Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,080
- 10,437
Dah... madem wa siku hizi kama mabaamed....wana majina halisi na majina ya kazi....[emoji87]Huyo mtoto anaitwa nan mkuu
Dah... madem wa siku hizi kama mabaamed....wana majina halisi na majina ya kazi....[emoji87]Huyo mtoto anaitwa nan mkuu
Pouwa mkuu nilikuwa na wasiX2Jina siwez sema hpa ila,akisoma Dar na ni muhaya.Dogo alikuwa mtamu huyooo,acha tuuu,wakati umeeenda wapi?
Wasiwas wa nn mkuuPouwa mkuu nilikuwa na wasiX2
Wasiwas wa nn mkuu[/mwenyewe mtoto wa prof ndo maana nikauliza
Midland hotel karibu kabisa na stand kama anaenda mini elfu 30Wakuu Salaam,
Jamaa yangu anatafuta sehemu nzuri yenye usalama na ya bei ya kati say Tsh 30,000/ - 50,000/= katika mkoa wa Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi wiki ijayo.
Msaada wowote unakaribishwa na shukrani zinatangulizwa
Zipo mbili, nyingine Barabara ya kwenda mjiniMidland ni nzuri nilifurahia Huduma zao.ipo msamvu Barabara ya kuelekea iringa pia gharama zao ni nafuu .
bei zake ni kiasi gani iyo NeemaNeema House...???? Hapana ubora sana