojitegemea 'Cottages' kuzunguka jengo kuu.
 
Hiki ni kipindi cha low season na hivyo occupancy huwa chini. Katika kipindi hiki management za hotel zinapaswa kuwa wabunifu kama wenzao wanavyofanya nje.
 
Ushauri wa bure asije aka moeka aunge mkono juhudi za mh raisi wa Tanzania awe salama.
🙆🙆🙆🙆🙋🙋🙋🙋
 
Iko sehemu ambayo sio sahihi kwa ukubwa wake karibu na Arusha National Park , ilikuwa inatumika kwa semina na workshops sasa hizo deal hakuna tena. Hotel zingine kazi kama kawaida ingawa kwa sasa ni off-season lakin wageni 60 -100 ni kawaida.Hakuna mwaka utalii umekuwa juu kama hii 2018 kwa kuwa na wageni wengi .
 
Mimi siamini, anaposema hakuna mtu ndani anamaanisha wote wameenda kwenye shughuli zao, au baadae wateja wapya watakuja.
 
Mimi mbona hoteli yangu ina wageni wa kutosha, iko full booked mpaka mwakani
 
nimeelewa asilimia mia moja.
 
Acha story za vijiweni....!!!!
Ngurudoto 98% wanalala wageni.
Mkuu umedai Tanzania in 5star hotel 11, sita zipo jiji la arusha na 4 zpo Zanzibari na moja Dsm...naomba unitajie 5star hotel mbili tuu pale arusha mjin zilizo active up to now af niingie google kudhibitisha..navyojua hotel za namna hyo kwa Arusha zpo mbugan na sio mjin..pale mjin labda moja tuu, ntoe tongotongo mkuu
 
Hiyo si kweli, ulizia Tours operators watakuambia huu ulivyokuwa mwaka wa neema kwenye Utalii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…