Kwangu imekuwa news baada ya kukuta mgahawa mmoja jijini Dar wateja wake wakila ugali mida ya saa mbili asubuhi. Je hii ni kawaida?!
Maoni yako ni yapi ikiwa karibia hotel kadhaa zikaamua kupika saubuhi chakula kinacholiwa mchana,bila kujali ni ndizi,wali ama ugali na maharage
kuna hotel ngapi mji uaoishi wanapika ugali asubuhi? na kama ni chache kwanini?aliokwambia ugali unaliwa mchana tu ni nani?
nafurahi kufahamu hilo,nadhani kibiashara kwa Dar yaweza lipa piaHii ipo zaidi Nairobi
ingawa nimeona news, ila napenda kula vyakula vya nguvu asubuhi,nitakaribia MaraNjoo Mara ule Ugali kila siku asubuhi na nyama ya mbuzi, pilipili na mtindi!
aliokwambia ugali unaliwa mchana tu ni nani?
Kwangu imekuwa news baada ya kukuta mgahawa mmoja jijini Dar wateja wake wakila ugali mida ya saa mbili asubuhi. Je hii ni kawaida?!
Maoni yako ni yapi ikiwa karibia hotel kadhaa zikaamua kupika saubuhi chakula kinacholiwa mchana,bila kujali ni ndizi,wali ama ugali na maharage
Kwangu imekuwa news baada ya kukuta mgahawa mmoja jijini Dar wateja wake wakila ugali mida ya saa mbili asubuhi. Je hii ni kawaida?!
Maoni yako ni yapi ikiwa karibia hotel kadhaa zikaamua kupika saubuhi chakula kinacholiwa mchana,bila kujali ni ndizi,wali ama ugali na maharage
Kwangu imekuwa news baada ya kukuta mgahawa mmoja jijini Dar wateja wake wakila ugali mida ya saa mbili asubuhi. Je hii ni kawaida?!
Maoni yako ni yapi ikiwa karibia hotel kadhaa zikaamua kupika saubuhi chakula kinacholiwa mchana,bila kujali ni ndizi,wali ama ugali na maharage
Kwangu imekuwa news baada ya kukuta mgahawa mmoja jijini Dar wateja wake wakila ugali mida ya saa mbili asubuhi. Je hii ni kawaida?!
Maoni yako ni yapi ikiwa karibia hotel kadhaa zikaamua kupika saubuhi chakula kinacholiwa mchana,bila kujali ni ndizi,wali ama ugali na maharage
we marura ni noma asikwambie mtu, pale JJ CLUB napo kulikuwa dogo langu moja lilikuwa linapika supu ya ukweli ile noma
Mkuu kama watu hapa hapa mjini wanakula viporo vya wali maharage, iweje washindwe kumemena nguna!!!
Kwa taarifa yako wale wakulima wa Kisukuma au Kikurya, huwa wanakula ugali mkubwa wa dona halafu pembeni kunakuwa na ugali mdogo wa sembe...huo ugali mdogo ndio unafanywa kama mboga...na hayo yote hufanyika sio asubuhi bali ni alfajiri jogoo wa kwanza tu akiwika