Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,263
- 54,669
Meku hata pale naura hawana hivyo vyumba mkuu. Mount meru hawazid 100 na kitu. Hiyo yenye vyumba 300 itakuwa ya kona ipi jomba?Siyo mwenyeji sana Arusha, ila hotel yenye vyumba 300?
Vingi sana aisee.
Sio toka wakataze ile ishu watalii wamefunga brekiNgurudoto ni uwekezaji mkubwa sana, ni hatari kusikia hawana Wageni.
.......sowed.We're reaping what we sow.
Napafaham sana mzeya. Ni pakubwa kweli. Ila kama ngurdoto hawana wageni, wakina planet, na ile ya mlima kijenge wasemaje? Si watakuwa hawana kabisaNi Ngurudoto Mkuu kama umewahi kuisikia.
mkuu zipoSiyo mwenyeji sana Arusha, ila hotel yenye vyumba 300?
Vingi sana aisee.
Pale ndio obama alifikia wkt kaja tz mkuu. Wako vizuri sana. Ila chumba cha bei ya chini si chini ya lakiNgurudoto awamu iliyoisha ilikua on [emoji91] kweliii, sema mi nahisi wanashindwa kucheza na mda inabid wawe wabunifu nakuongeza baadhi ya vionjo na ikiwezekana wapunguze bei ya vyumba, watu wasipo Kuja basi ktakua na ttzo sehem.
Ngurdoto ina kata roho mkuu, baada ya Mrema kufarik hakuna kitu paleNgurudoto ni uwekezaji mkubwa sana, ni hatari kusikia hawana Wageni.
mashoga hawaji wamepewa tahadhariNilichomsikia yule Meneja anasema "ni hali tu ya uchumi......"
Sasa sijajua anamaanisha uchumi wa Dunia nzima au Tanzania maana Watalii wanatokea nje ya nchi.
mkuu ukienda Arusha tembelea Usa river ndipo ilipo NgurdotoOkay, itakuwa kubwa sana hiyo hotel.
Hapo kuna kalikizo cha lazimaInahuzunisha ukiwafikiria Walioajiriwa pale.
Ndo matokeo ya;Labda watalii nao vyuma vimekaza
Inawezekana kabisa kukosa wateja wateja!Mimi hata sijasema hivooo ndugu yangu..cybercrime..sasa unategemea nini??Vyumba 300...si mchezo kikose watu..then hapo wafanyakazi walipwa nini?Unajua tuache tu unafiki kuna watu wanapitia hali ngumu sana hasa maskini.
Kuwekeza kunahitaji zaidi ya yote kusoma nyakati, hasa mazingira ya kisera (policy environment) ya Chama Tawala na Serikali yake.Nimemuona na kumsikia Meneja wa moja ya Hoteli kubwa na maarufu ya Kitalii ya Arusha kwenye taarifa ya habari usiku huu anasema/anajitetea kwa Maofisa wa Serikali kuwa Hoteli ile ina vyumba mia tatu (300) na hakuna Mgeni hata mmoja pale ndani.
Sasa nimejiuliza ni kwamba wao ndio hawapo kwenye right track ama?
Zipo mkuu mia tatu room zinafikaSiyo mwenyeji sana Arusha, ila hotel yenye vyumba 300?
Vingi sana aisee.